Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,111
- 136,813
- Thread starter
- #241
uongo njoo utamu kolea
Hiyo ni kweli 110%.
uongo njoo utamu kolea
Kumbe bado mdogo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kaka kwa kuoa mwanamke ambaye kazalishwa na MTU mwingine na huyo MTU yupo alive! Nna uhakika hutaishi kwa amani na mkeo. Huyo jamaa lazima atawasumbua sana. Halafu mwanamke kazaa na huyo jamaa, kalipiwa nauli mpaka Canada, unadhani huyo mwanamke atakuwa na guts za kumnyima jamaa? Kosea kujenga msingi na si kuoa kamanda

Uko sahihiKwanza kwa nini alimpeleka mtoto kumuona baba na si baba kuja kumuona mwanae ?
Ila mambo ya kuibiana mie sisemi neno
Hata ningekuwa mie ningekumegea tu yani kiporo kilivyo kitamu hivyo naanzaje kukikosa.....![]()
Poor Mr. chocolatey!
Dogo sana mimi...
Anafikiria kuoa, namuonya kabla ya hatariDuh!
Kwani nimeoa?