Nafikiria sehemu ya kwenda kurelax hakuna

Kwa sisi tuliowahi kwenda nchi za wenzetu tunamuelewa sana mtoa mada, hapa ni pa ajabu kweli kweli
 
Mathalani Kwa Open space nilishawahi kuwa Tanga, Wana open space moja kabla hujafika bandarini, at least pale unaweza kukaa na kupigwa na upepo maana pako tulivu na kumetengenezwa kistaarabu, sasa ilipaswa tuwe na sehemu kubwa zaidi ya hiyo ya Tanga.
Katengeneze wewe sehemu kubwa zaidi ya hiyo.
Kwani mna nini nyie? Mbona mnaandika mambo yasiyoeleweka?
 
Bahati mbaya akili ulizonazo ndo viongozi wakiafrika wanazo sababu wao wanauwezo basi hawajali majority ya wananchi ambao wanakipato kidogo

Ubinafsi ni tatizo kubwa sana linalomkabili mwafrika
Wewe usie mbinafsi umewasaia wananchi?
We mzee mbona akili huna?
 
Pale Impala mchana hapakaliki, jua kali. Utakaaje kwenye vile vimbweta 😀

Hiyo ya kwa mkuu wa mkoa siijui. Ni upande upi? Wa kuelekea Mt. Meru Hosp, BOT au kurudi huku njia inayoshuka TTCL
Kwa mkuu wa mkoa hupajui? Jengo la ngorongoro hulijui? B.o.T, mbona ndio hapo, yani round about hapohapo pembeni ndo garden ilipo, imetazamana na palace hotel, sema ni ndogo watu hamsini hawakai, labda ishirini mnabanana
 
Ndio maana nimemuuliza hiyo garden iko upande upi.. muelekeo upi..
ukishuka lami ya Jengo la Ngoro ngoro hakuna garden pale..

Au mnasemea ile open space iliyogeuzwa parking iko opposite na jengo la ngorongoro? Inapeana mgongo na NMB Business Centre? ? Ile ni garden jamani???
 
Hapana sio japo Kwa huku nyuma, dada ile ni garden na si parking sababu kuna viti permanent vimejengewa hapo gari ina park wapi? Ndo mana nika sema ni kadogo japo ni karefu kuanzia njia ya hapa mwanzo Hadi huku mwishoni mwanzo mwa Barbara kuelekea posta, usawa wa palace hotel, vipi upo chuga sasa
 
Bahati mbaya akili ulizonazo ndo viongozi wakiafrika wanazo sababu wao wanauwezo basi hawajali majority ya wananchi ambao wanakipato kidogo

Ubinafsi ni tatizo kubwa sana linalomkabili mwafrika
Kaa nyumbani ufanye home work na watoto.. acha kupenda kuzurula. Mkimaliza mwende Kanisani/ Msikitini..

Nyie watz mna akili za kujengewa open space na mkazitunza? Mitaro tu huko Daslam imewashinda mamlaka kusafisha ndio open space wataweza?

Hiyo open space iliyotajwa ya Arusha ni padogo lkn pamewashinda kupanda maua na kupafanya pawe greenish.

Lami zina mashimo kibao.. zimewashinda, ndio wakaweze vya open space za kuchezea? Em angalia na uhalisia wa Nchi yako + viongozi wake. Usitake tu wafanye mambo yasiowezekana
 
Unavyontupia lawama mbona mimi sio mwajiriwa serikali wa ngazi yeyote ile

Kwa hiyo kama serikali imeshindwa ndo tusiongelee hizi akili za wapi walioshindwa ni hao waliopewa dhamana ya kuongoza na sio watanzania wote
 
Unajua unaweza kupita sehemu kila siku na kama hujapazingatia huwezi kuona.
Hapo palace ndio kuna NMB business centre.. then kuna lami inashuka shini then kuna hiyo parking nayokwambia..

Ukirudi huku kushoto mwa Palace kuna halmashauri ya Arusha.. . Na kuna kule
Mwishoooni ambako pamekana na kwa Mkuu wa mkoa… sijui kuna nini na Sijawahi kupita maana sina cha kunipeleka kule

Bado hiyo garden sijaiona 😀
Nitaiangalia kesho nikipita..

