OK..Yes. Ujue yule Mimi namhusudu sana. Yaani hunibii kitu kuhusu yeye na nabii Tito.
Pia napendanga Pasta ng'ang'a vile anavyofanyanga kwa church kule Kenya.
Acha mihemko mkuu, uzi umetulia huu negative vibes, ziweke pembeniMbona unaropoka kama umekula kinyesi nani kasema dini ni upumbavuau la ? Japo zipo dini za upumbavu...wewe hata ujanielewa ninacho maanisha unaropoka tu kama shangingi la ccm
Mathayo 28:19Andiko zuri sana...
Tuanzie kwenye
Dini mkuu nipe andiko linalosema MUNGU ni
Trinity!
Ni kweli umegusia Mambo mengi.Well hata sijui discussion ya huu uzi inaanzia, maana nimegusia mengi.. Dini, AI, spirituality, ancient tech, kuna wasanii, na mengineyoo
Issue ni kuwa binadamu unaingia katika Era ya AI na haya yote yanakwenda kupoteza... Akili ya binadamu inaenda kuwa programmed na AI hata vizazi viwili baadae vita kuwa havina tofauti na mashine.. Sio literary!
Kutengeneza codes zake yenyewe mbona tayari AI inafanya? Ukisha prompt kwa muda mrefu a sense of probability ni kawaida sana... Ndo maana inaweza kugenerate picha au video mnembo..Ni kweli umegusia Mambo mengi.
Na yote hapo yana Mitazamo tofauti baina ya watu.
Mm ninahoji hapa kwenye kuunganisha Spirit , Soul na Body na AI?
Je siku moja AI inaweza kuwa na spirit?.
AI inaweza kujipangia kazi ya kufanya bila kuombwa ifanye?.
AI itaweza kugenerate codes zake yenyewe na kujiunda?.
Mm nadhan Watu ndio wanaweza kuitumia Vibaya AI huko mbeleni.
Maana watu watakuwa na advanced Computer systems . Na mifumo mingi ya kidigital itakuwa inaendeshwa na AI 24/7.
Ninajua hili.Kutengeneza codes zake yenyewe mbona tayari AI inafanya? Ukisha prompt kwa muda mrefu
Yes, very possible..Ninajua hili.
Ila nina maanisha AI huko mbeleni inaweza kujitengenezea code yenyewe bila kuombwa?. Na ikaunda mfumo wake wenyewe?.
Ndio Hoja yangu.
Ila Tukisema consciousness itengenezwe na AI hiyo kita haiwezekani, you cannot reduce consciousness into computer codesNinajua hili.
Ila nina maanisha AI huko mbeleni inaweza kujitengenezea code yenyewe bila kuombwa?. Na ikaunda mfumo wake wenyewe?.
Ndio Hoja yangu.
Nafsi ndio Spirit.Kwani nafsi ni nini?
Spirit=soul=roho=nafsi
Yes, very possible..
Kwanza kama sasa hivi kuna facial and pattern recognition.. Kwanini ishindwe? Itakuwa na uwezo huo na hata sasa nahisi zitakuwepo.
Si unachukua mfano ya kuwa mwanadamu hata husika? Then AI utaangalia causation either online, au kwa pattern recognition zilizo observable(zenye inaweza recognize by it's own very program)
I told you kuwa Saizi huwa kuna hadi chatbots. Na ziko kwenye mtandao zinawavuna watu bila mtu kuziongoza!Lazima kuwe na mtu aiombe ifanye hiyo kazi.
Maana kila kazi lazima kuwe na purpose. Sasa AI igenerate hizo kazi kwa manufaa gan?. Ya kwake yenyewe? Sidhani.
AI kila kazi azima iombwe.