Nafsi inaniuma kwa kushindwa kumssidia asiibiwe

habari wakuu,

nimeona ni vyema kama nikishea na ninyi mkasa huu mfupi wa wizi nilioushuhudia siku kadhaa zilzopita. wanawake kuweni makini sana na mikoba yenu mnapokua mpo kwenye daladala hasa pale unapokua mmesimama(mmeshika chuma)

nilipanda gari ya segerea maeneo ya ubungo darajani nkielekea external, wakat konda akisubiri abiria wajae wakapanda jamaa wawili ambao ukiwaangalia kwa umakin unagundua si watu wazur(either wateja au wezi) maana wana alama za kujeruhiwa maeneo ya usoni na macho ya uteja.

bas mmoja akawa amepata seat amekaa ila huyu mwingine akawa amesimama, tulkua kama abirua watatu tumesimama. gari ilivofika riverside wakapanda wamama wawili mmoja akapita kwenda kusimama nyuma kabisa mwingine (ambae ndo aliibiwa) akawa kasimama karibu na mlango,,,,,,huyu mwizi akawa nyuma yake na mm ndo nikawa nafuatia

ghafla huyu mwizi akaingiza mkono kwenye mkoba wa hyu mama sa sijui huyu mama hakufunga zipu cjui huyu mwizi aliifungua kiujanja, baada ya kuingiza mkono akachomoa pochi ndani ya ule mkoba na kuichomeka ndani ya boksa

nikiri kuwa tukio zima nilishuhudia japo ilikua haraka sana. kuacha mm kuna abiria kama watatu hiv naamin na wao walishuhudia tukio hili ila cha kushangaza si wale abiria wala mm alifungua mdomo wake, wote tulibaki kimya tukiangaliana kitu ambacho nkikumbuka nafsi inaniuma sana kwa kushndwa kuwa responsible mungu anisamehe.

yule mwiz akashukia hostel akatokomea uku nikimuona. na mm hadi nashuka yule mama alkua hajagundua kama kaibiwa cjui baada ya kugundua alkua katka hali gan mungu amfanyie wepesi

mytake,
wanawake muwe makini sana na pochi zenu na mikoba, hasa mnapokua mmesimama kwenye daladala.....pia kwa vijana wenzangu wizi sio mzuri hata kdgo, ile fedhea anayoipata mtu aloibiwa itakusumbua naisha yako yote.

asanteni,
We hiyo cha mtoto enzi ya vipanya manzese jjamaa kadandia ngao ya kipanya me Niko dilishani kaninog'oneza nataka heleni za Jirani yako hapo ukizingu nakupiga ngumi ya meno nikiangali tumebanana siti ya mwisho akipiga ngumi kuzuia siwezi akapitia heleni za yule mama hadi akamchana sikio daladala zima waka ni chenja nina mjua kuwaeleza mkasa mzima wakanielewa baazi nikaepuka kipigo
 
habari wakuu,

nimeona ni vyema kama nikishea na ninyi mkasa huu mfupi wa wizi nilioushuhudia siku kadhaa zilzopita. wanawake kuweni makini sana na mikoba yenu mnapokua mpo kwenye daladala hasa pale unapokua mmesimama(mmeshika chuma)

nilipanda gari ya segerea maeneo ya ubungo darajani nkielekea external, wakat konda akisubiri abiria wajae wakapanda jamaa wawili ambao ukiwaangalia kwa umakin unagundua si watu wazur(either wateja au wezi) maana wana alama za kujeruhiwa maeneo ya usoni na macho ya uteja.

bas mmoja akawa amepata seat amekaa ila huyu mwingine akawa amesimama, tulkua kama abirua watatu tumesimama. gari ilivofika riverside wakapanda wamama wawili mmoja akapita kwenda kusimama nyuma kabisa mwingine (ambae ndo aliibiwa) akawa kasimama karibu na mlango,,,,,,huyu mwizi akawa nyuma yake na mm ndo nikawa nafuatia

ghafla huyu mwizi akaingiza mkono kwenye mkoba wa hyu mama sa sijui huyu mama hakufunga zipu cjui huyu mwizi aliifungua kiujanja, baada ya kuingiza mkono akachomoa pochi ndani ya ule mkoba na kuichomeka ndani ya boksa

nikiri kuwa tukio zima nilishuhudia japo ilikua haraka sana. kuacha mm kuna abiria kama watatu hiv naamin na wao walishuhudia tukio hili ila cha kushangaza si wale abiria wala mm alifungua mdomo wake, wote tulibaki kimya tukiangaliana kitu ambacho nkikumbuka nafsi inaniuma sana kwa kushndwa kuwa responsible mungu anisamehe.

yule mwiz akashukia hostel akatokomea uku nikimuona. na mm hadi nashuka yule mama alkua hajagundua kama kaibiwa cjui baada ya kugundua alkua katka hali gan mungu amfanyie wepesi

mytake,
wanawake muwe makini sana na pochi zenu na mikoba, hasa mnapokua mmesimama kwenye daladala.....pia kwa vijana wenzangu wizi sio mzuri hata kdgo, ile fedhea anayoipata mtu aloibiwa itakusumbua naisha yako yote.

asanteni,
Wewe ni jinga kabisa. Unaona mtu anaibiwa unanyamaza au mlienda kugawana na hao vibaka.
 
Mi nilisaidia mmoja kidogo aibiwe sim. Bahati nikaiwahi baada ya jamaa kutaka kuikalia maana yule mama aliisahau kwenye siti nyuma kabisa wakati ananyanyuka. Jamaa alimind lakini ndo hivyo. Kwann uogope? We ni mwanaume sasa waogopa nini!?
 
We bila shaka ni mchicha pori, yani mtuanaibiwa mbele ya machoyako unaacha kutoa msada unakuja kuleta ushuhuda wa kijinga humu.

Uoga kamahuo unaupatikana kwa mwanamke tu.
 
Back
Top Bottom