Nahisi nilimegewa

Nahisi nilimegewa

Kwisha habari yako.............. huyo bilashaka alimegwa kukumbushia penzi lao la zamani..... kama uliwahi kummgega demu kipindi cha nyumba na ukaja kupata bahati ya kukutana nae na akafika kwenye makazi yako 99% ukiomba tunda unapewa bila wasi wasi.....

Hakuna utata hapo. Ndiyo maana uamuzi alioufanya NN wa kuachana na binti ulikuwa mzuri sana maana jamaa angeendelea kutinga kwa kipindi kirefu tu kwa kisingizio cha mtoto.
 
...bro, hakuna tofauti kama alitembea nae au la. Huyo ni baba mtoto wake. Hakuna kizuizi cha kuwazuia kukumbushiana.
Maamuzi uliyafanya miaka miwili iliyopita, simamia maamuzi yako upate faraja akilini.

Kwa hiyo Mbu unahalalisha kukumbushia?
 
Kwa jinsi nilivyofuatilia argument yenu na bht, no offence lakini mkuu mi naona wewe ndiye unayeitafuta ligi.

mkuu wa kukukosa wa kukosa tu..... mie acha nikubali kuwa kifutia cha miguu hapa!!!
 
....licha ya demu wangu kuniahidi kuwa atakuwa analala sebuleni huku jamaa akilala chumbani kwake na chumba kile kingine cha pili atalala mtoto.

Walikaa huko kwa wiki mbili. Kila siku akiwa huko alijitahidi kunipigia simu angalau mara moja kuongea na mimi...

...kauli kama hizi zinanikumbusha Gilfriend wangu fulani miaka ilivyokuwa anani-cheat (Long distance Relationship)

Haiingii akilini eti 2years old baby alale chumba kingine, baba chumba kingine na mama mtu sebuleni. Unless angesema Baba na mwanae wanalala chumba kimoja naye tofauti, au yeye na mtoto wanalala chumba kimoja.

Hii kulala sebuleni maana yake nini? Halafu hiyo ya kupiga simu... Gilfriend wangu alikuwa ananipigia simu ya Goodnight, tena ananiambia anaweka simu kwa charger, au ana mute ili alale kumbe ndio naingizwa mjini.

Wanawake wengine wana dhambi sana wallah...
 
Ukinunua gari used usione shaka siku likiendeshwa na mwenyewe kwani yeye alilijua tangu day one lilipotoka kiwandani
 
jamani lakini hivi mnavyofanya mnawahukumu wanawake wote wenye baby dady ..............

wengine hawako kihivyo akiachana na mtu ndo ameachana nae, na hata huyo mtoto anaweza kumpa bf/mume wa sasa ampelekee baby dady wa zamani ili akate mzizi wa fitna.

tusije kudumbukia katika wale wenye kuwahukumu wanawake wote kwa kosa la mmoja
 
Halafu ligi yenyewe ushaipata na una-enjoy maana mpinzani wako ameamua kukuachia ufunge magoli utakavyo. Miye yangu miguu tu hapa hahaahah.

hapa hamna ligi tena maana hakuna ushindani...........hapa hewala tu
 
Ya nini kujipa presha bana!

Huku ni kutojiamini ; kama ulimuamini akaenda na ukijua kuwa she had feelings for him; ulijiamisha toka mwanzo kuwa atamegwa!

Brasil; shem karudi kakurudishia mashine ! cool down bro! Take it easy will ya? Asingerudi je si ungepita unakimbia barabarani!:biggrin1:
 
Back
Top Bottom