Nahisi binti yangu kaanza “kudukuliwa”

Nahisi binti yangu kaanza “kudukuliwa”

Ukiwa baba wa makelele kila wakati na familia yako inakuchukulia hivyo hivyo. Haya maswali lazima watakuzoea na kukupuuza

NANI AMEACHA HIKI KIKOMBE HAPA?View attachment 1159520

KWA NINI HAMJAWASHA TAA.

KWA NINI NGUO HAZIJAANIKWA?

HII PASI NANI AMENYOSHEA AMEACHA HAPA?

NANI AMEMINYA DAWA YA MSWAKI KUANZIA KATIKATI?
View attachment 1159520
Hii tabia ya shemeji yangu kabisa 😂😂😂 na hakika amekuwa kituko mjengoni!
 
Mkuu ukiona ukitokea tu mtaan vijana wanakupa heshima na kukupokea mzigo wkt ilikuwa wala hawana muda na wewe ujue mwanao kakuwa hivyo ufuge mbwa itakuwa bora
😆😆😆😆😆 umewaletea kigoli
 
The law of use and disuse
Kiungo chochote katika mwili wa
binadamu kisipotumika kwa muda mrefu
kinakuwa dhaifu baadae huanza kupotea kidogo kidogo na mwishowe hutoweka kabisa.. Kwahiyo ni sawa tu binti kudukuliwa ili kuimarisha kiungo chake kuepusha madhara ya kupotea hapo baadae...!
 
Hahahaha. .hii Noma
Ndo matatizo ya kuzaa mapema haya! Binti anafika umri wa kubenjuliwa baba nae bado yupo kwenye umri wa kubenjua benjua mabinti mtaani! Matokeo yake kabinti kakianza kujaa kifua tu, tayari unawazia majamaa watakavyokuwa wanakirukia!

Mshikaji wangu alipata mtoto wa kike wakati yupo Form I, na mtoto mwenyewe akafuata nyayo za baba kuwa mapepe! Basi mshikaji alianza kuitwa babu kabla hajafika 35!! Taabu ikawa nikimwambia sasa atulie home kwa sababu keshaanza kupata wajukuu, jamaa anakuja juu na kuniambia nina mambo ya kingese, eti anajiona kijana wakati tayari ana mjukuu!!!
 
Back
Top Bottom