Nahisi nilimegewa

Nahisi nilimegewa

They say love is blind, but jealousy sees too much.

Kama uliamini hawezi kukaa huko bila kufanzwa, kwa nini ulimuachia aende?

Sasa ningemfunga kamba asiende? Nilimpa ultimatum na akachagua na mimi nikaamua.

Halafu what is with this "kumegwa" terminology, ninavyojua kinachomegwa unaweza kuona kimemegwa, wewe umeona kimemegwa au kiko vile vile?

Don't worry too much about the terminology used. Mengine ni kwa ajili ya kuleta ladha na kunogesha mada.

Kama una wivu hivyo wewe ulikuwa si mtu wa kujiingiza katika uhusiano na mtu mwenye "baby father" tayari, maana napata picha in your future kutakuwa na complications zaidi katika hii threesome.

We all succumb to the green eyed monster at some point in our lives. It is human and I was no exception. If you tell me you haven't then you are a bold faced liar
 
Ukizoea sana kumegamega matatizo ndo hayo ya kuwa na mawazo kuwa mwandani wako nae kamegwa kama wewe unavyomega sehemu nyingine. Kama alimegwa ni suala la kuwa mpole na kuendelea na maisha,iwapo hakumegwa hiyo ni bahati yako mkuu!
 
usiogope wala nini mtu mzima,wala hakumegwa bana..........WALIMEGANA!!
 
Mnajua haya mambo ya kumegana mnayapa umuhimu mkubwa kuliko yalivyo. Kwa sababu mnaingiza akili nyingi na hisia. Kumegana peke yake ni mojawapo ya vitendo vya kinyama (literally) kuliko vitu vingi sana. Mbwa wanamegana, ng'ombe wanamegana, mbuzi wanamegana n.k Kwa sababu ni kitendo cha kimwili zaidi chenye kurelieve mahitaji fulani ya kimwili. Ukiweka uhusiano wako kwenye msingi wa kumegana tu utakapokutwa mwingine kamegwa huko utaumia sana!!

Sasa, kosa kubwa ulilolifanya ndugu yangu ni kutaka kujua kama kamegwa au hakumegwa. Lakini kosa lililotangulia ni kuwa hukuamini kuwa anaweza kuamua kutokumegwa na akakaa wiki mbili na huyo mtu bila kumegwa kwa hiyo ulimhukumu kuwa atamegwa kabla hajaondoka kwenda Toronto na hakuna kitu chochote ambacho angeweza kukuambia ambacho kingekufanya ubadili uamuzi. Sasa kama jamaa kammega kwa wiki mbili ndiyo hivyo kammega lakini at the end mdada bado anataka kuwa na wewe ili uendelee kummega kwa haki zako na kulipizia. Katika mazingira hayo wewe ndio umekosa uhondo wenyewe kwani kama alimegwa kule kwa sababu ya mahitaji tu ya kimwili na "kukumbushia" ni wazi kuwa wakati anakuja kwako angekubali mmegane hadi upige kelele kama vuvuzela! Lakini wewe ukatibua kwa kutaka vikamilifu.

Kwa hiyo, nenda ukamuombe msamaha, na kama yupo na mtu mwingine mwalike aje akutembelee japo mara moja hivi ili muweze "kukumbushia" mlipoachana na huwezi kujua itakuwaje. Kwani ninavyosoma ni kuwa jinsi mlivyokuwa mnamegana hukuwa tayari mtu mwingine hata kuonja kwa macho aonje.
 
Sasa ningemfunga kamba asiende? Nilimpa ultimatum na akachagua na mimi nikaamua.

Ultimatum gani?

Don't worry too much about the terminology used. Mengine ni kwa ajili ya kuleta ladha na kunogesha mada.

The terminology could reveal so much about you, your personality and your thought process, therefore it is a crucial part of the question.

We all succumb to the green eyed monster at some point in our lives. It is human and I was no exception. If you tell me you haven't then you are a bold faced liar

You don't know me like that homie, or do you? Jealousy is really for the insecure.Kwangu mimi kuna kuwa na mtu au kutokuwa naye, kama nammind nakuwa naye, akichemsha naanza, kwa system hii utaona hakuna muda wa kuwa jealous hapo.Ninayekuwa naye ninakuwa na confidence naye, nikiwa sina confidence naye siwi naye, no room for jealousy.

Sasa wewe ambaye uko na mtu ambaye humuamini ndiye mwenye room for jealousy, kumtaka unamtaka lakini hapo hapo humuamini, kwa nini usiwe na jealousy, kila anapopiga kona unamuandama, bado kidogo umkodie private detective amfuatilie nyendo.

Kama mtu humuamini kiasi hiki ya nini kuwa naye? Haya si mapenzi ni mateso.
 
Mnajua haya mambo ya kumegana mnayapa umuhimu mkubwa kuliko yalivyo. Kwa sababu mnaingiza akili nyingi na hisia. Kumegana peke yake ni mojawapo ya vitendo vya kinyama (literally) kuliko vitu vingi sana. Mbwa wanamegana, ng'ombe wanamegana, mbuzi wanamegana n.k Kwa sababu ni kitendo cha kimwili zaidi chenye kurelieve mahitaji fulani ya kimwili. Ukiweka uhusiano wako kwenye msingi wa kumegana tu utakapokutwa mwingine kamegwa huko utaumia sana!!

Sasa, kosa kubwa ulilolifanya ndugu yangu ni kutaka kujua kama kamegwa au hakumegwa. Lakini kosa lililotangulia ni kuwa hukuamini kuwa anaweza kuamua kutokumegwa na akakaa wiki mbili na huyo mtu bila kumegwa kwa hiyo ulimhukumu kuwa atamegwa kabla hajaondoka kwenda Toronto na hakuna kitu chochote ambacho angeweza kukuambia ambacho kingekufanya ubadili uamuzi. Sasa kama jamaa kammega kwa wiki mbili ndiyo hivyo kammega lakini at the end mdada bado anataka kuwa na wewe ili uendelee kummega kwa haki zako na kulipizia. Katika mazingira hayo wewe ndio umekosa uhondo wenyewe kwani kama alimegwa kule kwa sababu ya mahitaji tu ya kimwili na "kukumbushia" ni wazi kuwa wakati anakuja kwako angekubali mmegane hadi upige kelele kama vuvuzela! Lakini wewe ukatibua kwa kutaka vikamilifu.

Kwa hiyo, nenda ukamuombe msamaha, na kama yupo na mtu mwingine mwalike aje akutembelee japo mara moja hivi ili muweze "kukumbushia" mlipoachana na huwezi kujua itakuwaje. Kwani ninavyosoma ni kuwa jinsi mlivyokuwa mnamegana hukuwa tayari mtu mwingine hata kuonja kwa macho aonje.

Lol...wewe ndio nilikuwa nausubiri mchango wako kwa hamu sana na kama ilivyo desturi ya michango yako huu ume-live up to my expectation.

Ila unajua hindsight ni 20/20 na hapa kila mmoja ana maoni yake. Mwisho wa siku nadhani nilifanya uamuzi wa busara kwani mimi na yeye bado tuko damu damu ingawa hatuko item tena, if you get my drift.
 
Mapenzi ni kuaminiana, kama wewe unashindwa kumuamini mwenzio vp wewe akuamini... Je wewe alipo kuacha na kwenda Toronto ukumega mwingine uku nyuma...!? Kama ukumega basi na yeye ajamega wala kumegwa na mwingine.

Pole sana kwa mtafaruku wa kimawazo.
 
Wadau inawezekana kuwa kweli dada hakumegana (hili neno silipendi just by the sound of it sounds a little bit rude) na huyo baba mtoto ila ndo hivyo inakuwa ngumu kweli Brasil kumuamini. Ukiachilia mkasa huu, hata huku kwetu uswahilini msichana akikutana na ex wake tu in good spirit and intentions labda ana shida au nini huyo mwanaume wake mpaka amuelewe inakuwa kazi, it takes extra eefforts to convince that you didnt do a thing with him hata kama you met in a public place. kwa hii case ya Brasil, mama mtoto ukiachilia alikuwa under the same roof with baba mtoto but it doesnt mean kwamba alimegana naye ingawa hisia za Brasil (and other men/people wanaojadili this thread) ziko like 80% kuwa alimegana naye.

Sasa mie nauliza in connection with this thread, kwa nini inakuwa ngumu hivyo kumuamini na rahisi sana kuconclude kuwa mpenzio kamegana na ex wake?? eti nyie wanaume mbona mwawa wagumu hivyo mpaka mtupe shida kwanza ndo mkubali??na wengine hata hawakubali kabisa na uhusiano unavunjika kwa sababu tu ya hisia ambazo saa zingine zinamislead.

JS to sum up all this Brasil is insecure PERIOD! Kwani huyo Gf alikuwa na hakika gani anamwacha yeye Brasil peke yake all those two weeks! Nini two weeks kuna namaba zikiachiwa masaa tu habari yake ni nzito!
 
Sasa ningemfunga kamba asiende? Nilimpa ultimatum na akachagua na mimi nikaamua.

