Nafsi inaniuma kwa kushindwa kumssidia asiibiwe

Nafsi inaniuma kwa kushindwa kumssidia asiibiwe

Asante Mungu kunirudisha mkoani! Kuwa mwanaune wa namna hii HAPANA! Wanaume wa Dar huku sio kulegea.
 
habari wakuu,

nimeona ni vyema kama nikishea na ninyi mkasa huu mfupi wa wizi nilioushuhudia siku kadhaa zilzopita. wanawake kuweni makini sana na mikoba yenu mnapokua mpo kwenye daladala hasa pale unapokua mmesimama(mmeshika chuma)

nilipanda gari ya segerea maeneo ya ubungo darajani nkielekea external, wakat konda akisubiri abiria wajae wakapanda jamaa wawili ambao ukiwaangalia kwa umakin unagundua si watu wazur(either wateja au wezi) maana wana alama za kujeruhiwa maeneo ya usoni na macho ya uteja.

bas mmoja akawa amepata seat amekaa ila huyu mwingine akawa amesimama, tulkua kama abirua watatu tumesimama. gari ilivofika riverside wakapanda wamama wawili mmoja akapita kwenda kusimama nyuma kabisa mwingine (ambae ndo aliibiwa) akawa kasimama karibu na mlango,,,,,,huyu mwizi akawa nyuma yake na mm ndo nikawa nafuatia

ghafla huyu mwizi akaingiza mkono kwenye mkoba wa hyu mama sa sijui huyu mama hakufunga zipu cjui huyu mwizi aliifungua kiujanja, baada ya kuingiza mkono akachomoa pochi ndani ya ule mkoba na kuichomeka ndani ya boksa

nikiri kuwa tukio zima nilishuhudia japo ilikua haraka sana. kuacha mm kuna abiria kama watatu hiv naamin na wao walishuhudia tukio hili ila cha kushangaza si wale abiria wala mm alifungua mdomo wake, wote tulibaki kimya tukiangaliana kitu ambacho nkikumbuka nafsi inaniuma sana kwa kushndwa kuwa responsible mungu anisamehe.

yule mwiz akashukia hostel akatokomea uku nikimuona. na mm hadi nashuka yule mama alkua hajagundua kama kaibiwa cjui baada ya kugundua alkua katka hali gan mungu amfanyie wepesi

mytake,
wanawake muwe makini sana na pochi zenu na mikoba, hasa mnapokua mmesimama kwenye daladala.....pia kwa vijana wenzangu wizi sio mzuri hata kdgo, ile fedhea anayoipata mtu aloibiwa itakusumbua naisha yako yote.

asanteni,
Kama umeshuhudia na mtu kaibiwa kilichokuleta humu uandike hakuna maana, hao wateja 2 muwashindwe basi zima we ungemshika yule mteja 1 mkono na ungemwamuru aurudishe poshi angebisha ungempa kibao/ kelbu wangekuheshimu acheni uoga ninyi wanaume wa jijini
 
Kwann ulishindwa kumsaidia,!?mbona sioni kama ulikuwa katika mazingira hatarishi,tena mmeona zaidi ya wawili jamani kweli mlishindwa kutonyana na kufanya kitu mkuu!?? Maana sidhani huyo kibaka kama alikuwa na silaha nzito au kitu cha kuwafanya mshindwe hata kumkaba...kweli Mungu wa mbinguni akurehemu.
 
Kwann ulishindwa kumsaidia,!?mbona sioni kama ulikuwa katika mazingira hatarishi,tena mmeona zaidi ya wawili jamani kweli mlishindwa kutonyana na kufanya kitu mkuu!?? Maana sidhani huyo kibaka kama alikuwa na silaha nzito au kitu cha kuwafanya mshindwe hata kumkaba...kweli Mungu wa mbinguni akurehemu.
Shouger! ndio wanaume wanaanza kupotea hivyoooo. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Yaaaanii[emoji20] [emoji20] itabidi mapochi yetu yawe ya chuma sasa,looh maana wanaume wa misaada kushinehi
Kweli kabisa yaani ni ile unapita kichochoroni au kwenye giza ukiona kuna mwanaume mbele unashukuru Mungu kumbe upande wa pili ni bora uwe peke yako sababu si lolote.

Endapo anatokea kibaka basi ujue itakula kwako sababu na yeye atakuwa mmoja ya wanaokimbia. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kweli kabisa yaani ni ile unapita kichochoroni au kwenye giza ukiona kuna mwanaume mbele unashukuru Mungu kumbe upande wa pili ni bora uwe peke yako sababu si lolote.

Endapo anatokea kibaka basi ujue itakula kwako sababu na yeye atakuwa mmoja ya wanaokimbia. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Huyu jamaa katudhalilishia wanaume wa dar aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]
 
Yan wewe umezaliwa Dar, ukakulia Dar, umekulia maisha ya dad, momy hata Kibamba hujawahi kufika. Huna hata chembe mkoani. Na kutudhihirishia hayo umeleta na uzi kabisa.

Wanaume 9 chini ya uvungu wa Vitz
 
We jamaa ni mshenzi na pumbavu sana, kilikuzuia nini kumsaidia huyo mama! Wanaume wa Dar hovyo sana!!
 
Ivi wewe angekua mama yako au Dada yako ungekaa kimya?
Mwanaume unashindwa kuwa active kiasi icho
siwatu watamshika mkeo matako ovyo kwa uoga wako...
Pesa huna,nguvu huna atamkwala umekushinda?
Umeniudhi sana,Tena ubadilike haraka sana
 
Back
Top Bottom