Nahisi nilimegewa

Nahisi nilimegewa

mie naona huyu Brasil ni NN halafu siamini kama NN alikubali kumegewa mchumba wake....
 
Brasil!!Blacl sikn hatuaminikiiii!!!Huo ulikuwa nimtego umetengenezewa hukujua kaka!!Maana fikiria kitukimoja!!Jamaa angekuja huku anepunguza cost!!!Kuliko wao kwenda huko maana mtoto alilipa half price!!Mama full price!!Je hipi rahisi Baba kuja au Mama na Mtoto kwenda??hapo nakupa vasi moja Umelela doro mtalimbo umeleladoro!! Basi hivi wewe kapelekewa canada mzigo......warudi wakwambia it was namal tu!!!Ukiona manyoya Kaliwa!!Funa nakitu kigumu kamoyo kako kasije kakalipuka bure kama utaendelea kuwazia!!Wahenga wanasema hawara hana taraka wakikutana wanakumbushia Pole we!!!!
 
noname .....NN aliwekwa kiganjani, ruhusa akatoa mwenyewe kumegewa 😀
 
Wadau inawezekana kuwa kweli dada hakumegana (hili neno silipendi just by the sound of it sounds a little bit rude) na huyo baba mtoto ila ndo hivyo inakuwa ngumu kweli Brasil kumuamini. Ukiachilia mkasa huu, hata huku kwetu uswahilini msichana akikutana na ex wake tu in good spirit and intentions labda ana shida au nini huyo mwanaume wake mpaka amuelewe inakuwa kazi, it takes extra eefforts to convince that you didnt do a thing with him hata kama you met in a public place. kwa hii case ya Brasil, mama mtoto ukiachilia alikuwa under the same roof with baba mtoto but it doesnt mean kwamba alimegana naye ingawa hisia za Brasil (and other men/people wanaojadili this thread) ziko like 80% kuwa alimegana naye.

Sasa mie nauliza in connection with this thread, kwa nini inakuwa ngumu hivyo kumuamini na rahisi sana kuconclude kuwa mpenzio kamegana na ex wake?? eti nyie wanaume mbona mwawa wagumu hivyo mpaka mtupe shida kwanza ndo mkubali??na wengine hata hawakubali kabisa na uhusiano unavunjika kwa sababu tu ya hisia ambazo saa zingine zinamislead.
 
mie naona huyu Brasil ni NN halafu siamini kama NN alikubali kumegewa mchumba wake....

lol!!! kwani huwa wanakubali wansema kabisa 'haya sawa kammege mchumba wangu'???
 
mie naona huyu Brasil ni NN halafu siamini kama NN alikubali kumegewa mchumba wake....

I told you I was your brother from another mother.

Anyways, thanks all for your input, thoughts, criticism, sympathy, emphaty, glee, and whatever else. I'm out.
 
Wadau inawezekana kuwa kweli dada hakumegana (hili neno silipendi just by the sound of it sounds a little bit rude) na huyo baba mtoto ila ndo hivyo inakuwa ngumu kweli Brasil kumuamini. Ukiachilia mkasa huu, hata huku kwetu uswahilini msichana akikutana na ex wake tu in good spirit and intentions labda ana shida au nini huyo mwanaume wake mpaka amuelewe inakuwa kazi, it takes extra eefforts to convince that you didnt do a thing with him hata kama you met in a public place. kwa hii case ya Brasil, mama mtoto ukiachilia alikuwa under the same roof with baba mtoto but it doesnt mean kwamba alimegana naye ingawa hisia za Brasil (and other men/people wanaojadili this thread) ziko like 80% kuwa alimegana naye.

Sasa mie nauliza in connection with this thread, kwa nini inakuwa ngumu hivyo kumuamini na rahisi sana kuconclude kuwa mpenzio kamegana na ex wake?? eti nyie wanaume mbona mwawa wagumu hivyo mpaka mtupe shida kwanza ndo mkubali??na wengine hata hawakubali kabisa na uhusiano unavunjika kwa sababu tu ya hisia ambazo saa zingine zinamislead.

Bravo bravissimo mamacita!
 
mie naona huyu Brasil ni NN halafu siamini kama NN alikubali kumegewa mchumba wake....

Au unajua nini, pengine Brasil ndio alimmega demu wa mtu....umelifikiria hilo? LMAO
 
They say love is blind, but jealousy sees too much.

Kama uliamini hawezi kukaa huko bila kufanzwa, kwa nini ulimuachia aende?

Halafu what is with this "kumegwa" terminology, ninavyojua kinachomegwa unaweza kuona kimemegwa, wewe umeona kimemegwa au kiko vile vile?

Kama una wivu hivyo wewe ulikuwa si mtu wa kujiingiza katika uhusiano na mtu mwenye "baby father" tayari, maana napata picha in your future kutakuwa na complications zaidi katika hii threesome.
 
Halafu what is with this "kumegwa" terminology, ninavyojua kinachomegwa unaweza kuona kimemegwa, wewe umeona kimemegwa au kiko vile vile?.

Mzee wanawake wa siku hizi wajanja sana.
Kitu kikitoka kumegwa kinarudishiwa vile vile kwa kukamuliwa Mdimu.
 
Back
Top Bottom