Nahisi alikuwa gesti

Je naanzaje anzaje kumuuliza wadau. Emu nipeni madini jinsi ya kumkamata mwizi
.
Download hiyo picha halafu usioneshe wasiwasi wowote ule! Edit video kutoa sehemu zinazomuonesha wewe lakini hakikisha alama muhimu za chumba zinabaki! Subiri kama wiki 2 mbili hivi kisha na wewe post kwenye status yako hiyo edited video na hakikisha anaiona halafu subiri reaction zake!!

Sema watu mna wivu, dah!!
 
kimoja cha mwisho ni muhimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sina wivu ila karoho kama kanauma hivi. Nitajaribu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toka 2020 ianze wanaume tunaongoza kulalamika.. Sijui tatizo liko wapi. Najikuta nina swali genuine, hao wanawake wanaopelekwa guest house mnawatoa wapi? Halafu anafikia kupost video yuko mazingiza kama hayo wakati anajua ana boyfriend/fiance'/mme.. au wewe ni mchepuko wake so she gives no *** with you?

A woman should leave no loose ends!!
 
Hujaona taulo pia na ndala ovesize zilizokatwa kwa mbele au nyuma? Kama kitanda ni cha mbao umeliwa na kama ni cha chuma ni geto la msela pia umeliwa.
Wanaume tumeumbwa mateso...
 
Huo ndo wivu wenyewe huo mkuu.. ukisikia mtu ameji- hang himself ndo vinaanziaga huko . Mi sahizi sipendagi demu yani steji ya kuwa na upendo wa dhati kwa mwanamke nimevuka zamani sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndipo tunapouishi ule msemo usemao ukiona huumizwi tena na mapenzi/uhusiano basi wewe umeshakuwa malaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…