Maelekezo toka kwa nani?Sasa kinacho tokea ni kuwa celebrities hata wao ukiwa Uliza hawawezi kukuambia.. They just do it kwa maelekezo. I
Huwezi kuzuia mafuriko Kwa kiganja cha mkono.Ni hakika wote tunajua kuhusu utatu mtakatifu...
Yaani the father, son and the holy spirit.
View attachment 3655405
Also hii ina direct coleration na Body, mind and soul..
View attachment 3655417
Hizi ni dhana tu za kujaribu kuelezea kitu ambacho kimejulikana for millenials..
Body and mind huwa ni kama kitu kimoja maana zote zina operate kwenye time space.. Akili inafanya kazi kwa kipimo cha muda, mwili nao unakuwa na kufubaa with time.
But the spirit ni kitu ambacho huwa kipo tu either ni mtoto mchanga ama ni mzee wa miaka 100..
So labda tuzigroup mwili na akili(physical)
Alafu uweke soul iwe(spiritual).
Ndo hapa tunakuja kwenye kitu kinaitwa polarities...
(positive and negative)
Jua na mwezi
Mwanga na Giza
Masculine na Feminine
(Shakti and Shiva) in Hinduism.
Ila yote hayo ndo baadae yakazaa other ancient teachings ambazo ndo zilikuwa msingi wa mwanadamu kureplicate nature. What we learn today as subjects zimetoka kwenye ancient teachings ambazo nyingine imeshakuwa extinct..
Uzuri ni kuwa mwanadamu ndani ya DNA yake information zote zimo, it's just that atakuja na namna yake ya kuelezea kitu kile kile..
Kinachotawala kwa Karne za hivi karibuni ni hii material replication body and mind ndo maana tuko tumeng'ang'ania physical objectification ya material world.
Leo kume kuwa na wingi wa watu wasio na intuition because tayari ni baada ya miaka mingi ya kuidumaza spirit aspect.
Ndo maana watu wa siku hizi hawana upendo na uhalisi ndani yao, mwaka 1999 ilitoka movie iitwayo the matrix
View attachment 3655409
Hii haikuwa all about tech alone.. Ilikuwa both tech and spiritual stuff
Infact hawa jamaa waliona ya kuwa kinachokuja kutokea mbele ndo hili unaona leo,
AI which is robotic(body and mind) mechanations without spirit inclusion ndo zinakuja kutawala dunia... Na nini kina angamiza ni the process? The soul.
Kumekuwa na wimbi la watu wanakuja kubishia dini, watu ambao hawajui chochote kuhusu why hata wanaquestion kuhusu why Mungu yupo..!
Unajua kwanini wanaofanikiwa hasa celebrities wanaopenda ile triangle?
View attachment 3655415
Well, nahisi umesha elewa namaanisha nini kuhusu trinity.. It's been here for millenials.. View attachment 3655412
Sasa kinacho tokea ni kuwa celebrities hata wao ukiwa Uliza hawawezi kukuambia.. They just do it kwa maelekezo. I
Kuna kitu kama mfatiliaji wa industry..
Utagundua hakuna miujiza, celebrity huzaliwa akiwa celebrity and thus hata kwenye Bible kuzaliwa kwa messiah tayari kulikuwa kumeshapangwa na hata nyota zika align.
Issue ni kuwa binadamu unaingia katika Era ya AI na haya yote yanakwenda kupoteza... Akili ya binadamu inaenda kuwa programmed na AI hata vizazi viwili baadae vita kuwa havina tofauti na mashine.. Sio literary!
Kuna jamaa alianzisha uzi kuwa vijana gen z hawana uwezo wa kufikiri... Hasa hasa aliona hili. Ila hakujua kuwa tayari imp ndani ya DNA epigenetic ya kuwa tayari umeshaanza kuingia kwenye mfumo. Imagine leo ukienda town, chakula unacho kula wameweka additives, bado GMO kwenye chakula cha kilimo. Nguruwe na kuku wanalishwa na kuchoma GMO, unategemea nini?
Yote kwa yote ni kuwa hili halijaanza leo na ndo kama unaanza vile.. Imagine early 90's ndo wakiona likija kwa kasi leo Nimepita miaka chini ya 30 what about the next 100 years?
Ndo maana uchafu wote wanatupia huku Africa ili tuendelee kuwa mazombie.. They eat clean then sisi tunakula chemikali.
Suluhisho?
Kwa mawazo yangu it's too late now, kila kitu kiko kwenye mfumo...
Ni mtu binafsi, ambae anadhani anaweza kulinda kizazi kijacho kwa kuwapa wanae kilicho bora. Ila tunajua how hard that is, dunia ni kijiji kila kitu kiko mkononi.
Well hata sijui discussion ya huu uzi inaanzia, maana nimegusia mengi.. Dini, AI, spirituality, ancient tech, kuna wasanii, na mengineyoo
Utakapo ona panafaa kuongelea uwanja uko wazi.. But hii yote ni kusahaulika kwa spiritual aspect(kwenye trinity) ambayo ndo mzizi wa haya yote.
Karibuni.
Mshana Jr dosho12 Registered_jf sawima Pascal Mayalla Yoda Tsh Infropreneur Kiranga
Mathayo 28:19: Yesu anawaambia wanafunzi wake wawatendee watu wote wanafunzi kwa kuwabatiza "kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu.Andiko zuri sana...
Tuanzie kwenye
Dini mkuu nipe andiko linalosema MUNGU ni
Trinity!
UPUMBAVU WA MADHEHEBUNI HUU....nilisha toa elimu hapa sijui kwa nini wapumbavu huwa ni wagumu kuelewa ...Ni hakika wote tunajua kuhusu utatu mtakatifu...

Kuna sehemu wameandika hili neno "Nafsi" ?Mathayo 28:19: Yesu anawaambia wanafunzi wake wawatendee watu wote wanafunzi kwa kuwabatiza "kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu.
Nazojua ni flower of life na yin yang labda kidogo na plutonic solidToka the big fish...
I might be joking but the symbol have been used for millenia
dosho12 unafatilia sacred geometry?
View attachment 3655436
Wanaita God's language
Upumbavu?UPUMBAVU WA MADHEHEBUNI HUU....nilisha toa elimu hapa sijui kwa nini wapumbavu huwa ni wagumu kuelewa ...
Amen! (kwa sauti ya King Zumaridi)Sawa, utatoka na vitu
Hakuna aliye sema hivyooHuwezi kuzuia mafuriko Kwa kiganja cha mkono.
Let Let the water flow along its natural course.
Kila kitu kimepangwa Kwa ustadi mkubwa kwa namna inavyotokea.
Mbona unaropoka kama umekula kinyesi nani kasema dini ni upumbavuau la ? Japo zipo dini za upumbavu...wewe hata ujanielewa ninacho maanisha unaropoka tu kama shangingi la ccmUpumbavu?
Kama ni upumbavu kwa nini kila kitu kimetengenezwa kupita knowledge hii?
Na mfano mwingine angalia structure za pyramids... Zote ni triangle..
View attachment 3655438
Sasa wewe una elimu gani ya ku surpass ancient people? Unachekesha...
Na nani aliyekudanganya dini ni upumbavu wakati kila race ina dini?
Yes. Ujue yule Mimi namhusudu sana. Yaani hunibii kitu kuhusu yeye na nabii Tito.Zumaridi yule mchungaji aliyekamatwa na polisi? 😂