chukuachako
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,260
- 871
Kuna alieanzisha uzi humu kusema kuwa KTMA wameanza kutaja kura zinaendaje na mwingine kuandika uongo kuwa Chibu anatoa hongo kushinda hawa naona sheria ndio itawatembelea soon.
Mifano ya watu wa hivi ndio kuanza kufundisha wananchi kuacha kutumia uongo na kutaka kushusha hadhi ya kampuni au waandaaji wa awards.
Usernames zao na na printscreen tayari yanawekwa sawa.
Na wengine waongo, ukitaka andika kitu basi rusha na source maana itakusaidia na ukidanganya basi unalo zaidi na zaidi.
Mwimbo ulivuma sana miaka hiyo unaitwa Mbagala alipoanzaga utaona na sura ya kigeni ucheki link chini hapa
https://youtu.be/hZBXVkAcbWo
duuu!!!atakasirikiwa sasa hivi na team kiba na wema maana wanavyojua kujishtukia!!
Watu tusicheke mjini.hapa na kuongea na watu kisa wao watanuna.
asante mkuu ila nilikua namuuliza huyo anaedai kua chibu alishutia wimbo huo jalalani akataka kufananisha idea yake na mwana ulioanzia kushutiwa chooni nikataka anijibu kua kwani wimbo wa mbagala si unabeba idea ya jalala sasa kwanini asishutie jalalani? Ila naona amekaa kimya.
Akishinda video bora yatakuwa maajabu ya mwaka...
Kwa jinsi Wamemkera Diamond kuna hatihati kama atahudhuria tuzo hizo... Ukimuona Daimond amekubali kuja siku hiyo ya KTMA ujue anachukua nyingi, hawezi kuja kuabishwa kipumbavu kirahisirahisi
Hahaha mkuu umetisha. Nimesoma hoja za dogo platnumz zina mashiko, ya moto band wako wapi? Christian Bella? Kwa maoni yangu hakuna wasanii wachukue tuzo nyingi kama hawa, wamefanya kazi nzuri sana. Hii ishu ya chuki kwa diamond hajaanza leo, lakini dogo is too smart for them. Yupo na vigogo wa tania kama mameneja zake, na wazee wa majungu, hivyo hawamuwezi. Halaf dogo ana nidhamu ya kazi na heshima kwa watu. Tofauti na wasanii wengine wanaolewaga umaarufu. Watashindwa tu, I thought jokate was too smart for that.. Kumbe ndo walewale.
Kama kukampeni angeaza na msanii wake Mirror anaemmeneji na kuinvest pesa yake. Zaidi ya hapo ni ushamba tu wa kutokubali matokeo ya kuachwa na Dangote.
Ahsante mkuu. Akili hii ktk hii post ma team wema hawawezi elewa.
Bravo.
nalichukiaje hilo kahaba??? wanamsema zari bibi, zao zenyewe zimekomaa utasema gamba la kobe, aweza kuwa bibi lakini yake ina mvuto na laini kama sufi! team michirizi mpoooooo???
tatizo watu wana mcho lakini hawawezi ona, yaani hilo kahaba limezeeka kuliko mimi! mmmmxxxxiiiiiiieeewwwww, DIAMOND ALIFANYA LA MAANA SANA KUSONGA MBELE, bora mbibi anayekielewa mara mia, kuliko kijana kahaba hana future kama huyo kahaba!
Sijui ni kwanini mwamchukia mtoto wa watu kiasi hicho.. Awe kahaba ni yeye na ndo maisha alochagua nashangaa mnavomsema hivo akati nyie usikute ndo mmekubuhu ila kwavile ni yeye basi mmekazana
ifike sehemu mkubali kwamba hii ni nchi huru na kila mtu ana haki ya kuishi atakavyo..... Mnanikwaza sana kwa kweli
Mwambie wema nae aache kujipendekeza kwa diamond kumtumia tumia vi text msgs na kumtaja kila sekunde kwenye show yake. Oh... Na kutokasirikia marafiki kisa wamemsapoti diamond. Akubali matokeo au Ale shubiri itampunguzia machungu ya kumtamani tena diamond na hatamrudia ng'oooo!
Team Wema na team kiba matusi ya nini.. Fanyeni kampeni zenu huku mkijiamini mwisho wa siku raia wataamua.
Diamond platnumz aka Chibu
Dalili za uoga washaona team mondi hawatetereki na kampeni zao.
Msingetetereka msingeanzisha uzi huu, wala kuandika magazeti mitandaoni, teeehteeeeh
Kumbe kaanza kampeni? Teeeehteeeeh
Hahahhhaha wapi katunziiiiii, wapi baba mutoto, mwaka huu mtatoboa screen kwa hasira hahahahahha! Wapi bibi trunktree
Asante ndugu yangu, maana naona Diamond wa watu ananangwa kwa ajili ya upuuzi. Mange Kimambi alivyomvalia njuga kijana wa watu utafikiri alikua anamjua enzi anauza mitumba. Wamuache Diamond wa watu. Nampenda Ali Kiba pia yeye ni msanii mzuri ila na yeye afanye kazi tuone ubunifu wake na yeye apande juu kama mwenzie. Chuki za nini?
Akina Davido na PSquare hata wao sio wajinga wanataka kufanya collabo na msanii ambaye kazi zake pia zina vutia. Number One was a hit on its own and when the remix with Davido came out it was a super hit.
Sioni uhusiano kati ya ushabiki wa team wema na team kiba na success ya Diamond. Diamond anapendwa kwa kazi zake nzuri full stop.