Hapana sio japo Kwa huku nyuma, dada ile ni garden na si parking sababu kuna viti permanent vimejengewa hapo gari ina park wapi? Ndo mana nika sema ni kadogo japo ni karefu kuanzia njia ya hapa mwanzo Hadi huku mwishoni mwanzo mwa Barbara kuelekea posta, usawa wa palace hotel, vipi upo chuga sasa
 
Sema miji ya Tanzania hovyo sana
Sasa hivi umekaa zako unataka uende sehemu urefresh akili
Option inayokuja ni kwenda bar zama hizi swala la kutembeleana halipo tena kama miaka ya 2000 mwanzoni na kurudi nyuma

Miji yetu haina open space ambazo kwenye nyakati za weekends kunaweza kukawa na band zinapiga na nyingine inafanyika michezo mbalimbali mfano wa theme park

Tanzania hakuna Night-life kabisa ni either uende bar au Lodge ukafanye michezo ya kikubwa in short hakuna sehemu ya mtu kutoa stress mbaya zaidi watanzania wanaishi kwenye chumba kimoja au viwili au vitatu

Hatuna theme park kwenye miji yetu, hatuna arena kubwa na ndogo kwa ajili ya events mbalimbali

Kwa wale watu hawanywi pombe na waislamu wanapataga wakati mgumu sana

Wakati wa sikuku unakuta watoto wako kwenye daraja la buguruni au manzeshe huwaga nawaonea huruma sana hawana pa kwenda

Mfano dar kuna pori la magwepande lingetengenezwa vizuri watu wawe wanaenda kupoteza stress na kuwe na space ya kuchoma

Hatuna arena kubwa na ndogo kwa ajili ya matamasha mbalimbali kuna miji mingine ikifika weekend kuna mambo mengi sana ya kukuondolea stress

Hawa watoto wa sahivi ndo watakuja kuwa na msongo mkubwa sana wa mawazo, depression na kujiua
Njoo waghi hotel Mwanza ipo ziwani ba inavutia mno na haiuzi pombe,njoo utafurahi
 
Unavyontupia lawama mbona mimi sio mwajiriwa serikali wa ngazi yeyote ile

Kwa hiyo kama serikali imeshindwa ndo tusiongelee hizi akili za wapi walioshindwa ni hao waliopewa dhamana ya kuongoza na sio watanzania wote
Hama huo mkoa uliopo uliojaa bar tupu kama sehemu za kurefresh. Pole sana

Zingatia: huwezi kujipa matumaini kwenye hamna.. utajichosha tu
 
Unajua unaweza kupita sehemu kila siku na kama hujapazingatia huwezi kuona.
Hapo palace ndio kuna NMB business centre.. then kuna lami inashuka shini then kuna hiyo parking nayokwambia..

Ukirudi huku kushoto mwa Palace kuna halmashauri ya Arusha.. . Na kuna kule
Mwishoooni ambako pamekana na kwa Mkuu wa mkoa… sijui kuna nini na Sijawahi kupita maana sina cha kunipeleka kule

Bado hiyo garden sijaiona 😀
Nitaiangalia kesho nikipita..
Sasa hapo katikati, ndo garden hiyo unapumzika Bure miti kibao, Kuna ramani ya majengo ya mji, ipo hapo imejengewa vioo, na sanamu la mwanajeshi lipo ndio hapo japo ni padogo, yani mbele ya palace hotel, pia mbele ya ofisi ya mkuu wa mkoa, ni kadogo huwezi jua Kwa kupita tu, ila hivo viti Huwa havijai, unakaa zako upepo mtamu kiroho safi.

Asee nimetoka 2024 January, nipe stori za mji depal kimpong au Billy's river una udhuria au we si mdau wa starehe dada
 
Aah kwishaa kama ni kwenye lile sanamu… sa pale kama sio mzaliwa na mtembea tembea wa mitaa ile huwezi kunote km ni open space ile. Maana ni padunchuuu khaaaa 😀😀

Mara sometimes unapita migari ya jeshi imepakiwa pale,.. hapavutii utoke kwako uende kupumzika kule wallah bora uende zako Kipong ujue moja 😝😝
Au uwe unatembea ukae kupumzika tu kwa muda ukila mahindi, au uwe ni mfanyakazi wa ofisi za around hiyo mitaa…
 
Back
Top Bottom