Nahisi nilimegewa

Nahisi nilimegewa

Kwanza kwa maelezo haya hakuna uhakika kama alimegwa au laa,ila jambo la muhimu kwako ni kujenga uaminifu na huyo mtu wako kwani kumegwa wanawake wanamegwa sana,jaribu kufikiri haya,hivi wewe unapogegeda wanawake wa wenzio,hao huwa wsna roho ipi na mkeo yeye anayo roho ipi mpaka asigegedwe?

Duh....hiyo hadithi ni kubuni tu.
 
Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na msichana mmoja mrembo sana. Hakuwa mrembo tu bali pia alikuwa na akili zilizoendana na urembo wake. Nilimpenda sana kwani niliona hatimaye nimempata anayeendana na mimi.

Wakati tunakutana nilimkuta akiwa tayari ana mtoto mmoja. Mtoto huyo alikuwa na umri wa miezi tisa. Baba wa mtoto huyo aliachana na huyo msichana wakati akiwa bado mjamzito wa miezi mitano na hata alipozaliwa jamaa hakuwepo na hakuja kumwona mwanae hadi alipofikisha umri wa miaka miwili.

Ndani ya miaka miwili ya uhusiano wetu jamaa akaanza kumshinikiza demu wangu ampeleke mtoto Toronto ili akamwone baba yake. Demu wangu akawa kwenye mazingira magumu kwa sababu tokea amzae huyo mwanae, baba yake alikuwa hajamwona na alikuwa anataka sana mwanae amjue baba yake. Wakati huo huo uhusiano wetu ulikuwa umekolea na mimi fikara za kumvalisha pete zikawa zimeanza kutawala kichwani mwangu.

Kwa takribani mwezi mzima akawa anafikiria ni jinsi gani ataweza kwenda kumpeleka mtoto Toronto bila kuharibu uhusiano wetu. Kumpandisha mtoto ndege na kuwakabidhi watu wa ndege halikuwa wazo zuri kwa sababu mtoto alikuwa bado mdogo sana. Mwishoni kukawa hakuna jinsi zaidi ya yeye mama mtu kumpeleka mtoto kwenda kumwona baba yake. wa dar wewe ehhhhhh yaan hujui kuwa mtalaka haombwi......hahaaaaaaa

Siku ya siku ikafika. Mama na mtoto wakapanda ndege kwenda Toronto kumwona baba wa mtoto. Nikaachwa nyuma peke yangu. Toronto walifikia kwa huyo jamaa. Na jamaa alikuwa akiishi kwenye condo ya vyumba viwili. Ufikiaji wao hapo haukunipendeza licha ya demu wangu kuniahidi kuwa atakuwa analala sebuleni huku jamaa akilala chumbani kwake na chumba kile kingine cha pili atalala mtoto.

Walikaa huko kwa wiki mbili. Kila siku akiwa huko alijitahidi kunipigia simu angalau mara moja kuongea na mimi. Ilikuwa wakati mgumu sana kwangu mimi kwani sikumwamini hata kiduchu eti kuwa atakuwa analala sebuleni. Nikamwambia amwambie hivyo mtoto wa chekechea na si mimi kwani ingawa nilizaliwa usiku, sikuzaliwa jana usiku!!

Baada ya kurudi nilimwuliza kama alimegwa na yeye alikataa katakata. Mimi kwa upande wangu sikumwamini hata kidogo na nikamwacha.

Wadau, hivi kweli mnadhani alikuwa ananiambia kweli? Mtu kafikia kwa jamaa halafu kakaa wiki mbili, hivi kweli hawakumegana? Komredi Fidel hebu nipe mawaidha yako...unalionaje hili? Nilimegewa? Mimi nadhani nilimegewa ingawa sina ushahidi wa bunduki inayofuka moshi.
 
Ila si unampenda? Assume lilitokea/hakuna lililotokea (50:50), then move on. Forget about the event. If you want to spend your life with her, start thinking about how to handle that child, that is, either jamaa akae na mwanae au awe anakuja kwenu kumtazama, na kwa kipindi maalumu mtakachokubaliana. Help her to set the rules. But remember, mtoto hana makosa, na msikilize mama anajisikiaje, maana kumpa mtoto huyo baba (ambaye namuaona sio responsible) halafu mama akae na mawazo juu ya mwanaye huko aliko itawasumbua sana.
Cheers.
Nakumbuka thread moja humu. Jamaa aliandika kwamba kuoa mwanamke aliezaa ni kukubaliana na kuishi na mwanaume mwenza.

Atume nauli hadi Marekani. Alale nae nyumba moja wiki mbili. Unadhani lengo ni kumwona mtoto tu! Jiongeze bhana, umemegewa.

Ni vigumu sana kugharimia hiyo safari kuonesha tu mtoto. Alikumbuka mambo yao na hawakuachana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na msichana mmoja mrembo sana. Hakuwa mrembo tu bali pia alikuwa na akili zilizoendana na urembo wake. Nilimpenda sana kwani niliona hatimaye nimempata anayeendana na mimi.

Wakati tunakutana nilimkuta akiwa tayari ana mtoto mmoja. Mtoto huyo alikuwa na umri wa miezi tisa. Baba wa mtoto huyo aliachana na huyo msichana wakati akiwa bado mjamzito wa miezi mitano na hata alipozaliwa jamaa hakuwepo na hakuja kumwona mwanae hadi alipofikisha umri wa miaka miwili.

Ndani ya miaka miwili ya uhusiano wetu jamaa akaanza kumshinikiza demu wangu ampeleke mtoto Toronto ili akamwone baba yake. Demu wangu akawa kwenye mazingira magumu kwa sababu tokea amzae huyo mwanae, baba yake alikuwa hajamwona na alikuwa anataka sana mwanae amjue baba yake. Wakati huo huo uhusiano wetu ulikuwa umekolea na mimi fikara za kumvalisha pete zikawa zimeanza kutawala kichwani mwangu.

Kwa takribani mwezi mzima akawa anafikiria ni jinsi gani ataweza kwenda kumpeleka mtoto Toronto bila kuharibu uhusiano wetu. Kumpandisha mtoto ndege na kuwakabidhi watu wa ndege halikuwa wazo zuri kwa sababu mtoto alikuwa bado mdogo sana. Mwishoni kukawa hakuna jinsi zaidi ya yeye mama mtu kumpeleka mtoto kwenda kumwona baba yake.

Siku ya siku ikafika. Mama na mtoto wakapanda ndege kwenda Toronto kumwona baba wa mtoto. Nikaachwa nyuma peke yangu. Toronto walifikia kwa huyo jamaa. Na jamaa alikuwa akiishi kwenye condo ya vyumba viwili. Ufikiaji wao hapo haukunipendeza licha ya demu wangu kuniahidi kuwa atakuwa analala sebuleni huku jamaa akilala chumbani kwake na chumba kile kingine cha pili atalala mtoto.

Walikaa huko kwa wiki mbili. Kila siku akiwa huko alijitahidi kunipigia simu angalau mara moja kuongea na mimi. Ilikuwa wakati mgumu sana kwangu mimi kwani sikumwamini hata kiduchu eti kuwa atakuwa analala sebuleni. Nikamwambia amwambie hivyo mtoto wa chekechea na si mimi kwani ingawa nilizaliwa usiku, sikuzaliwa jana usiku!!

Baada ya kurudi nilimwuliza kama alimegwa na yeye alikataa katakata. Mimi kwa upande wangu sikumwamini hata kidogo na nikamwacha.

Wadau, hivi kweli mnadhani alikuwa ananiambia kweli? Mtu kafikia kwa jamaa halafu kakaa wiki mbili, hivi kweli hawakumegana? Komredi Fidel hebu nipe mawaidha yako...unalionaje hili? Nilimegewa? Mimi nadhani nilimegewa ingawa sina ushahidi wa bunduki inayofuka moshi.
Hahaha

Ama kweli haya mambo hayana mjanja ... yaani licha ya kuwa guru katika kuwatafuna wadada lakini ukadiriki kuchezewa akili kizembe namna hiyo ...dahh !!!

Yaani hapo inaonyesha wazi kuwa huyo jamaa aliyemzalisha manzi wako wawakati huo alikuwa anamtafuna asubuhi na mchana atakavyo " ... Ulifanya makosa sana kumruhusu huyo mwanamke aende kumfuata mzazi mwenzio " .. kama kweli huyo mzazi mwenzie alikuwa na shida ya dhati ya kumuona mtoto wake alipaswa kuja yeye kumuona huko mlipokuwa mnaishi _ ...

Yakupasa sasa utambue kwamba kitendo cha yule mwanamke kumfuata mzazi mwenzake kili kuwa kina maanisha kwamba " walikuwa wanatafuta sehemu tulivu ambayo itawawezesha kupasha kiporo bila bugdha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyani Ngabu, kumbuka unapooa mwanamke au kuolewa na mwanaume aliyezaa mtoto/watoto, mambo hayo ni lazima yatokee. Hivyo inabidi uwe na moyo wa chuma, labda mmoja wapo awe ametangulia mbele za haki ndo hayawezi kutokea. Ukubali usikubali kumegewa ni lazima tena kiulaini.
 
Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na msichana mmoja mrembo sana. Hakuwa mrembo tu bali pia alikuwa na akili zilizoendana na urembo wake. Nilimpenda sana kwani niliona hatimaye nimempata anayeendana na mimi.

Wakati tunakutana nilimkuta akiwa tayari ana mtoto mmoja. Mtoto huyo alikuwa na umri wa miezi tisa. Baba wa mtoto huyo aliachana na huyo msichana wakati akiwa bado mjamzito wa miezi mitano na hata alipozaliwa jamaa hakuwepo na hakuja kumwona mwanae hadi alipofikisha umri wa miaka miwili.

Ndani ya miaka miwili ya uhusiano wetu jamaa akaanza kumshinikiza demu wangu ampeleke mtoto Toronto ili akamwone baba yake. Demu wangu akawa kwenye mazingira magumu kwa sababu tokea amzae huyo mwanae, baba yake alikuwa hajamwona na alikuwa anataka sana mwanae amjue baba yake. Wakati huo huo uhusiano wetu ulikuwa umekolea na mimi fikara za kumvalisha pete zikawa zimeanza kutawala kichwani mwangu.

Kwa takribani mwezi mzima akawa anafikiria ni jinsi gani ataweza kwenda kumpeleka mtoto Toronto bila kuharibu uhusiano wetu. Kumpandisha mtoto ndege na kuwakabidhi watu wa ndege halikuwa wazo zuri kwa sababu mtoto alikuwa bado mdogo sana. Mwishoni kukawa hakuna jinsi zaidi ya yeye mama mtu kumpeleka mtoto kwenda kumwona baba yake.

Siku ya siku ikafika. Mama na mtoto wakapanda ndege kwenda Toronto kumwona baba wa mtoto. Nikaachwa nyuma peke yangu. Toronto walifikia kwa huyo jamaa. Na jamaa alikuwa akiishi kwenye condo ya vyumba viwili. Ufikiaji wao hapo haukunipendeza licha ya demu wangu kuniahidi kuwa atakuwa analala sebuleni huku jamaa akilala chumbani kwake na chumba kile kingine cha pili atalala mtoto.

Walikaa huko kwa wiki mbili. Kila siku akiwa huko alijitahidi kunipigia simu angalau mara moja kuongea na mimi. Ilikuwa wakati mgumu sana kwangu mimi kwani sikumwamini hata kiduchu eti kuwa atakuwa analala sebuleni. Nikamwambia amwambie hivyo mtoto wa chekechea na si mimi kwani ingawa nilizaliwa usiku, sikuzaliwa jana usiku!!

Baada ya kurudi nilimwuliza kama alimegwa na yeye alikataa katakata. Mimi kwa upande wangu sikumwamini hata kidogo na nikamwacha.

Wadau, hivi kweli mnadhani alikuwa ananiambia kweli? Mtu kafikia kwa jamaa halafu kakaa wiki mbili, hivi kweli hawakumegana? Komredi Fidel hebu nipe mawaidha yako...unalionaje hili? Nilimegewa? Mimi nadhani nilimegewa ingawa sina ushahidi wa bunduki inayofuka moshi.
Hayo ndio majaribu ayapatayo mtu anayeoa single mother kwasababu huwezi kuzuia mawasiliano Kati ya Baba na mtoto watu watakuona kichaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana...

Labda nikuulize kitu, ingekua ni wewe mama mtoto wako mliyeachana anakuletea mtoto umuone na unakaa nae kwa week mbili, ungemmega au ungemucha?

Ukiwa na jibu, basi lolote linawezekana...

Cc: mahondaw
 
Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na msichana mmoja mrembo sana. Hakuwa mrembo tu bali pia alikuwa na akili zilizoendana na urembo wake. Nilimpenda sana kwani niliona hatimaye nimempata anayeendana na mimi.

Wakati tunakutana nilimkuta akiwa tayari ana mtoto mmoja. Mtoto huyo alikuwa na umri wa miezi tisa. Baba wa mtoto huyo aliachana na huyo msichana wakati akiwa bado mjamzito wa miezi mitano na hata alipozaliwa jamaa hakuwepo na hakuja kumwona mwanae hadi alipofikisha umri wa miaka miwili.

Ndani ya miaka miwili ya uhusiano wetu jamaa akaanza kumshinikiza demu wangu ampeleke mtoto Toronto ili akamwone baba yake. Demu wangu akawa kwenye mazingira magumu kwa sababu tokea amzae huyo mwanae, baba yake alikuwa hajamwona na alikuwa anataka sana mwanae amjue baba yake. Wakati huo huo uhusiano wetu ulikuwa umekolea na mimi fikara za kumvalisha pete zikawa zimeanza kutawala kichwani mwangu.

Kwa takribani mwezi mzima akawa anafikiria ni jinsi gani ataweza kwenda kumpeleka mtoto Toronto bila kuharibu uhusiano wetu. Kumpandisha mtoto ndege na kuwakabidhi watu wa ndege halikuwa wazo zuri kwa sababu mtoto alikuwa bado mdogo sana. Mwishoni kukawa hakuna jinsi zaidi ya yeye mama mtu kumpeleka mtoto kwenda kumwona baba yake.

Siku ya siku ikafika. Mama na mtoto wakapanda ndege kwenda Toronto kumwona baba wa mtoto. Nikaachwa nyuma peke yangu. Toronto walifikia kwa huyo jamaa. Na jamaa alikuwa akiishi kwenye condo ya vyumba viwili. Ufikiaji wao hapo haukunipendeza licha ya demu wangu kuniahidi kuwa atakuwa analala sebuleni huku jamaa akilala chumbani kwake na chumba kile kingine cha pili atalala mtoto.

Walikaa huko kwa wiki mbili. Kila siku akiwa huko alijitahidi kunipigia simu angalau mara moja kuongea na mimi. Ilikuwa wakati mgumu sana kwangu mimi kwani sikumwamini hata kiduchu eti kuwa atakuwa analala sebuleni. Nikamwambia amwambie hivyo mtoto wa chekechea na si mimi kwani ingawa nilizaliwa usiku, sikuzaliwa jana usiku!!

Baada ya kurudi nilimwuliza kama alimegwa na yeye alikataa katakata. Mimi kwa upande wangu sikumwamini hata kidogo na nikamwacha.

Wadau, hivi kweli mnadhani alikuwa ananiambia kweli? Mtu kafikia kwa jamaa halafu kakaa wiki mbili, hivi kweli hawakumegana? Komredi Fidel hebu nipe mawaidha yako...unalionaje hili? Nilimegewa? Mimi nadhani nilimegewa ingawa sina ushahidi wa bunduki inayofuka moshi.

Ndugu yangu huyo mwanamke bado alikuwa anampenda baba mtoto tena sana. wewe uliingia tu by the way sabau aliona jamaa anazingua.

wewe fikiria, mwanaume kampa mimba na kumtelekeza tangu ikiwa na miezi mitano, leo hii anamkuja kumdemand demu ampelekee mtoto tena siyo Kimara walikopeana hiyo mimba bali Canada!!!! kwa nn asimgomee kwa kumwambia kama kweli unataka kumuona mtoto njoo umuone huku mi siwezi kuja huko na kwa sasa nina mchumba wangu hawezi niruhusu.
Yaani wanawake bwana sometimes wana bore sana..... ila acha tu tuwavumilie maana ni mama zetu na dada zetu.

Jamani niwieni radha binafsi nawapenda sana wanawake ila hii ni hasiran tu
 
Ila si unampenda? Assume lilitokea/hakuna lililotokea (50:50), then move on. Forget about the event. If you want to spend your life with her, start thinking about how to handle that child, that is, either jamaa akae na mwanae au awe anakuja kwenu kumtazama, na kwa kipindi maalumu mtakachokubaliana. Help her to set the rules. But remember, mtoto hana makosa, na msikilize mama anajisikiaje, maana kumpa mtoto huyo baba (ambaye namuaona sio responsible) halafu mama akae na mawazo juu ya mwanaye huko aliko itawasumbua sana.
Cheers.
Pole sana mtoa mada lakini huu ushauri wa Chupaku ndio ushauri mzuri ufuate. Usimuache kwa mambo ya kufikirika tu amini usiamini inawezekana hawakushiriki tendo au walishiriki lakini hangaikia moyo sio mwili. Kama moyo wake uko kwako hilo ndilo la muhimu zaidi.
 
Binafsi mimi kama mm nisingempeleka mtoto kabisaa, mimba ina miezi hadi unajifungua mtu hajui chochote, mtoto anakaribia kumaliza mwaka unamdai, halafu nakuletea tu, sijafanya hiyo kazi, halafu hapo ndio huwa tunafeli sana wanawake tayari una mwanamme mwingine na una furaha nae kwann uhangaike eti kisa tu umezaa nae,mtoto ni wake hilo halibadiliki lkn unapaswa kumweshimu ulo nae kwa wakati huo, angefunga safar aje amuone mtoto wake -period
 
Back
Top Bottom