Hawana hela za kuwafaidisha wananchiKwanini zisiwepo za bure
Ova
Minaongela public space mfano dsm na mijini mingi Tanzania hakuna public space ndo hizo nazoziongolea na sio private spaceSehemu za kutulia kurefresh mind tofauti na bar na lodge zipo teleee ni wewe na pesa yako tu maana ni gharama
Unatatizo la afya ya akiliJaribu makaburini
NdioUnatatizo la afya ya akili
Utapona ukiwahi mirembeNdio
Kwa Mkuu wa Mkoa pale IPO garden nzuri TU , ambayo ni open space na ni bure na hata pale maeneo ya Impala.Unataka vya bure? Subiri Sa100 atasababisha
Kaka kwenda kusalimia police 🚓Nenda hata kituo cha polisi chochote kilichokaribu na wewe ,utakayemkuta counter mwambie nimekuja kuwasalimia .
Ni hapo unaweza kupiga nao story mbili tatu hata kuwauliza wanapata muda wa kulala na hali ya uchumi wanaionaje kwa miaka hii ,hakika leo siku yako itakuwa amazing kiasi chake mkuu wangu
MtabilaUpo MADIBILA au?
Bahati mbaya akili ulizonazo ndo viongozi wakiafrika wanazo sababu wao wanauwezo basi hawajali majority ya wananchi ambao wanakipato kidogoUnataka vya bure? Subiri Sa100 atasababisha
Pale Impala mchana hapakaliki, jua kali. Utakaaje kwenye vile vimbweta 😀Kwa Mkuu wa Mkoa pale IPO garden nzuri TU , ambayo ni open space na ni bure na hata pale maeneo ya Impala.
Nahuzunika sana nikiona rais wetu anakosa sehemu sahihi ya kwenda kupumzisha akili 😥Tanga wanayo.. uwa wanakusanyika wanakula zao popcorn
Arusha ina sehemu kadhaa za kutulia ukiondoa bar
Wawekezaji wapo busy kujenga appartments wameona wabongo masuala ya sex wanapenda sana