Nahitaj msaada wenu wakulu!

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
Habari wakulu! Mimi ni kijana mwenzenu ninaefanya kazi ngumu hapa nchini ila kutokana na uvumiliv wangu nimefanikiwa kujiwekea kias kikubwa sana cha pesa sasa nilikua nahitaj kuendelea na elimu,hivyo nilikua naomba kufaham orodha ya vyuo ambavyo vinatoa elimu kuanzia muda wa saa 2usiku na kuendelea,na koz ambayo nataka kuchukua ni ya accountants, msaada wenu wakulu!
 
Wewe si umeomba kazi ya kuwa 'houseboy?' sasas hule saa ngapi?
 
Ni vema ile kazi uliyoiomba jana kwenye ukurasa wa nafasi za kazi ukaifanye kwanza ili ujipange vizuri zaidi!!
 
Back
Top Bottom