Nahisi kuna campaign dhidi ya Daimond

Mhhhh umeandikiwa au umeandika wewe??
Nimeandika mwenyewe mine
nawaambia hawa wakosefu wa shukrani wenye midomo ya shombo wanafk na wakosefu wa fadhila

yyaani kila jema liwe kwao tuuuu

kila jemaaa wafanyie wao tuuuu

wema angemsapoti daimond humu angetukanwa na haoa hao waanzisha thread tena matusi mazito mazito

kamsapoti kiba bado kwa tatizo
walitakaje labda?

hakuna analowafurahisha huyu mtoto wa mwenzenu ht mojaa
hebu muonege aibu bass...
mumuache sasa ni zamu ya aly kupata sapoti ya wema isac abraham sepetuu

ninyi white party mlipata sapoti kubwa sana na media zote ziliwabeba na wasanii karibu wote waliwaunga mkono

wafuasi wa daimond waache unafki wa kutaka wawe wao ndo wao tuu
huu utakua sio ushindani kamwe

na wema huyoo
mumpende,mumchukie mtajibeba mwaka huuu na aly ndo anampromoti vizuri tuuu....



m
 

Me wemq ni wangu awe michirizi, awe IQ ndogo, awe malaya au vyovyote vile. Hao mabikra acha wamuandame.
Sasa Si raisi wa maji taka amesusa kujikampenia kwny TUZO basi watulie wanyolewe. Wengine watapiga tuu
 
Me wemq ni wangu awe michirizi, awe IQ ndogo, awe malaya au vyovyote vile. Hao mabikra acha wamuandame.
Sasa Si raisi wa maji taka amesusa kujikampenia kwny TUZO basi watulie wanyolewe. Wengine watapiga tuu

hhhhahawhaaaa mabikra washaskia
tena wanajipendekeza maana ye hana hajja nazo maana kashawini mwenzetu na tuzo za kimataifa
wamuache wema wa watu she is heard enough...
 
Haya matusi yote kisa team ushuzi Mungu atusamehe tu mtu anatukana ka anakujua vile jaman ustaarabu hauuzwi.
 
Sijui ni kwanini mwamchukia mtoto wa watu kiasi hicho.. Awe kahaba ni yeye na ndo maisha alochagua nashangaa mnavomsema hivo akati nyie usikute ndo mmekubuhu ila kwavile ni yeye basi mmekazana
ifike sehemu mkubali kwamba hii ni nchi huru na kila mtu ana haki ya kuishi atakavyo..... Mnanikwaza sana kwa kweli
 

Hawa sio makubuhu tuu...yaani wanaomponda wamepiga umalaya migodini kwa wana apolo..nyuchi zao sasa ni balaa tupu hahahaaaaaaaaaaaaa..
Kwenye nyuchi zao unaweza kuingiza mikono miwili kwa pamoja afu ukapiga makofi uko ndani kwa ndani..
Wamebeba mabehewa wanajikuta wanamwona wema ndo anagawa papuchi
 

Wengine kufata mkumbo eti Malaya Malaya kitu gani huyo zari wanaemshobokea ndo katulia au Hao aliowapanga ndo kwake hawaonekani ila wema tu na huyo daimond angekua sio Malaya angetoka na kila msichana??

Huo utimu wa kijingajinga utadhani hata wanafahamu kuwa mpo Dunia hii kwa raha zao na umalaya wao huko huko Bana, mtoto wa watu Hana moyo wa chuma nae ana damu aisee ebu piga picha ndo ungekua ni wewe ndo unasemwa yote hayo ungejisikiaje.......

Siko timu ya yeyote ila kwa Hili mnakwaza NCHI HURU HII ACHA WAFANYE WATAKAVYO sijui hamchoki mpigia mbuzi gitaa
 

Very well said. I dont understand watu wanaomchukia Diamond, (simchukii Kiba, ni msanii na I love some of his work), hata kama anamashauzi, he has achieved everything through his hard work. He works hard, na halipui kazi zake. For that matter he deserves everything that he gets. Another thing nyie mnaomchukia Diamond mnashindwa kujua ni kwamba the boy is talented and creative. Hata mumtukane, mumpaishe Ali Kiba, mumseme vibaya Zari, mumseme vibaya kisa yeye ni wa Tandale, be rest assured that all that is not going to change what he was born with.
Halafu nimeona watu wanatokwa na mapovu kisa Diamond kasema"hashuki ng'oo". Please people this should tell you that the boy is confident in his ability to survive in the industry. Diamond knows that he doesnt need Wema wala hao wanawake aliotoka nao kitambo au hao rich gang ushuzi, au hao team Kiba na team Wema to remain in the industry. He knows his talent will keep him at the top. Only his hard work will keep him at the top. So hata Kiba azoe tuzo zooote kwa ajili ya ushabiki wa team Wema, we all know when it comes to talent and creativity Diamond wins hands down.
PS: Please people stop mentioning Mr Nice whenever Diamond's success is up for discussion. Mr Nice was a one hit wonder. Mr Nice had no respect for his producers or his management and then it was made worse by the fact that he couldnt come up with anything better after his first album, he did not wisely invest his money, in short Mr Nice didnt have a brain to save his life. So please, all those waiting on Diamond's down fall, dont hold your breath.

By the way, Nigeria has PSquare, Davidom Iyanya etc, do they also have this kind of ushabiki? Just wondering!
 

nimefatilia huu uzi kwa makini sana na sikutaka kukomenti kitu chochote but nilivyo ona hii post yako nimejikuta nacheka tu daah!!
 
Sio nongwa ila tunamshangaa ALLY kwa kuwaacha WAJINGA FULANI kwa kutumia mgongo wake kwa ajili ya visasi vyao na sio kwamba wanampenda

Yeah, kwa kuongezea tu K alikuwepo from mwanzo ;je waliwahi kumpigia promo kama sasa? Ni aibu kweli kweli..!!
 
diamonds are for forever! go diamond go!! i just like this guy nitavote mpaka!

Acha wajifariji, ila wasichojua tu ni kwamba Mond ana mashabiki lukuki, wengine hatuongeiongei sana tunatenda tu... (VOTE.. VOTE... VOTE...) DIAMONDS ARE FOREVER........
 

Nimependa uliyoyashusha
 



Mwambie wema nae aache kujipendekeza kwa diamond kumtumia tumia vi text msgs na kumtaja kila sekunde kwenye show yake. Oh... Na kutokasirikia marafiki kisa wamemsapoti diamond. Akubali matokeo au Ale shubiri itampunguzia machungu ya kumtamani tena diamond na hatamrudia ng'oooo!
 

Aah dada wewe
 
Nitashangaa kama video ya mwana itashinda. Anyway, kuna ma huihui wengi lolote laweza tokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…