Nahisi kumpenda my "Workmate"

Nahisi kumpenda my "Workmate"

Hapo anajiona mjanjaaaa kupenda mwanamke ambae tayari ana mumewe tena wandoa.

Its not right ila yatamrudia siku si nyingi.

On the other hand usikate tamaa ya kuoa kwa kuona vijimambo kama hivi. Kuna wanawake wanajielewa na hawawezi kukaribisha upuuzi kama huu.

Yeah kweli ni kumuomba tu Mungu niwe mume mwema na niate mke mwema
 
Andaa rinda tu , siku mwenye mali akikukamata utatoa cheche.
 
Na mimi nasubiri Wanabodi watoe ushauri,Mimi kuna mmoja Mgeni Mgeni sasa Ameoloteza na Lugha ya Home.Kila asubuhi anatext ,mchana,jioni.Akiwa Ofisi kwake hata nikipita korido labda ninyate na nisiongee ataita au atapiga simu.Amekariri sauti yangu kipindi kifupi sana.Sasa juzi ndiyo kaniacha hoi,nilipita koridoni akaniita nilipoenda nilikuta amerelax kabisa eti joto.Nikamtania nini sijui nikasikia "zaidi ninavyokupenda wewe" nikajibaraguza na kuondoka.Nasubiri ushauri na mimi nikafanyie kazi
Nae ni mke wa mtu?
 
Brother...achana na huyo dada kwa heshima tuu ya ndoa yake. Imagine angekua ndio mkeo huyo.
Respond Yake Sasa, Sometimes Hata Nikiwa Namkwepa, Analalamika mara Namchunia, Mara Simpendi Kama Mwanzo
 
Umeshakosea mkuu, sio busara kufanya yote hayo hadi kumkiss mke wa mtu.
"IKIMBIENI ZINAA".

Punguza ukaribu mkuu.
Ni Kweli Usemacho, Ila Anavutia, Na Kuna Vitu Anafanya Mkiwa Close hadi Nashindwa Jizuia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom