Hahaaaa Mkuu umenifurahisha sana, mi nakuambia sina hamu nazo, sasa nikuchekeshe mle ndani tulikuwa na mama mmoja yeye uso mzima kajifunika khanga kwa uoga, sasa tumeshafika Mafia tushaiona lami ya uwanja ye badala ya kutua anaanza kupiga misele kule juu...dah nilitamani nimrukie kooni, ye badala ya kuishusha anapiga makona misele kibao..!!Aise Sisinga,kweli bora wewe umetoa ushuhuda,wazushi woote kimyaaaa
Maaana wengine wana zile hadithi za utoto kwamba Ndege ikifunguka dirisha lazima watu wote wafe.
Mbona kuna Ndge Zanzibar yenyewe ilifunguka Mlango kabisaaa,na watu walitua.
Hivi vi Cessna,mie nilipanda mara moja naenda Pemba nikasema sirudii teeena.
Kwanza ukishuka kwenye hivi vindege kama dakika kumi hivi hamuelewani,maana unasikia kelele za ndege bado zimo kichwani.Ukilala usiku ndio kabisaaaa unaonaka kama injin ipo kichwani.
Yaani kama sio kuanzi ATR na kuendelea basi hunipandishi,vinatisha saaana angani.
Dah mkuu the way unavyojibu seems everything is ease go yaani...nakutamanije!!kuendesha ndege ni rahisi sana kuliko kuendesha lori lenye treila na gia za high range na low range pamoja na sprinter.1.pia ni rahisi kuliko ku operate grader.
Ila ndege inatukuzwa tu.
Ha ha ha........wisky alpha papa echo november alpha kilo india tango uniform charlie hotel alpha .........charlie echo siera siera november alpha 208.............wafurahi........
roja roja........over.......
Kwahiyo mmeamua kutupoteza kabisa si ndio?...:angry::angry::A S-devil4::A S-devil4:november oscar tanga echo delta mike alpha delta alpha mike
bei ya nini shehe?if you want this to be productive, tell us the costs per hour please, acha kuficha bei sana hivo! Kila mtu anaulizia bei na umekimya tu sioni ukilijibu hilo swali. Mbona unalikwepa? Is it too expensive ama ni kwa nini unayajibu maswali mengine ila ikifika kwa the most important question about costs umekimya tu? Dont pm me, weka bei hapa ili kila mtu ako interested aweze kujua.
november oscar tanga echo delta mike alpha delta alpha mike
If you want this to be productive, tell us the costs per hour please, acha kuficha bei sana hivo! Kila mtu anaulizia bei na umekimya tu sioni ukilijibu hilo swali. Mbona unalikwepa? is it too expensive ama ni kwa nini unayajibu maswali mengine ila ikifika kwa the most important question about costs umekimya tu? Dont PM me, weka bei hapa ili kila mtu ako interested aweze kujua.
wa kuendesha ungo au?Natoa mafunzo ya urubani kienyeji kwa yeyote anayehitaji gharama ni nafuu na lugha ni kiswahili
Karibuni
kuendesha ndege ni rahisi sana kuliko kuendesha lori lenye treila na gia za high range na low range pamoja na sprinter.1.pia ni rahisi kuliko ku operate grader.
Ila ndege inatukuzwa tu.
Acha uongo wa kipumbavu wewe,ndege haiwezi kupitisha maji wakati mkiwa angani wakati wa mvua,then mkabaki salama,imekuwa fuso hiyo? Ndege hata dirisha tu halitakiwi kufunguliwa,kuna hewa ndani ya oxgen maalumu,sasa hayo maji yalipita wapi?
Ficha upumbavu wako mkuu...yule pilot sasa nikuambie wakati tunaanza kuruka kadirisha kadogo aliacha wazi, akafunga baadae...na hayo maji yakiingia na matone mengi tu yakivujia pale dirishani, hivi wewe umeshawahi hata kuziona hizo ndege lakini? So nikae hapa nianze kudanganya kwakuwa umekaririshwa kuhusu ndege eeh..eti kuna oxgen maalum, acha uboya!!
Na hicho ndo kidirisha kikichovuja maji...ukizoom vizuri utaona matone kwa pale chini...sasa ukiendelea kubisha nitakudharau sana!! wiseboy
![]()
Mkuu nakubaliana na ww kabisa,alafu jamaa kakariri vibaya sana hajui kua kuna ndege aina tofauti tofauti.Hivo vi cessna vinapaa attitude ndogo sana kwaiyo hata hiyo presha ya kufanya ndege ianguke kikifunguliwa dirisha haipo.
Hayo masomo ikiwepo practical ama?masomo ya ardhini nakupeni bure,
angani unaleta mchango wa mafuta halafu,
utanifikiria angalau cha kuwapelekea wajukuu zangu.
masomo ya ardhini nakupeni bure,
angani unaleta mchango wa mafuta halafu,
utanifikiria angalau cha kuwapelekea wajukuu zangu.
Nina kijana wangu nataka nimlete ili aweze kudevelop interest,ana 15years,nataka kujua your timings,actual cost per hour na exact location mtakayofanyia hiyo training,you can pm me no probsmasomo ya ardhini nakupeni bure,
angani unaleta mchango wa mafuta halafu,
utanifikiria angalau cha kuwapelekea wajukuu zangu.