Nafurahi sana maaskofu wa KKKT wanavyowaumbua TEC

Maaskofu KKKT nchi hii wanaonesha ndiyo watetezi wa kweli wa haki za binadamu wakiongozwa na Ask Shoo na Bagonza. Sijawahi kuona maskofu wa Kanisa Katoliki wakikemea mauaji aliyofanya Sabaya au Makonda zaidi ya kumsifia Makonda tu kuwa anafaa kuwa rais baada ya JPM kupitia kwa Kardinali Pengo.

Angalau kidogo Niwemugizi alikemea maovo ya JPM hadharani hata akachukuliwa pasport yake. Ila maaskofu Katoliki wapo kimaslahi tu hata nyie mfe wote poa tu ilimradi wao wanaota vitambi kwa sadaka zetu.
Nililiongea Sana la maaskofu katoliki kukaa kimya wakati wa mtesi wa taifa JPM Ila kwasasa sisemi Tena hao Wala sadaka zetu wasioona mateso yetu hawatufai Ila mungu yupo.
 
Kuna weledi katika kuua watu? Au wafe watu wangapi ndo huo weledi ujidhihirishe. Acheni kukalilishwa eti wanatumja weredi wakati ni washenzi tu. Kwanza ndo walisababisha mauaji ya kimbali rwanda halafu eti unasema weredi. Na ukumbuke mapadre na maaskofu wengi wa kanisa katoliki ni failures form six. Wanaopata div one na kwenda upadre huwa wachache sana.
We ni mpumbavu usiyejua lolote kuhusu elimu za MaPadre.
 
Maaskofu KKKT nchi hii wanaonesha ndiyo watetezi wa kweli wa haki za binadamu wakiongozwa na Ask Shoo na Bagonza. Sijawahi kuona maskofu wa Kanisa Katoliki wakikemea mauaji aliyofanya Sabaya au Makonda zaidi ya kumsifia Makonda tu kuwa anafaa kuwa rais baada ya JPM kupitia kwa Kardinali Pengo.

Angalau kidogo Niwemugizi alikemea maovo ya JPM hadharani hata akachukuliwa pasport yake. Ila maaskofu Katoliki wapo kimaslahi tu hata nyie mfe wote poa tu ilimradi wao wanaota vitambi kwa sadaka zetu.

TEC sio chombo cha kisiasa. Na kina taratibu zake. Siku zote, maandishi yake yanafuata taratibu hizo.
Hivi hawa maaskofu wanaogombania wawe maaskofu, kwa popular votes, unawafananisha na maaskofu wa TEC?
 
Hapa umeonesha popoma kweli hata kama nilikubaliana na hoja yako awali,niletee padri unayemjua wewe ambaye ni form six failure,niliona una hoja ya maana kumbe udini tuu umekujaa,umekutawala mpaka kuharibu hoja ya msingi. Wangekua ma failure wasingeweza kuwadhibitini ma protestant wote kwa miaka yote
 
Nenda sumbawanga utakuta gesti kabisa wametengenezewa inaitwa riboli centre, hiyo floor ya juu kabisa ni kwaajili ya mapadri kufanya yao
Mnateseka sana na ukatoliki,kile n kitega uchumi Cha kanisa hata wewe unaruhusiwa kwenda kupumzika kwny hiyo floor.
 
Maaskofu KKKT nchi hii wanaonesha ndiyo watetezi wa kweli wa haki za binadamu wakiongozwa na Ask Shoo na Bagonza. Sijawahi kuona maskofu wa Kanisa Katoliki wakikemea mauaji aliyofanya Sabaya au Makonda zaidi ya kumsifia Makonda tu kuwa anafaa kuwa rais baada ya JPM kupitia kwa Kardinali Pengo.

Angalau kidogo Niwemugizi alikemea maovo ya JPM hadharani hata akachukuliwa pasport yake. Ila maaskofu Katoliki wapo kimaslahi tu hata nyie mfe wote poa tu ilimradi wao wanaota vitambi kwa sadaka zetu.
Kwani hujui KKKT ni Chadema B
 
Roman Catholic,wana utaratibu wao,sio kila mtu anasimama nakuongea,kumbuka kipindi cha Jiwe ni Roman Catholic walikua wanatoa waraka wa Pasaka,wanaisema serikali ya jiwe jinsi inavyofanya! Nikuambie kitu kimoja,moja ya taasisi strong za dini Roman Catholic ni namba moja! Jiwe na ukorofi wake, alikuaga hawafokei kama Kakobe na Gwajima!
Tadhali acha hizo Roman pale St. Peters walileta na utaratibu wa Magufuli kuanza kuongea kanisani wakati pale alikuwa anatakiwa aende kusali kama waumini wengine. Rejea ile kuwaambia masista ambao hawana barakoa nini na nadhani was last sunday yake kuattend church
 
IMG_0848.jpg

Wakatoliki wanavyo shangaa raia kuteswa utafikiri wao hawaishi Tz!!!
 
Back
Top Bottom