Nahisi kumpenda my "Workmate"

Nahisi kumpenda my "Workmate"

Imagine ni mke na ni mama pia...so much shame kuintertain whatever she is entertaining.
Yes
Na inavo onesha hata hajali ilo kwa kuwa yule jamaa haja alo muoa haja kaa stable ki maisha
Huyo mwanake ana ibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
 
Yes
Na inavo onesha hata hajali ilo kwa kuwa yule jamaa haja alo muoa haja kaa stable ki maisha
Huyo mwanake ana ibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
Kabisa..na likitokea la kutokea hana wa kumlaumu
 
IMG_0365.JPG
mkuu
 
Acha tamaa za wanyama pori mkuu we ni binadamu, et unahisi unampenda , huyo akiachika we unaweza kumchukua na kumuoa huyo? kichwa cha chini kisikuendeshe
 
Habarini Wanajamvi, Mliopo Kwenye Mfungo, Hongereni Kwa Swaumu. Twende Kwenye Mada, Mnamo Mwaka Jana Waliajiriwa Staff Wapya Hapa Ofisini Kwetu, Mmoja Wapo Kati Yao Nimebahatika Kuwa Nae Kwenye Idara Moja, Kama Mjuavyo utani Wa Maofisini mara Aniite Mpenzi, Mara Baby Na namuita Vivyo Hivyo.

Siku Moja Nilimuomba Tutoke Akakubali, Tukiwa Outing Katika Mazungumzo ya Hapa Pale, Akaniambia Ameolewa na Mtoto Ila Mumewe Hawaishi Pamoja Kutokana Na Changamoto ya Ajira, Akanionyesha Hadi Picha Za Harusi.

Ila Tuliendelea Kuwa Karibu, Mara Nimpeleke Hadi Kwake, Mara Nimletee Zawadi Kama Chocolate , Perfumes, Siku Aki Order Supu, Na Mimi Ananiletea, Tukihug, Analegea Kabisa, She Is Free Tunakiss, Mara Kwenye Mazungumzo, Aseme Hapendi Mwanaume Anaekunywa ( Coz hua Nakunywa Sometimes) , Baadhi Ya Staff Wenzangu Wanahisi Tuna Mahusiano, Kwa Kweli Ni Mzuri Na Mimi Nampenda, Ila Napata Ugumu, Labda Nitakapomueleza Hisia Zangu Pengine Nikaharibu Kabisa, Au Nikafanikiwa, Na Nikikaa Kimya Sijui Ananionaje? NAOMBENI Ushauri Wadau, Au Nikae Mbali Nae? Maana Kadri Siku Zinavyoenda Anazidi Kunihamasisha, Kumuota Hakuishi, Mwisho Usiku Wa Jana Kuamkia Leo.

Mtanisamehe Kwa Uandishi Wangu, Sipo Vizuri Kwenye Kuandika

Ahsanteni Na Karibuni
Na mimi nasubiri Wanabodi watoe ushauri,Mimi kuna mmoja Mgeni Mgeni sasa Ameoloteza na Lugha ya Home.Kila asubuhi anatext ,mchana,jioni.Akiwa Ofisi kwake hata nikipita korido labda ninyate na nisiongee ataita au atapiga simu.Amekariri sauti yangu kipindi kifupi sana.Sasa juzi ndiyo kaniacha hoi,nilipita koridoni akaniita nilipoenda nilikuta amerelax kabisa eti joto.Nikamtania nini sijui nikasikia "zaidi ninavyokupenda wewe" nikajibaraguza na kuondoka.Nasubiri ushauri na mimi nikafanyie kazi
 
Yaan kweli ukiskia ishu kama hizi ndio unaina kuoa nako si ishu.

Ila kweli atalipwa hapa hapa duniani
Hapo anajiona mjanjaaaa kupenda mwanamke ambae tayari ana mumewe tena wandoa.

Its not right ila yatamrudia siku si nyingi.

On the other hand usikate tamaa ya kuoa kwa kuona vijimambo kama hivi. Kuna wanawake wanajielewa na hawawezi kukaribisha upuuzi kama huu.
 
Kumbe ni wew unaemshobokea mke wangu ngoja nkikupa nakugegeda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom