Nahisi kufa kufa; unapata wapi nguvu ya kumwacha umpendae?

Nahisi kufa kufa; unapata wapi nguvu ya kumwacha umpendae?

wewe unaonekana mjuaji sana. hakuna mwanaume ambaye anapenda kulekebishwa lekebishwa sana yaonekana ww ulikuwa unataka awe perfect, kajaribu kuwa hivyo kwa kipindi hiko chote ila sasa kaona imetosha kuigiza tena basi. mwanaume wa wapi eti hanywi, havuti afu siyo mzinzi labda yesu.kachoka kuwa unavyotaka wewe, sasa anataka kuwa yeye mwache kijana wawatu awe huru
sijawahi kumbadilisha nilimkuta hivyo hivyo hanywi wala havuti
 
Girlfriend wangu alikuwa Kama wewe ananiambia usijali pesa tutafute mmmmh ilifika pahala nikakosa hata 1000 demu uvumilivu ulimshinda akaniacha,so jamaa kajiwahi iliasije umia nyie wanaowake mnacho Nena sicho mnacho maanisha!!
sio kila mwanamke yupo hivo jamani
 
asante ilanaumia sana...sijawahi hata mcheat...nilimpa moyo wangu woooteeee...nayeye nlimwamini sana...bora hata angekua muhuni...ila kinachoniuma hajawahi nionesha hata dalili...
Hakuhitaji kuonyesha dalili za uhuni, saa nyingine kuna wakati hata mvua hunyesha bila dalili.
 
Hao ndio wanaume mama kama huwajui, wana mioyo kama Simba. Wakiamua kufanya maamuzi yao hawaangali nyuma wala wew utabakije. Just be strong my dia. Nilishawahi patwa na kesi km yako. But i moved on.
 
Ila nguvu ya mwanaume nikuweza kumtimizia demu wake mahitaji yake ....usipokuwa na hela Kama Ni mwanaume rijali hiyo hamu ya kudate unaipata wapi
 
Hasaa ukutee mtoto mwenyewe mzuri wewe...!! Daah inakuwaga ngumu kukubali ukweli kuwa Upo tayari kuwa nae bila kujali Helaa...
msiwe hivo jamani...msiishi kwa mazoea...sio kila mwanamke anapenda pesa...mue mnajali hisia za wenzenu...sio kuumiza wenzenu kisa assumptions zako tu.
 
msiwe hivo jamani...msiishi kwa mazoea...sio kila mwanamke anapenda pesa...mue mnajali hisia za wenzenu...sio kuumiza wenzenu kisa assumptions zako tu.
[emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji24] [emoji24] Unadhani tunapendaa bhasii.. Ilaa nature tu ndo inafanyaa tuwe hivyoo..!! Wew mtoto mzuri uvumilie kuwa na mtu hakupia hata 100???
 
Huenda ulimpenda sana kiasi cha kuona bila yeye huna furaha au maisha yako hayajakamilika kwa hiyo kwake ikaappear kama uko so desperate. Kawaida hii huwa inamfanya mtu anakukinai au unakuwa hauko tena attractive kwake, unakuta yeye mwenyewe hajui kwa nini lakini anajisikia tu moyoni kukukinai and at the same time wewe ndo unampenda kwa kasi zaidi.
Kuna vitu viwili watu huwa wanachanganya, kuna Love na attachment.
Love says I love you so I want you to be happy,
Attachment says I love you so I want you to make me happy.
Love attracts, attachment repells.
 
Yan kama kmaliza chuo na ana kazi uyo atakuwa na stress kubwa mno tena km ndo alikuw anachukua education arts huyo hayuko sawasawa maana hakuna watu wenye stress km wahitimu wa iyo course!!jaribu kumuweka sawa kashakata tamaa huyo!!!
 
Hao ndio wanaume mama kama huwajui, wana mioyo kama Simba. Wakiamua kufanya maamuzi yao hawaangali nyuma wala wew utabakije. Just be strong my dia. Nilishawahi patwa na kesi km yako. But i moved on.
asante na hongera pia...ulikuja kupata wa kudum nae au...mana naogopa nahisi hata nikija kupata mwingine atafanya kama huyu...
 
msiwe hivo jamani...msiishi kwa mazoea...sio kila mwanamke anapenda pesa...mue mnajali hisia za wenzenu...sio kuumiza wenzenu kisa assumptions zako tu.
Experience is best lesson .....wanawake wa Karne hii huna hela etii inategemea true love.ni sawa sawa nakusubiri ndege stand ya bus
 
Mh ..pole...kifup huyo hajui anataka nini..hajui mahusiano yanahitaji nini, hajui kwanini alikua na wewe..hajiamini...
Hio sio sababu ya kukuacha ..kwaio akikuacha hayo mambo yake anayotakiwa kuyakamilisha ndo atafanikiwa?! Halaf akishafanikiwa ndo akurudie..kana kwamba wewe ni mlango he can leave and come back as he wants...kutakua kuna sababu nyingine tu aseme ukweli ila itakua kazi bure kuuliza uliza mtu ashakuambia muachane,,..tafuta siku nzima lia utakavyoweza delete all the pains then move on mwambie kwamba umekubal matokeo na umtakie kila la heri kwenye maisha yake mapya..na uki move on.u move on kweli.
 
Pole sn mpnz kwa maumivu,lkn usihamaki sn embu tulia umskilizie kwanza huenda anakutega ili auone msimamo wako au ana sababu nyingine tofauti na hiyo alokueleza ispokuq anahitaji muda.
Hayo ndio Mapenzi bhn alafu anakuacha kwenye tar mbaya namna hii[emoji36][emoji36]Mungu anamuona wallah
asante....yani kasimamia msimamo wake...na tangu aniambie hivyo kaniblock kote kasema na me nimblock nifute na namba yake ili niweze kumove on
 
asante na hongera pia...ulikuja kupata wa kudum nae au...mana naogopa nahisi hata nikija kupata mwingine atafanya kama huyu...
Hahahaa sasa kama una akili mpakato kias hiki kwanini usichezewe tu..rubbish kabisa
 
Back
Top Bottom