How old are you?

Nafuta kauli zangu zooote baada ya kuona this remark!

You don't deserve her ACTUALLY you don't deserve any woman so to speak!

Mkuu ili kuprotect mustakabli wa maisha yako ya baadaye WEYE jiuzulu tu kwenye haya mambo ya malavi davi! Huna mtima wa kuyahimili ati!:mmph:
 
Lol...wewe ndio nilikuwa nausubiri mchango wako kwa hamu sana na kama ilivyo desturi ya michango yako huu ume-live up to my expectation.

Ila unajua hindsight ni 20/20 na hapa kila mmoja ana maoni yake. Mwisho wa siku nadhani nilifanya uamuzi wa busara kwani mimi na yeye bado tuko damu damu ingawa hatuko item tena, if you get my drift.

of course.. a.k.a friends with benefits.. I gotchu pleiya!
 
Mnajua haya mambo ya kumegana mnayapa umuhimu mkubwa kuliko yalivyo. Kwa sababu mnaingiza akili nyingi na hisia. Kumegana peke yake ni mojawapo ya vitendo vya kinyama (literally) kuliko vitu vingi sana. Mbwa wanamegana, ng'ombe wanamegana, mbuzi wanamegana n.k Kwa sababu ni kitendo cha kimwili zaidi chenye kurelieve mahitaji fulani ya kimwili. Ukiweka uhusiano wako kwenye msingi wa kumegana tu utakapokutwa mwingine kamegwa huko utaumia sana!!

Sasa, kosa kubwa ulilolifanya ndugu yangu ni kutaka kujua kama kamegwa au hakumegwa. Lakini kosa lililotangulia ni kuwa hukuamini kuwa anaweza kuamua kutokumegwa na akakaa wiki mbili na huyo mtu bila kumegwa kwa hiyo ulimhukumu kuwa atamegwa kabla hajaondoka kwenda Toronto na hakuna kitu chochote ambacho angeweza kukuambia ambacho kingekufanya ubadili uamuzi. Sasa kama jamaa kammega kwa wiki mbili ndiyo hivyo kammega lakini at the end mdada bado anataka kuwa na wewe ili uendelee kummega kwa haki zako na kulipizia. Katika mazingira hayo wewe ndio umekosa uhondo wenyewe kwani kama alimegwa kule kwa sababu ya mahitaji tu ya kimwili na "kukumbushia" ni wazi kuwa wakati anakuja kwako angekubali mmegane hadi upige kelele kama vuvuzela! Lakini wewe ukatibua kwa kutaka vikamilifu.

Kwa hiyo, nenda ukamuombe msamaha, na kama yupo na mtu mwingine mwalike aje akutembelee japo mara moja hivi ili muweze "kukumbushia" mlipoachana na huwezi kujua itakuwaje. Kwani ninavyosoma ni kuwa jinsi mlivyokuwa mnamegana hukuwa tayari mtu mwingine hata kuonja kwa macho aonje.

Mzee Mwanakijiji wewe umenena vema sana .....Ila huyu Brasil sijajua kwa nini alimruhusu binti akafunga safari na akafikia kwa jamaaa ..
Yote yanawezekana na inawezekana hakumegwa :mmph:
 
Dada, mapenzi ni hiari, mapenzi si jela. Unampenda mtu kwa hiari yako. Hulazimishwi na mtu. Sasa kama dada wa watu alikuwa anataka kufunga hiyo safari mimi ningemzuiaje? Wote tulikuwa watu wazima na nijuavyo mimi mtu mzima akitaka kufanya kitu atafanya tu.

Labda mimi sijui na naomba unieleze. Ingekuwa wewe mwenzako anataka kufanya hivyo ungemzuiaje? Ungemfunga kamba kwenye mti asiende? Ungemfungia chumbani asitoke hata nje? Unawezaje kumzuia mtu mzima anayetaka kufanya atakacho au apendacho?

Nilichofanya mimi kilikuwa kitu cha kiungwana na cha busara. Niliweka wazi hisia na hofu zangu mapema kabisa kabla ya safari yenyewe. Nikamwambia ukifanya hivi kitatokea hiki na ukifanya vile kitatokea kile kwani kila tendo lina matokeo yake. Akaamua na mimi nikafuata nilichomwambia. Sasa dada FirstLady1 kosa langu liko wapi hapo?
 
How old are you?

Old enough to know better

Nafuta kauli zangu zooote baada ya kuona this remark!

Go on right ahead..I won't lose a pound over it.

You don't deserve her ACTUALLY you don't deserve any woman so to speak!

