Nahitaji chupi ngapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji chupi ngapi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtazamaji, Oct 29, 2010.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi nina mjadala/ swali. Though wengine wanaweza kuona ni private but binafsi naona sio vibaya tukishare mawazo

  • Je hygienicallly mwanaume/ mwanamke anahitaji kuwa na minimun ya chupi ngapi anazovaa kwa wiki?
  • Je ukiwa unakwenda safari ya mwezi mmoja unatakiwa kupack chupi ngapi ?
  • Je chupi inatakiwa kuwa disposed muda gani au baada ya rotation ngapi za kutumika.?
  Unaweza kuongeza maswali au kutoa majibu ambayo hata sijauliza ilimradi yalenge katika kupeana uelewa katika matumizi ya vazi hili nyeti.

  Nawasilisha.
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Oct 29, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Hii ya leo kali haya mie ninazo dazani 12.
   
 3. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Usitupotezee mda.
  Sisi tunajadili muktabali wa nchi na sio huu upuuzi.
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Note: vaa chupi safi kila siku
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kakajambazi si ndio maana JF ina subforum za Teknolojia , siasa michezo, Uchaguzi Tanzania., Mapenzi, Dini, etc. Nadhani wewe ndo umekosea njia. hapa uko kwenye subforum ya habari mchnganyiko

  Kama hujakosea njia naweza kusema kakajamabazi huna tofauti na decison makers walipo madarakani kila kitu wanapoliticise.

  Angalia ulivyo na double standard unakuwa ka kinyonga. Leo uko chadema kesho uko CCM. Fuatilia some of cooments na post ulizofanya for past two weeks.

  Je Password au Movie Magic au Dubai ni sehemu ya mustakabali wa nchi kwako????? . hahahhahaha.

  Anyway shukrani kwa kusoma na kupata muda wa kutoa comment kwenye upuuzi. Na thanks nimekugongea kwa kutoa valued time yako kwenye upuuzi.
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  kwa hiyo kama ni safi naweza kuivaa siku tatu au nne mfululizo?
   
 7. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  nadhani hata ukiwa na chupi moja lamsingi ni iwe safi tu,hivyo basi unaweza kufua usiku make sure asb imekauka vizuri piga pasi kuuz vijidudu then vaa,lkn kwa hii moja nina uhakika itachakaa mapema so ni vywema ukiwa na zaidi ya moja at least kila siku unavaa iliyo safi all in all cha muhimu hapa ni usafi unaweza kuwa na madazani yoooote yakawa yananuka uvundo tu.usafi muhimu kaka na hasa ukizingatia sehem yenyewe inapovaliwa chupi ni nyeti.
   
 8. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hata ukiwa na moja ilimdari iwe safi tu
   
 9. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Baada ya kiranja mkuu kunikera asbh at least nimepata kitu cha kuiburudisha nafsi yangu, kwa kweli hakuna idadi ila mimi huwa navaa kila siku nabadilisha!!!!
   
 10. L

  Lubaluka JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 496
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nawe huelewi, mkuu amekushauri uvae chupi safi kila siku !!! Nadhani hakuna cha zaidi hapo unachohitaji !!!
  Kama wewe unaweza kuvaa chupi siku tatu mfululizo na ikaendelea kuwa safi kwa siku ya nne endelea kuvaa!!!

  TOP: Vaa chupi safi kila siku ........ full stop.
   
 11. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mjumbe ebu jaribu kuchangamanua hizo 12 matumizi yake. Zipo za casual, za kwenda kwenye "match" za siku kuu au. Ebu nipe mwanga? . naona 12 ni nyingi sana kwa mwanaume? Si tunaelimishana
   
 12. The Inquisitive

  The Inquisitive Senior Member

  #12
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kama unalosema ni kweli - hongera ndugu yangu. Chupi 12 x 12 = 144! Lazima uwe na kabati la chupi tu dah!
   
 13. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Jamani KakaJambazi,kuwa fair kidogo bora unge:tape:
   
 14. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  Ili kutunza usafi unahitaji kuwa na CHUPI MBILI - unafua moja kila asuhubi unapooga then unavaa nyingine amboyo uliifua jana yake. Chupi nyingi ni gharama zisizo na msingi likewise Soksi. :smile-big::smile-big:

  Safarini nakushauri tumia feni kukaushia chupi yako kama kuna mawingu ili siku inayofuata usihangaike. Jifunze kubana matumizi yasiyo ya lazima.
   
 15. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tufunge mjadala. Vaa chupi safi. Use commonsense, chupi moja yaweza kutosha au mbili au tatu. VAA CHUPI SAFI. MWISHO.
   
 16. birungi

  birungi JF-Expert Member

  #16
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  unaweza kuwa naidadi yoyote mradi zisipungue mbili.inategemea na shughuli zako za kila siku.
  pia kwa wale wenye tabia ya kurundika chupi ndo wanafua(japo si tabia nzuri kwa afya) basi wawe nazo kuanzia nane kwamba ya j2 hadi jumamosi anazifua huku moja ya nane kaivaa.:glasses-nerdy:
   
 17. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hii kali! umesoma uchumi nini Elnino?
   
 18. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #18
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  aah! mkuu! kuwa na staha kidogo!

  1. Hujalazimishwa kusoma wala kuchangia hii thread .

  2. Kuna jukwaa la siasa kule uende huko kama unataka mijadala ya mustakabali wa nchi.

  3. Jambo unaloona upuuzi kwako linaweza kuwa la msingi kwa mwingine hivyo ni vema tukavumiliana na fikiri hiyo itabeba dhana nzima ya "home of great thinkers".

  Ushauri wa bure; JF inaruhuisu pia kuwa msomaji tu na si lazima uchangie kila topic, kama ukiona huna la kuchangia ni vema ukakaa kimya.
   
 19. m

  mzalendo2 Senior Member

  #19
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  usivae chupi kabisa maana chupi ndio sababu ya fungus
   
 20. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #20
  Oct 29, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Usivae chupi - like maasai!
   
Loading...