Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,118
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Usiwaze sana Shem wa kwako hana hizi tabia [emoji4]
Ntamchunguza
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Usiwaze sana Shem wa kwako hana hizi tabia [emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anambenjua Mijuu guu!!!dadadeki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna bwana usiogope[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu jamaa kanishusha imani
Hapana Mkuukwanza upo benk? na kama upo benki ..mpo mbeya?
This shit is real![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna bwana usiogope
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ntamchunguza
kua makini...mnatafutwa watu kama nyie..mnaopenda kuteremka wake za watuHapana Mkuu
Kama Na Yeye Anaridhia, Mi Nifanye Nini?Unajisahaulisha mwenyewe...hujui kama ni mke wa mtu huyo...aahhh jitake radhi bana
Mkwepe bana..unashindwa hilo?Kama Na Yeye Anaridhia, Mi Nifanye Nini?
Nimemjengea Mazingira Kiasi Ambacho, Nimekuwa Kama Furaha YakeMkwepe bana..unashindwa hilo?
Doh..haya pambaneni na hali zenu..kumbuka za mwizi 39Nimemjengea Mazingira Kiasi Ambacho, Nimekuwa Kama Furaha Yake
litaanzaje wakati halina tactics...Mkwepe bana..unashindwa hilo?
kesho akihama kazi akienda pengine napo atakutana na watakao mjengea mazingira akawa na furaha..our POINT IS MAZINGIRA YAWE NA MIPAKA..usijidai una vuka mipaka ya MME WAKE maana huna haki hata kwenye jicho la sheria....Nimemjengea Mazingira Kiasi Ambacho, Nimekuwa Kama Furaha Yake
Amesema hawezi mkwepa sababu uwepo wake unampa furaha yule mwanamke..muache atafute anachokitaka asije tu kulalamika baadae..Mume/Mke wanauma asikuambie mtulitaanzaje wakati halina tactics...
yani kaingilia battle ambayo siyo matching kwake..
angekua mume wa mtu na yeye angeelewa kumkwepa..ila kinuka mkojo....hakioni mbali ..hela yake hapo kalipia geto kanunua boxer kanunua gesi kwao kalipa madeni kalipa kodi mchezo umeishaaa.....kala bia na masela mavi wenzie wameadisiana wamesapotiana wanaona ndo maisha...
anaanzaje kuona upande wa mumw w a mtu mwenye hayo yoteee, tena doubled maana ana familia mbili commitment mbili nk..yani uo uchungu wake huyu kwake anaona kawaida si amekingwa na kutazama kwa ufupi kwa upeo wa mke wa mtu
ataanzeje na hapo rinda lina nyuzi nneAmesema hawezi mkwepa sababu uwepo wake unampa furaha yule mwanamke..muache atafute anachokitaka asije tu kulalamika baadae..Mume/Mke wanauma asikuambie mtu