KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,578
- 8,600
<br />Hivi boxer nayo ni chupi
<br />
Siumesema ni boxer means ni zakuchezea boxer tu!!!
<br />Hivi boxer nayo ni chupi
Wewe ni wa kike au wa kiume!jieleze vizuri!kama ni punga nafikiri utahitaji chupi nyingi zaidi!!!
nadhani hata ukiwa na chupi moja lamsingi ni iwe safi tu,hivyo basi unaweza kufua usiku make sure asb imekauka vizuri piga pasi kuuz vijidudu then vaa,lkn kwa hii moja nina uhakika itachakaa mapema so ni vywema ukiwa na zaidi ya moja at least kila siku unavaa iliyo safi all in all cha muhimu hapa ni usafi unaweza kuwa na madazani yoooote yakawa yananuka uvundo tu.usafi muhimu kaka na hasa ukizingatia sehem yenyewe inapovaliwa chupi ni nyeti.
Jamani wengine hawavai hata hizo chupi kwani jino moja mswaki wa nini
So...conclusively...the answer is none to a thousand....
Kama unalosema ni kweli - hongera ndugu yangu. Chupi 12 x 12 = 144! Lazima uwe na kabati la chupi tu dah!
kwa hiyo kama ni safi naweza kuivaa siku tatu au nne mfululizo?
Jamani wengine hawavai hata hizo chupi kwani jino moja mswaki wa nini
Usivae chupi - like maasai!
Kua angalua na chupi 14, mbili kwa siku kwa siku saba
Aisee, huku bondeni niliko mbona wanawake ( sijui kwakuwa mara nyingi wanavaa jeans) huwa hawavai chupi hivyo mambo huwa sio complicated na yankuwa yamerahisishwa sana!!! hivyo ishu za chupi sanasana huwa hazipo.....hahahaaaaaaaa