Nahisi nilimegewa

Wadau, hivi kweli mnadhani alikuwa ananiambia kweli? Mtu kafikia kwa jamaa halafu kakaa wiki mbili, hivi kweli hawakumegana? Komredi Fidel hebu nipe mawaidha yako...unalionaje hili? Nilimegewa? Mimi nadhani nilimegewa ingawa sina ushahidi wa bunduki inayofuka moshi.

Mkuu hili swali ni wewe tu unayeweza kujibu au labda umpelekee Sheikh Yahya wa Magomeni......
 
Brasil, pole kwa yanayokukuta. ila huwezi kuwa na uhakika sana kama kweli huyo mpenzio alitembea na baba mtoto kwa kipindi hicho cha wiki mbili. Na kama anakuambia hakufanya kabisa anakataa basi itabidi umuamini tu hakuna namna nyingine ya kupata ukweli. next time huyo baba mtoto kama ana shida ya kumuona mwanaye aje huko mnakokaa amuone na wewe ukiwepo.

Huyo mpenzi wako na yeye kisa cha kushukia kwa huyo kaka mwingine ni nini? kwani hoteli zilikuwa zimejaa au vipi? Ndo yale yale FL1 alisema saa zingine wasichana tunajitakia matatizo.

JS hapo ndipo kuna tatizo ...sometimez sijui akili gani huwa inatumika
 
Mimi nahisi watu wengine wanakuwa hawako sawa wanapofanya maamuzi. Kwanza huyu NN alikubalije kumruhusu mpenzi wake apeleke mtoto kwa baba badala ya baba kuja kumwona mtoto? Na kama ilikuwa ni lazima sana mama ampeleke mtoto, kwa nini afikie kwa ex-BF wake, tena mzazi mwenzie? Kwa nini akae week 2? Maswali ni mengi ila NN ameyataka mwenyewe. Kila abiria analo jukumu (tena si dogo) la kutunza mzigo wake (wa ndani). Ukiwaachie wenzio wakusaidia basi kubali utakachokikuta!!

Hii imenikumbusha movie inaitwa, "Indecent proposal". NN anaweza kuitafuta aone yaliyomkuta jamaa baada kuazimisha mke wake kwa njemba kwa ajili ya malipi ya USD 1m.
 
hahahaha leo si ndio blue monday Teamo nina hangover ya kukata na shoka :focus:
ha ha ha ha!
mambo ya BALIMI-LAGER:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:!...

mwenzio jana dah!....kidogo nife kwa valuu
 
In the first place uliridhia hayo ambayo ulihisi yalitokea......umesema mwenyewe wewe si mtoto mdogo (hukuzliwa jana usiku)

sasa wakati anakwambia atalala kwa mazazi mwenzie kwa nini hukuuliza sababu? pengine hakuwa na hela ya kukodi chumba hotelini na ungefahamu ungensaidia labda na kuepusha na jaka moyo la hivi???

'contributory negligence' hiyo sasa.....kama alimegwa at all!!!

afu ni kama sijakuelewa vizuri.....ulimwacha yaani mkaachana kwa sababu ulimshuku hivyo au??
 
hehehe,
mstahiki hakimu..........
kwa mara ya kwanza naiona fest post yako ambayo si ofutopiki!
okay turudi kwenye mada.......
we unadhani katika akili ya kibinadamu ya kawaida hiyo mambo ya ''..kumkabidhi fisi bucha..'' ni valid?ai miin KIBONGO-BONGO hata KI-BEBA BOXI PIA inawezekana?

cooooooooooooooooooooooooooooooooourrrrt!....
 
husikii utamu usiponitoa kwenye mada wewe........ntafanya rejoinder sasa hivi we subiri!!!

aisee hiyo haiwezekani ni hatari sana.......allurement hiyo Brazil alifanya tena on his own detriment sasa ona yalomkuta!!! ni kama alienda kumringishie mwenzie amwone demu alomwacha yeye sasa ndo anatesa naye!!! chochote chaweza kuwa kilitokea au hakikutokea!!!

kwa hiyo Teamo iwe kwa mmbeba box au mbongo bongo hii iko compliketed kiaina.
 
Nimejiuliza kweli huyu Brasil ni nani?!..kweli kama alikaa wiki mbili,kashughulikiwa.. Mtoto ni bond kubwa kati ya wazazi halafu peke yao huko Toronto mhh!!..
 
hehehe,
mstahiki hakimu..........
kwa mara ya kwanza naiona fest post yako ambayo si ofutopiki!
okay turudi kwenye mada.......
we unadhani katika akili ya kibinadamu ya kawaida hiyo mambo ya ''..kumkabidhi fisi bucha..'' ni valid?ai miin KIBONGO-BONGO hata KI-BEBA BOXI PIA inawezekana?

cooooooooooooooooooooooooooooooooourrrrt!....

You can only do that at your own risk! It hardly settles in my small brain!
 
