Nahisi binti yangu kaanza “kudukuliwa”

Nahisi binti yangu kaanza “kudukuliwa”

Nikimuuliza kitu anaweza akanijibu kama vile yupo na boyfriend wake. Mama yake nikimuuliza kulikoni anasema nae hajui lolote anashangaa amebadilika gafla.

Nadhani huyu binti ameshaanza kudukuliwa na wajanja.
Muosha huoshwa
 
Ndo matatizo ya kuzaa mapema haya! Binti anafika umri wa kubenjuliwa baba nae bado yupo kwenye umri wa kubenjua benjua mabinti mtaani! Matokeo yake kabinti kakianza kujaa kifua tu, tayari unawazia majamaa watakavyokuwa wanakirukia!

Mshikaji wangu alipata mtoto wa kike wakati yupo Form I, na mtoto mwenyewe akafuata nyayo za baba kuwa mapepe! Basi mshikaji alianza kuitwa babu kabla hajafika 35!! Taabu ikawa nikimwambia sasa atulie home kwa sababu keshaanza kupata wajukuu, jamaa anakuja juu na kuniambia nina mambo ya kingese, eti anajiona kijana wakati tayari ana mjukuu!!!
 
[emoji23][emoji23] daah huyo mtoto alimuweza baba yake
 
hua na muomba Mungu
Nikimuuliza kitu anaweza akanijibu kama vile yupo na boyfriend wake. Mama yake nikimuuliza kulikoni anasema nae hajui lolote anashangaa amebadilika gafla.

Nadhani huyu binti ameshaanza kudukuliwa na wajanja.
nina vijana wa kiume wawili namuomba Mungu aniepushie hiki kikombe
 
Ndo matatizo ya kuzaa mapema haya! Binti anafika umri wa kubenjuliwa baba nae bado yupo kwenye umri wa kubenjua benjua mabinti mtaani! Matokeo yake kabinti kakianza kujaa kifua tu, tayari unawazia majamaa watakavyokuwa wanakirukia!

Mshikaji wangu alipata mtoto wa kike wakati yupo Form I, na mtoto mwenyewe akafuata nyayo za baba kuwa mapepe! Basi mshikaji alianza kuitwa babu kabla hajafika 35!! Taabu ikawa nikimwambia sasa atulie home kwa sababu keshaanza kupata wajukuu, jamaa anakuja juu na kuniambia nina mambo ya kingese, eti anajiona kijana wakati tayari ana mjukuu!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuzeeshana hata mimi sikubali
 
Weeeeeh babu kijana kwann unamchunguza binti yako matiti Kama yamessimama au yamelala???

Mmhh awa wababa wa siku iziii
sasa miaka 14 ngoma ilale ziwa km mwajuma ndala ndefu mambo gani hayo,kwanza zamani ndo kabisa bibi anachungulia kila mtoto wa kike akirudi home anapima oil.
 
Ndo matatizo ya kuzaa mapema haya! Binti anafika umri wa kubenjuliwa baba nae bado yupo kwenye umri wa kubenjua benjua mabinti mtaani! Matokeo yake kabinti kakianza kujaa kifua tu, tayari unawazia majamaa watakavyokuwa wanakirukia!

Mshikaji wangu alipata mtoto wa kike wakati yupo Form I, na mtoto mwenyewe akafuata nyayo za baba kuwa mapepe! Basi mshikaji alianza kuitwa babu kabla hajafika 35!! Taabu ikawa nikimwambia sasa atulie home kwa sababu keshaanza kupata wajukuu, jamaa anakuja juu na kuniambia nina mambo ya kingese, eti anajiona kijana wakati tayari ana mjukuu!!!
Duh nimecheka sana mkuu
 
Wacha roho mbaya mkuu,mbona wewe ulimdukua mama yake, malipo ni hapahapa mkuu wewe piga kimya tu,ukileta unoko anatoweka na skilejea ana mimba
 
Back
Top Bottom