Nafsi inaniuma kwa kushindwa kumssidia asiibiwe

Nafsi inaniuma kwa kushindwa kumssidia asiibiwe

Sijawahi onaa mtuu fal...a na mpuuzi kama wew...!! Au unataka tuu kutukanwaa etiii...!??? Sasa wew na ujinga wakoo ukakaa kimya mama wa watu anaibiwaa afuu unakuja kupost ushuu...zi humu.. Huna tofauti na mtu anaepiga picha watu waliopata ajali badala ya kuwasaidia afuu baadae unaanza kujidai unawaonea hurumaa.. Yani UNAFIKIII wako ni wa kiwango cha Standard gauge rail... [HASHTAG]#shwain[/HASHTAG]
 
Kudadek wanaume wa Dar mmezidi umama...ndo nini hiki umefanya?
 
nakumbuka kuna wezi waliwai kunichomolea walet maeneo ya mikochen kwa warioba aliyenitonya ni mwanamke tena kwa ishara.. kwa upole aliirudisha maana alijua kuna kifo kingweza kumkumba.. ungeweza tu kmshtua aliyeibiwa ili yy alianzishe kama ww ni muoga kwa kiwango hicho
 
Ninakumbuka siku za nyuma.kidogo tukiwa kwenye foleni maeneo ya kamata niliona gari iliokuwa mbele yangu vibaka walivamia na kupora simu..bahati mbaya aliyeibiwa alikuwa peke yake kwenye gari, akashindwa kumfukuza.. niliamua kushuka kwenye gari na kuvuka upande wa pili wa barabara pasipokuonekana na yule kibaka aliebeba simu...akiwa anatemebea kulekea kariakoo kongo ..nikamkamata shule ya uhuru kwa kupiga makofi ya haja na kurudi naye mpk kituo cha polisi kamata nikawakabidhi pale... bahati nzuri nikamkuta yule jamaa aliyeibiwa palepale kwenye foleni..nikamwambia amfuate mwizi wake kituoni... mwizi hata awe mpana vipi kama ukimshika ameiba kweli uwa anakuwa mpole sana so next time husiogope
 
Dah umewathibitishia watu wanaume wa Dar ni wangese
 
Shida ya wanaume wa dar hii

Nawe ni mwizi pia
 
that is what we call INFERIORITY COMPLEX,huyu jamaa ni vector wa hii concept hapa na kwamaana hiyo basi lazima atakua characterized na mambo yafuatayo:low self esteem,this means jamaa haez kuji identify,lack of self confdnc which may lead to irresponsblt,haya yote tunazaliwa nayo ila yanajaziwa na shule.
 
habari wakuu,

nimeona ni vyema kama nikishea na ninyi mkasa huu mfupi wa wizi nilioushuhudia siku kadhaa zilzopita. wanawake kuweni makini sana na mikoba yenu mnapokua mpo kwenye daladala hasa pale unapokua mmesimama(mmeshika chuma)

nilipanda gari ya segerea maeneo ya ubungo darajani nkielekea external, wakat konda akisubiri abiria wajae wakapanda jamaa wawili ambao ukiwaangalia kwa umakin unagundua si watu wazur(either wateja au wezi) maana wana alama za kujeruhiwa maeneo ya usoni na macho ya uteja.

bas mmoja akawa amepata seat amekaa ila huyu mwingine akawa amesimama, tulkua kama abirua watatu tumesimama. gari ilivofika riverside wakapanda wamama wawili mmoja akapita kwenda kusimama nyuma kabisa mwingine (ambae ndo aliibiwa) akawa kasimama karibu na mlango,,,,,,huyu mwizi akawa nyuma yake na mm ndo nikawa nafuatia

ghafla huyu mwizi akaingiza mkono kwenye mkoba wa hyu mama sa sijui huyu mama hakufunga zipu cjui huyu mwizi aliifungua kiujanja, baada ya kuingiza mkono akachomoa pochi ndani ya ule mkoba na kuichomeka ndani ya boksa

nikiri kuwa tukio zima nilishuhudia japo ilikua haraka sana. kuacha mm kuna abiria kama watatu hiv naamin na wao walishuhudia tukio hili ila cha kushangaza si wale abiria wala mm alifungua mdomo wake, wote tulibaki kimya tukiangaliana kitu ambacho nkikumbuka nafsi inaniuma sana kwa kushndwa kuwa responsible mungu anisamehe.

yule mwiz akashukia hostel akatokomea uku nikimuona. na mm hadi nashuka yule mama alkua hajagundua kama kaibiwa cjui baada ya kugundua alkua katka hali gan mungu amfanyie wepesi

mytake,
wanawake muwe makini sana na pochi zenu na mikoba, hasa mnapokua mmesimama kwenye daladala.....pia kwa vijana wenzangu wizi sio mzuri hata kdgo, ile fedhea anayoipata mtu aloibiwa itakusumbua naisha yako yote.

asanteni,
Mwanaume bwege sana wewe, yaani nyie ndo hamtakiwi,dume zima eti unaangalia tu
 
Na wewe ni mwizi
 
Aaaahhhhh fala wewe ushauri kwa nani wakati mlikuwa timu mojaaaaa
 
Wanaume wa dar wanazidi kuleta maajabu tanzania hii..pumbav kabisa
 
Pumbavu kabisa, ndio maana siku hizi wanawake wanazidi kutudharau sababu yenu wapumbavu wachache. Halafu wa namna hii utakuta daily unaenda gym
 
that is evolution,life is not static and if life change it means everything is changeable so hata miaka ijayo tutakua na viongozi wakubwa wa dini wa jinsia ya kike,wakati bible na quran hazifundish hivyo.
 
Daaah wanaume wa dar ata kupga kelele za wizi hawawez...... Maaeee
 
Back
Top Bottom