Opinions are like assholes, everyone has one. So you are entitled to yours.

Mkuu ili kuprotect mustakabli wa maisha yako ya baadaye WEYE jiuzulu tu kwenye haya mambo ya malavi davi! Huna mtima wa kuyahimili ati!:mmph:

Absurd of all absurdities.
 
FirstLady1 bado nasubiri majibu yako. Nina hamu sana ya kujua 'ningemzuiaje' huyo mdada asimpeleke mwanae kumwona baba yake. Maoni yako nayathamini sana kwa hiyo tafadhali usiniangushe na kusepa kidiplomasia.
 
Bht,hapo wote wawili walichemka tuu.Sasa wewe kuniringishia vogue yako unanipostia?Si angeenda nae? Na huyo dada alikuwa anamtaka tuu huyo mzazi mwenzio,anapelekewa mtoto yeye ni presidaa huko toronto!Anashindwa kubeba boksi akwee pipa kuja kumuona mtoto?Afu kwa mwanamke aliyetendwa na kutelekezwa akiwa mjamzito,kumpa mtu heshima yoote hiyo ya KUMPELEKEA mtoto,mtoto huyohuyo ambaye hakumtaka kabla ya kumuona!Angekuwa mama yangu,nikajua hii stori,ningemjia juu kwa kujipendekeza kwa huyo mtu wa kiume (manake baba yangu ni yule aliyekubali jukumu la kunilea)

Kwanza inabidi mzielewe sheria za uhamiaji za Marekani. Kama huzijui na kuzielewa ni rahisi sana kunilaani mimi na kuniona zumbukuku niliyejitakia yaliyonitokea. Jamaa alikuwa deported kutoka Marekani. Ukiwa deported kutoka Marekani unapigwa marufuku kurudi kwa miaka kadhaa, kama sijakosea (sina hiyo sheria hapa kwenye makabrasha yangu lakini inasema hivyo.)

Pili, hakumtekeleza huyo mama mtoto wake. Kwani hata baada ya kuwa deported jamaa aliendelea kumhudumia kifedha huyo mdada na hata mtoto alipozaliwa jamaa aliendelea na majukumu yake. Labda mimi sijui maana ya 'kutelekezwa' lakini sidhani hali iliyomkuta jamaa unaweza kuiita 'utelekezaji'.

Na baada ya jamaa kuwa deported mdada hakuwa tayari kuondoka na kumfuata huko alikoenda. Ndio hapo uhusiano wao ulipovunjika. Kwa hiyo siyo kwamba jamaa alimwacha mdada. Ni 'circumstance' tu ndizo zilizosababisha wasiwe pamoja. Baada ya jamaa kuwa deported akaendelea na maisha yake na akaanza kutoka na watu wengine. Mdada wangu naye akaendelea na maisha yake na ndipo alipokutana na mimi sasa.

Na nisingeweza kwenda nae. niende nae ili iweje? Hapana bana. Nina ego na mimi. Na ndio maana nikaweka bayana kuwa akienda uhusiano wetu unakufa akibaki unaendelea. Akaamua kwenda nami sikusita, nikavunja uhusiano. Sasa wengi wenu mmepuuzia uamuzi niliochukua ambao mimi nadhani ulikuwa wa kijasiri, thabiti na sahihi. Mmeng'ang'ania kusema eti kwa nini nilimwachia aende....sasa sijui mimi ningemzuiaje mtu mzima aliyekwishaamua kufanya hivyo. Mapenzi sio utumwa na unyapara, at least kwangu mimi. Ukikiuka matakwa yangu unapigwa chini na maisha yanaendelea kama kawa na hicho ndicho kilichotokea. Kwangu mimi kwenye mahusiano hakuna kulazimishana.
 
. Mapenzi sio utumwa na unyapara. Kiuka matakwa yangu unapigwa chini na maisha yanaenda kama kawa na hcho ndcho kilichotokea. Kwangu mimi hakuna kulazimishana. Ukifanya kitu jua kitakuwa na consequences, nzuri au mbaya.
Aaah!!! kumbe majibu yote unayo asa unataka watu wakushauri kitu gani hapa. Mi naona ndio maana wengi wao wameshikilia kujadili maamuzi yako maana kama kuamua ulishaamua mkuu.
 
Nilikuwa nataka tu kuona wengine wangekuwa na fikara gani endapo na wao wangekuwa katika hali kama hiyo.

But make no mistake about it, I wholeheartedly trust my judgement and I did get it right when I ended things before she even left for Toronto. I may be a lot of things but dumb I am not.
 
Haya bana
 
Back
Top Bottom