Nafsi inaniuma kwa kushindwa kumssidia asiibiwe

Nafsi inaniuma kwa kushindwa kumssidia asiibiwe

Sijui huwa wana madawa hao wezi Yani akili kuja kushtuka badae kabisaaaa ilhali unakua unaona unasikia na sometimes wewe mwenyewe ndo unawapa


Cc Smart911
 
We mbwa kabisa tena toa ujinga wako hap mwa wewe,hivi angekuwa mamayako ungeshindwa kumsaidia kweli?? Maku wewe
 
Nimechukia sana kwanini nimesoma huu uzi.


Huyo mwizi ningemmwaga meno yote bila kumwambia sababu ya kumpiga mpaka atoe pochi kwenye boxxer yake na kuirudisha mwenyewe alipoiiba.

Wanaume wa Dar lini mtajirekebisha jamani??
 
Back
Top Bottom