Nafundisha Marubani kienyeji

Nafundisha Marubani kienyeji

Hahaaaa hili tangazo kwakweli halieleweki, mtoa mada hauko serious kabisa...Mi majuzi nlipanda kwenda mafia na hako kandege cenna basi mvua ikinyesha tunaloa ndani, kindege kinayumbishwa mbaya....kule juu Rubani kaanza kupekua mavitabu, sina hamu, tulikuwa watu 4 tu!!

k98leg.jpg
 
Acha uongo wa kipumbavu wewe,ndege haiwezi kupitisha maji wakati mkiwa angani wakati wa mvua,then mkabaki salama,imekuwa fuso hiyo? Ndege hata dirisha tu halitakiwi kufunguliwa,kuna hewa ndani ya oxgen maalumu,sasa hayo maji yalipita wapi?
 
Natoa mafunzo ya urubani kienyeji kwa yeyote anayehitaji gharama ni nafuu na lugha ni kiswahili

Karibuni
Kwanza mwaga CV yako[pamoja na masaa uliyokuwa nayo ikiwemo type rating.vile vile ni ndege ya aina gani utatumia kwa mafunzo hayo?
Halafu kwenye aviation lugha rasmi kwa hapa kwetu ni kiingereza sasa ukifundisha hao wanafaunzi wako kwa lugha ya kishwahili watakuwa wanatumia lugha gani na waongoza ndege wakati wakiwa mafunzoni angani
Taarifa pamoja na ufafanuzi unaweza kusaidia kupata wateja
 
Acha uongo wa kipumbavu wewe,ndege haiwezi kupitisha maji wakati mkiwa angani wakati wa mvua,then mkabaki salama,imekuwa fuso hiyo? Ndege hata dirisha tu halitakiwi kufunguliwa,kuna hewa ndani ya oxgen maalumu,sasa hayo maji yalipita wapi?
Ficha upumbavu wako mkuu...yule pilot sasa nikuambie wakati tunaanza kuruka kadirisha kadogo aliacha wazi, akafunga baadae...na hayo maji yakiingia na matone mengi tu yakivujia pale dirishani, hivi wewe umeshawahi hata kuziona hizo ndege lakini? So nikae hapa nianze kudanganya kwakuwa umekaririshwa kuhusu ndege eeh..eti kuna oxgen maalum, acha uboya!!
 
Mkuu nakubaliana na ww kabisa,alafu jamaa kakariri vibaya sana hajui kua kuna ndege aina tofauti tofauti.Hivo vi cessna vinapaa attitude ndogo sana kwaiyo hata hiyo presha ya kufanya ndege ianguke kikifunguliwa dirisha haipo.
 
Acha uongo wa kipumbavu wewe,ndege haiwezi kupitisha maji wakati mkiwa angani wakati wa mvua,then mkabaki salama,imekuwa fuso hiyo? Ndege hata dirisha tu halitakiwi kufunguliwa,kuna hewa ndani ya oxgen maalumu,sasa hayo maji yalipita wapi?

Ndege ndogo ndogo kama hizi haziruki umbali wa kufikia kuhitaji pressurization (nenda kagoogle hii). In short kwa umbali wa ndege ndogo kwenda juu hata wakitaka kuruka milango wazi wanaweza. So hiyo habari bado inaweza kuwa kweli kabisa.
 
Nadhani wiseboy keshaelewa hilo...
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaa hili tangazo kwakweli halieleweki, mtoa mada hauko serious kabisa...Mi majuzi nlipanda kwenda mafia na hako kandege cenna basi mvua ikinyesha tunaloa ndani, kindege kinayumbishwa mbaya....kule juu Rubani kaanza kupekua mavitabu, sina hamu, tulikuwa watu 4 tu!!

k98leg.jpg
Mkuu, mkiwa kule juu ANY object kama vile maji au hewa kiingia ndani ya ndege ni msala. Yaani hamtotoka salama
 
Tukishajifunza urubani ndege za kuendesha tutapata wap mkuu ili tusipoteze ujuzi wa hayo mafunzo? Alafu wewe waonekana janja janja au unataka kutangaza nia alafu unapita back door😀😀 manake mnambinu nyingi siku hizi watangaza nia ebu nyoosha maelezo chama gan ww?
 
Hahaaaa hili tangazo kwakweli halieleweki, mtoa mada hauko serious kabisa...Mi majuzi nlipanda kwenda mafia na hako kandege cenna basi mvua ikinyesha tunaloa ndani, kindege kinayumbishwa mbaya....kule juu Rubani kaanza kupekua mavitabu, sina hamu, tulikuwa watu 4 tu!!

k98leg.jpg

Halafu nshakujua..........wewe ni huyo hapo kulia..........
siku nyingine usipande hizo ndege kama una presha ya turbulance utakufwa you know............me I don't like them panzi........
 
Hiyo ndege ni yanani? kama ni yako ulitoa pesa wap? kama ni ya taasisi kwanini unataka kuwafilisi? maana naamini cku mwanafunzi wako akirusha ndege bac atatokomea hewani mazima.

Nimecheka sana, yaan kama Malaysia airline vile,kitu kinatokomea kwenye mabarafu
 
Then in case nimelibwaga au kugonga ntakuwa responsible au vp???
 
Back
Top Bottom