Nahisi kumpenda my "Workmate"

Nahisi kumpenda my "Workmate"

Ujiandae siku mtakaponatiana usishangae we endelea tu kumkis mke wa mtu
 
Kanuni inasema.

Usitembee na mfanyakazi mwenzako, mpangaji mwenzio, rafiki wa mwanao, mpenzi wa rafiki yako.

Mimi nitasema usitembee naye kwakua mko ofisi moja siyo kwasabababu ameolewa ninavyoelewa ndoa siyo kizuizi kwa upande wake na hata wako.

Hii spark yenu ni ya muda tu haitaishi milele hivyo usijiaminishe kua upo radhi uwe step father.

Mimi nashauri labda muwe friends with benefit
 
Habarini Wanajamvi, Mliopo Kwenye Mfungo, Hongereni Kwa Swaumu. Twende Kwenye Mada, Mnamo Mwaka Jana Waliajiriwa Staff Wapya Hapa Ofisini Kwetu, Mmoja Wapo Kati Yao Nimebahatika Kuwa Nae Kwenye Idara Moja, Kama Mjuavyo utani Wa Maofisini mara Aniite Mpenzi, Mara Baby Na namuita Vivyo Hivyo.

Siku Moja Nilimuomba Tutoke Akakubali, Tukiwa Outing Katika Mazungumzo ya Hapa Pale, Akaniambia Ameolewa na Mtoto Ila Mumewe Hawaishi Pamoja Kutokana Na Changamoto ya Ajira, Akanionyesha Hadi Picha Za Harusi.

Ila Tuliendelea Kuwa Karibu, Mara Nimpeleke Hadi Kwake, Mara Nimletee Zawadi Kama Chocolate , Perfumes, Siku Aki Order Supu, Na Mimi Ananiletea, Tukihug, Analegea Kabisa, She Is Free Tunakiss, Mara Kwenye Mazungumzo, Aseme Hapendi Mwanaume Anaekunywa ( Coz hua Nakunywa Sometimes) , Baadhi Ya Staff Wenzangu Wanahisi Tuna Mahusiano, Kwa Kweli Ni Mzuri Na Mimi Nampenda, Ila Napata Ugumu, Labda Nitakapomueleza Hisia Zangu Pengine Nikaharibu Kabisa, Au Nikafanikiwa, Na Nikikaa Kimya Sijui Ananionaje? NAOMBENI Ushauri Wadau, Au Nikae Mbali Nae? Maana Kadri Siku Zinavyoenda Anazidi Kunihamasisha, Kumuota Hakuishi, Mwisho Usiku Wa Jana Kuamkia Leo.

Mtanisamehe Kwa Uandishi Wangu, Sipo Vizuri Kwenye Kuandika

Ahsanteni Na Karibuni
Dhambi nyingi huanzia kwenye mawazo,unachotaka kukifanya ni dhambi,na mshahara wa dhambi ni mauti,acha huo wema maana shida ya wanawake kila mara ni kudhani kuwa kuna wanaume wema,kumbe kwa kukubali kwao huo wema hujikuta wamenasa kwenye mtego,namsikitikia tu huyo bi dada kwani inavyoonyesha mpaka mlipofikia she is in for it..
 
Akukumbuke na yeye ataoa watu watamkula mke wake na kuja kuhadithia kama hivi.

Hata kama hataoa sahivi yuko njemba huko linamkaza demu wake mpaka maji anaita mma [emoji23][emoji23][emoji23]
Anambenjua Mijuu guu!!!dadadeki
 
Aisee nimepitia coment zote, kila mtu anapinga kutembea na mke wa mtu. Leo watu wameamka na malaika.

Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
 
Aisee nimepitia coment zote, kila mtu anapinga kutembea na mke wa mtu. Leo watu wameamka na malaika.

Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
na sio mahusiano ya mke na mume tu hata ya kimapenzi au uchumba..vema kua mwaminifu na uliyenaye ..utaonja wangapi au utaonjwa na wangapi hadi kuridhika ..vema kuridhika na uliyenaye.
 
na sio mahusiano ya mke na mume tu hata ya kimapenzi au uchumba..vema kua mwaminifu na uliyenaye ..utaonja wangapi au utaonjwa na wangapi hadi kuridhika ..vema kuridhika na uliyenaye.

Hakika
 
Mke wa mtu unampigia mahesabu..?dhambi ambayo nitaitenda siku nikimtia mikononi mwehu aliejichanganya kwa mke wangu hakika hata shetani simuhusishi maana anaweza kuniomba nisiitende dhambi hiyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom