Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,101
- 136,758
- Thread starter
- #221
The terminology could reveal so much about you, your personality and your thought process, therefore it is a crucial part of the question.
Very funny how people like you think you can know someone's personality and their thought process based on what they write here. It's very funny.
You don't know me like that homie, or do you?
I sure don't know you more than I know every inch of my glorious naked body!
Jealousy is really for the insecure.
Jealousy is human.
Kwangu mimi kuna kuwa na mtu au kutokuwa naye, kama nammind nakuwa naye, akichemsha naanza, kwa system hii utaona hakuna muda wa kuwa jealous hapo.
Kwani nani hakuanza? Hujui hata kudandia treni. Rudi tokea mwanzo usome vizuri. Unaongea kama vile bado niko kwenye huo uhusiano.
Ninayekuwa naye ninakuwa na confidence naye, nikiwa sina confidence naye siwi naye, no room for jealousy.
So?
Sasa wewe ambaye uko na mtu ambaye humuamini ndiye mwenye room for jealousy,
Narudia tena, rudi mwanzo usome uelewe nilichoandika. Sio unakurupuka tu majibu bila hata ya kuelewa. Nani ambaye niko naye?
kumtaka unamtaka lakini hapo hapo humuamini, kwa nini usiwe na jealousy, kila anapopiga kona unamuandama, bado kidogo umkodie private detective amfuatilie nyendo.
Hivi ni viroja sasa. Eti nilibaki kidogo nimtafutie kiduhushi? Umejuaje? Nilikwambia hivyo au unadhania tu?
Kama mtu humuamini kiasi hiki ya nini kuwa naye? Haya si mapenzi ni mateso
Uelewa wako saa ingine unatia shaka. Narudia tena, siko naye kwa sababu sikuwa na imani naye. Nilimwacha hata kabla hajaondoka. Sasa kipi kisichoeleweka hapo bana? Mbona uko mgumu sana kuelewa? What the hell?