Inkoskaz
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 6,372
- 2,375
Habari wakulu! Mimi ni kijana mwenzenu ninaefanya kazi ngumu hapa nchini ila kutokana na uvumiliv wangu nimefanikiwa kujiwekea kias kikubwa sana cha pesa sasa nilikua nahitaj kuendelea na elimu,hivyo nilikua naomba kufaham orodha ya vyuo ambavyo vinatoa elimu kuanzia muda wa saa 2usiku na kuendelea,na koz ambayo nataka kuchukua ni ya accountants, msaada wenu wakulu!