Nafsi inaniuma kwa kushindwa kumssidia asiibiwe

Nafsi inaniuma kwa kushindwa kumssidia asiibiwe

Ulikuwa sahihi mkuu, kama vile vitoto (panya road) viliwaendesha mbaya hao nadhani usingewaweza.

Pumbaf* kabisa!
 
Hahahahh !! Mleta mada utajutraa kuleta hii nyuzi hapa! Mwenyewe ulijua unapata hafuenii kuumbee ndio kwaanza umelikalia kaa la moto takoni !! He he he ....wacha nami nisemee ...wa dar bwana!!! hahah tusameheni tu mnayataka!!
 
Nimechukia sana kwanini nimesoma huu uzi.


Huyo mwizi ningemmwaga meno yote bila kumwambia sababu ya kumpiga mpaka atoe pochi kwenye boxxer yake na kuirudisha mwenyewe alipoiiba.

Wanaume wa Dar lini mtajirekebisha jamani??
Huu Uzi wa kiboya. Uzi wa kibwege!
 
Huna akili pimbi ww,ni heri ungeficha upumbavu wako kuliko kuuanika hadharani
 
We ni k....u...ma mbona hujachukua hatua yeyote.
Duh K...U...M...A imeingiaje hapo buraza!!! Dah punguzeni dharau basi kwa hicho kiungo jamani sababu hata yesu na mtume walipitia hapo tupunguzieni jamani tunajitoa kuwaleta duniani tunatoa heshima, thamani na uhai kwa ajili ya kuleta binadamu lkn mmekuwa mkikitusi hata sehemu zisizohitajika

Nimejisikia vibaya sana mkuuu, samahani km nimekukwaza[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Back
Top Bottom