Kwanini yeye ndio alimpeleka mtoto? hiyo ni sign kama bado anampenda X au ndio u airhead wa wanawake (mie siufahamu)... halafu nawewe ulikubali kwahiyo huna right ya kuwa na wivu...unajua sometimes women takes advantage of nice guys halafu wala hawawapendi... if u r too nice and allow her to walk all over u, u will be like a doormat and she will think u r a supplicating fool, akishaacha kukuhitajia she will dump you ...:smiling:

Samahani kama nime kukwaza...
 
husikii utamu usiponitoa kwenye mada wewe........ntafanya rejoinder sasa hivi we subiri!!!

aisee hiyo haiwezekani ni hatari sana.......allurement hiyo Brazil alifanya tena on his own detriment sasa ona yalomkuta!!! ni kama alienda kumringishie mwenzie amwone demu alomwacha yeye sasa ndo anatesa naye!!! chochote chaweza kuwa kilitokea au hakikutokea!!!

kwa hiyo Teamo iwe kwa mmbeba box au mbongo bongo hii iko compliketed kiaina.

Bht,hapo wote wawili walichemka tuu.Sasa wewe kuniringishia vogue yako unanipostia?Si angeenda nae? Na huyo dada alikuwa anamtaka tuu huyo mzazi mwenzio,anapelekewa mtoto yeye ni presidaa huko toronto!Anashindwa kubeba boksi akwee pipa kuja kumuona mtoto?Afu kwa mwanamke aliyetendwa na kutelekezwa akiwa mjamzito,kumpa mtu heshima yoote hiyo ya KUMPELEKEA mtoto,mtoto huyohuyo ambaye hakumtaka kabla ya kumuona!Angekuwa mama yangu,nikajua hii stori,ningemjia juu kwa kujipendekeza kwa huyo mtu wa kiume (manake baba yangu ni yule aliyekubali jukumu la kunilea)
 
Ivi kwani huyo msichana hawezi kusema hapana? Au wasichana wa siku izi wanafanya mapenzi na kila mtu aliye karibu nao? Kama huyo demu wako ni wa hivyo...aka kicheche...imekula kwako!
 
Kwanini yeye ndio alimpeleka mtoto? hiyo ni sign kama bado anampenda X au ndio u airhead wa wanawake (mie siufahamu)... halafu nawewe ulikubali kwahiyo huna right ya kuwa na wivu...unajua sometimes women takes advantage of nice guys halafu wala hawawapendi... if u r too nice and allow her to walk all over u, u will be like a doormat and she will think u r a supplicating fool, akishaacha kukuhitajia she will dump you ...:smiling:

Samahani kama nime kukwaza...

Are you serious (blue)? Akina dada naomba ufafanuzi! Uwiiiii...... yaani sisi tunaowatendea mema tumekalia kuti kavu. Please naomba mnisaidie nisije nikambadilikia my wife wangu!!

Noname, hebu sema haraka kama haya maneno yako siyo utani! Haki ya nani, ukichelewa utabeba zigo la lawama. Inabidi kuwahi watu ili tusijekuonekana mazoba. Doormat,......hili ni tusi kubwa sana!!
 
Bht,hapo wote wawili walichemka tuu.Sasa wewe kuniringishia vogue yako unanipostia?Si angeenda nae? Na huyo dada alikuwa anamtaka tuu huyo mzazi mwenzio,anapelekewa mtoto yeye ni presidaa huko toronto!Anashindwa kubeba boksi akwee pipa kuja kumuona mtoto?Afu kwa mwanamke aliyetendwa na kutelekezwa akiwa mjamzito,kumpa mtu heshima yoote hiyo ya KUMPELEKEA mtoto,mtoto huyohuyo ambaye hakumtaka kabla ya kumuona!Angekuwa mama yangu,nikajua hii stori,ningemjia juu kwa kujipendekeza kwa huyo mtu wa kiume (manake baba yangu ni yule aliyekubali jukumu la kunilea)

nawee umepotea!!! hiyo bolded nimeikubali, tena ningetaka aniombe na radhi kabisa etii!!!

yaani mimi mama wa mtoto nina shaka naye sana........why did she bother that much kama tu na yeye hakuona hiyo ndo nafasi??? jitu likuache na tumbo eti mtoto ana miezi 9 ndo anataka kumwona tena umpelekeeee........dah wanawake wengine walifundwa wakafundika as for me here nah!!! ntakufa kike na kanga kiuoni!!!
 
In the first place uliridhia hayo ambayo ulihisi yalitokea......umesema mwenyewe wewe si mtoto mdogo (hukuzliwa jana usiku)

sasa wakati anakwambia atalala kwa mazazi mwenzie kwa nini hukuuliza sababu? pengine hakuwa na hela ya kukodi chumba hotelini na ungefahamu ungensaidia labda na kuepusha na jaka moyo la hivi???

'contributory negligence' hiyo sasa.....kama alimegwa at all!!!

afu ni kama sijakuelewa vizuri.....ulimwacha yaani mkaachana kwa sababu ulimshuku hivyo au??

Kumekucha!
 
Back
Top Bottom