hasa hasa nimelenga watu kama wewenina kijana wangu nataka nimlete ili aweze kudevelop interest,ana 15years,nataka kujua your timings,actual cost per hour na exact location mtakayofanyia hiyo training,you can pm me no probs
Aisee hiyo misamiati ni real au ni mapendekezo yako tu maana...strutt=Kipago na sasa Throttle=Kabanaam practical tunaruka angani
kwa mfano
badala ya kumwambia mwanafunzi ''push the throttle'' nitamwambia ''kandamiza kaba.''
Mbona mnabishana wakati mwalimu mzoefu wa urubani yupo?Ficha upumbavu wako mkuu...yule pilot sasa nikuambie wakati tunaanza kuruka kadirisha kadogo aliacha wazi, akafunga baadae...na hayo maji yakiingia na matone mengi tu yakivujia pale dirishani, hivi wewe umeshawahi hata kuziona hizo ndege lakini? So nikae hapa nianze kudanganya kwakuwa umekaririshwa kuhusu ndege eeh..eti kuna oxgen maalum, acha uboya!!
Mkuu majibu ya Mwalimu na wachangiaje wengine mbona wameshayatoa...kwa msaada tu ni haya hapa chini!Mbona mnabishana wakati mwalimu mzoefu wa urubani yupo?
Ngoja atatuambia ukweli uko wapi,,,
kwa ndege hizi kila kitu chaingia wala hakuna msala,tena dirisha unaweza kufungua na kufunga.
inapitisha mkuu,tumelenga videge vidoko a.k.a panzi......
Ndege ndogo ndogo kama hizi haziruki umbali wa kufikia kuhitaji pressurization (nenda kagoogle hii). In short kwa umbali wa ndege ndogo kwenda juu hata wakitaka kuruka milango wazi wanaweza. So hiyo habari bado inaweza kuwa kweli kabisa.
Mkuu nakubaliana na ww kabisa,alafu jamaa kakariri vibaya sana hajui kua kuna ndege aina tofauti tofauti.Hivo vi cessna vinapaa attitude ndogo sana kwaiyo hata hiyo presha ya kufanya ndege ianguke kikifunguliwa dirisha haipo.
Hiyo ndege ni yanani? kama ni yako ulitoa pesa wap? kama ni ya taasisi kwanini unataka kuwafilisi? maana naamini cku mwanafunzi wako akirusha ndege bac atatokomea hewani mazima.
Kwanza mwaga CV yako[pamoja na masaa uliyokuwa nayo ikiwemo type rating.vile vile ni ndege ya aina gani utatumia kwa mafunzo hayo?
Halafu kwenye aviation lugha rasmi kwa hapa kwetu ni kiingereza sasa ukifundisha hao wanafaunzi wako kwa lugha ya kishwahili watakuwa wanatumia lugha gani na waongoza ndege wakati wakiwa mafunzoni angani
Taarifa pamoja na ufafanuzi unaweza kusaidia kupata wateja
Ina bima kubwa utalipwa pamoja na wew
Sasa hayo mafunzo ya kienyeji tunajifunzia wapi....viwanja vya BIAFRA ua JANGWANI.....???