Nahisi kumpenda my "Workmate"

Nahisi kumpenda my "Workmate"

Mke wa mtu .... Kuwa na mahusiano na mke wa mtu ni kupoteza muda, rasilimali zako na kujivunjia heshima.
 
Habarini Wanajamvi, Mliopo Kwenye Mfungo, Hongereni Kwa Swaumu. Twende Kwenye Mada, Mnamo Mwaka Jana Waliajiriwa Staff Wapya Hapa Ofisini Kwetu, Mmoja Wapo Kati Yao Nimebahatika Kuwa Nae Kwenye Idara Moja, Kama Mjuavyo utani Wa Maofisini mara Aniite Mpenzi, Mara Baby Na namuita Vivyo Hivyo.

Siku Moja Nilimuomba Tutoke Akakubali, Tukiwa Outing Katika Mazungumzo ya Hapa Pale, Akaniambia Ameolewa na Mtoto Ila Mumewe Hawaishi Pamoja Kutokana Na Changamoto ya Ajira, Akanionyesha Hadi Picha Za Harusi.

Ila Tuliendelea Kuwa Karibu, Mara Nimpeleke Hadi Kwake, Mara Nimletee Zawadi Kama Chocolate , Perfumes, Siku Aki Order Supu, Na Mimi Ananiletea, Tukihug, Analegea Kabisa, She Is Free Tunakiss, Mara Kwenye Mazungumzo, Aseme Hapendi Mwanaume Anaekunywa ( Coz hua Nakunywa Sometimes) , Baadhi Ya Staff Wenzangu Wanahisi Tuna Mahusiano, Kwa Kweli Ni Mzuri Na Mimi Nampenda, Ila Napata Ugumu, Labda Nitakapomueleza Hisia Zangu Pengine Nikaharibu Kabisa, Au Nikafanikiwa, Na Nikikaa Kimya Sijui Ananionaje? NAOMBENI Ushauri Wadau, Au Nikae Mbali Nae? Maana Kadri Siku Zinavyoenda Anazidi Kunihamasisha, Kumuota Hakuishi, Mwisho Usiku Wa Jana Kuamkia Leo.

Mtanisamehe Kwa Uandishi Wangu, Sipo Vizuri Kwenye Kuandika

Ahsanteni Na Karibuni
Mke wa mtu sumu achana nae hyo
 
Dah...halafu kesho uje unalialia hapa...[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Nahisi mtoto si wangu
Natamani Kujiua
 
Respond Yake Sasa, Sometimes Hata Nikiwa Namkwepa, Analalamika mara Namchunia, Mara Simpendi Kama Mwanzo
Unamwambia tuu ukweli..huwezi endeleza ukaribu kwasababu sio sawa. Alafu stay away....kwasababu hiyo tamaa itachipua itazaa kitu kingine.
 
Huyo ni mke mwenye Mme mbili na msipoangalia ataongeza ya tatu
 
Kuna dereva wa bodaboda huku mtaani juzi kakoswa kidogo kupigwa dudu km sio raia wema kumsihi jamaa kubadilo zoezi ingekuwa aibu
 
vijana mnaambiwa kila siku mke wa mtu siyo.... hamuelewi sasa we pambana mkuu uje uongeze mifano kwa wenzio..!!!
 
Wee wala usiongee lolote ata yeye anataka umgegede. Sasa wee nenda hivyo hivyo ipo siku mtajikuta private chamber na mwanawane utakuta demu mwenyewe kavua chupi...utajilia kwa raha zako na hakikisha mwanawane unagegeda vizuri papuchi hiyo.
 
Una sheitwani wewe. Yani unataka kumfungukia mke wa mtu kwamba unampenda?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom