Nafikiria sehemu ya kwenda kurelax hakuna

Sema miji ya Tanzania hovyo sana
Sasa hivi umekaa zako unataka uende sehemu urefresh akili
Option inayokuja ni kwenda bar zama hizi swala la kutembeleana halipo tena kama miaka ya 2000 mwanzoni na kurudi nyuma

Miji yetu haina open space ambazo kwenye nyakati za weekends kunaweza kukawa na band zinapiga na nyingine inafanyika michezo mbalimbali mfano wa theme park

Tanzania hakuna Night-life kabisa ni either uende bar au Lodge ukafanye michezo ya kikubwa in short hakuna sehemu ya mtu kutoa stress mbaya zaidi watanzania wanaishi kwenye chumba kimoja au viwili au vitatu

Hatuna theme park kwenye miji yetu, hatuna arena kubwa na ndogo kwa ajili ya events mbalimbali

Kwa wale watu hawanywi pombe na waislamu wanapataga wakati mgumu sana

Wakati wa sikuku unakuta watoto wako kwenye daraja la buguruni au manzeshe huwaga nawaonea huruma sana hawana pa kwenda

Mfano dar kuna pori la magwepande lingetengenezwa vizuri watu wawe wanaenda kupoteza stress na kuwe na space ya kuchoma

Hatuna arena kubwa na ndogo kwa ajili ya matamasha mbalimbali kuna miji mingine ikifika weekend kuna mambo mengi sana ya kukuondolea stress

Hawa watoto wa sahivi ndo watakuja kuwa na msongo mkubwa sana wa mawazo, depression na kujiua

Niliwahi kupendekeza manzese ,kinondoni ,mwananyamala ,kigogo ,magomeni,tandale ivunjwe yote zijengwe skyscrapers ,ma Apartments ,ma Shapping malls ,ma amusement parks ,ma Arenas ,kids playing grounds ,hotels ,motels ,logdes ,restaurants etc
 
Kaa nyumbani ufanye home work na watoto.. acha kupenda kuzurula. Mkimaliza mwende Kanisani/ Msikitini..

Nyie watz mna akili za kujengewa open space na mkazitunza? Mitaro tu huko Daslam imewashinda mamlaka kusafisha ndio open space wataweza?

Hiyo open space iliyotajwa ya Arusha ni padogo lkn pamewashinda kupanda maua na kupafanya pawe greenish.

Lami zina mashimo kibao.. zimewashinda, ndio wakaweze vya open space za kuchezea? Em angalia na uhalisia wa Nchi yako + viongozi wake. Usitake tu wafanye mambo yasiowezekana
Open space Tanzania zinageuka dampo
 
Nimeona.. but.. hizo sehem zote zipo nje ya mji (Town)..

Pia, night life ambalo kazungumzia mtoa mada, bado hizo sehem hazijakidhi.

My observations:-
Arusha ni mji mdogo sana kwa Dar ni kama TABATA tu ile coverage yake na huwenda TABATA ikawa ipo juu kuliko Arusha in terms of miundombinu, Usafiri, Usalama, Lifestyle kupata access ya kile unachotaka on time etc..

Kuna mikakati inatakiw kuufanya huu mji ukae kisasa, ukisimuliwa unaweza Sema Arusha ni New York City.. haya uje ukae ujionee
 
Tatizo nilishahama dar, kwahiyo watu sasahivi wanajiachia kwa raha zao
Huwa nakimbia jioni naanzia hapa kwenye geti la OCR hospital hadi coco beach via Tanzanite bridge. Mwanzo mwisho ni pavement tu hukutqni hata na bodaboda moja.
 
Mipango miji tu ni kasheshe ndo tutaweza mambo ya open space? Jiji la Dar ni kama hell.
 
  • Thanks
Reactions: Nus
Sema miji ya Tanzania hovyo sana
Sasa hivi umekaa zako unataka uende sehemu urefresh akili
Option inayokuja ni kwenda bar zama hizi swala la kutembeleana halipo tena kama miaka ya 2000 mwanzoni na kurudi nyuma

Miji yetu haina open space ambazo kwenye nyakati za weekends kunaweza kukawa na band zinapiga na nyingine inafanyika michezo mbalimbali mfano wa theme park

Tanzania hakuna Night-life kabisa ni either uende bar au Lodge ukafanye michezo ya kikubwa in short hakuna sehemu ya mtu kutoa stress mbaya zaidi watanzania wanaishi kwenye chumba kimoja au viwili au vitatu

Hatuna theme park kwenye miji yetu, hatuna arena kubwa na ndogo kwa ajili ya events mbalimbali

Kwa wale watu hawanywi pombe na waislamu wanapataga wakati mgumu sana

Wakati wa sikuku unakuta watoto wako kwenye daraja la buguruni au manzeshe huwaga nawaonea huruma sana hawana pa kwenda

Mfano dar kuna pori la magwepande lingetengenezwa vizuri watu wawe wanaenda kupoteza stress na kuwe na space ya kuchoma

Hatuna arena kubwa na ndogo kwa ajili ya matamasha mbalimbali kuna miji mingine ikifika weekend kuna mambo mengi sana ya kukuondolea stress

Hawa watoto wa sahivi ndo watakuja kuwa na msongo mkubwa sana wa mawazo, depression na kujiua
Ni kweli kabisa maisha ya siku hizi hayana tena matukio au mihadhara ya kukutanisha watu wakapunguza msongo wa mawazo. Sana sana kilichobaki ni mpira wa miguu tu.

Kipindi cha nyuma kulikuwa na vikundi vya ngoma vilivyokuwa vikiburudisha sehemu mbalimbali ikiwemo hoteli kubwa, majumba ya sinema, miamba iliyokuwa inavuta/kunyanyua vitu vizito n.k. Mtindo huu wa maisha ulikuwa uanachangamsha sana akili na ulifanya watu kufahamiana na ulijenga wigo mpana sana wa marafiki.

Siku hizi mambo yote yamewekwa kwenye kifaa kidogo cha kiganjani ambacho kinakutaka usiwasiliane wala kuongea na yeyote wakati unakitumia(hata kama yuko karibu yako).
 
Sema miji ya Tanzania hovyo sana
Sasa hivi umekaa zako unataka uende sehemu urefresh akili
Option inayokuja ni kwenda bar zama hizi swala la kutembeleana halipo tena kama miaka ya 2000 mwanzoni na kurudi nyuma

Miji yetu haina open space ambazo kwenye nyakati za weekends kunaweza kukawa na band zinapiga na nyingine inafanyika michezo mbalimbali mfano wa theme park

Tanzania hakuna Night-life kabisa ni either uende bar au Lodge ukafanye michezo ya kikubwa in short hakuna sehemu ya mtu kutoa stress mbaya zaidi watanzania wanaishi kwenye chumba kimoja au viwili au vitatu

Hatuna theme park kwenye miji yetu, hatuna arena kubwa na ndogo kwa ajili ya events mbalimbali

Kwa wale watu hawanywi pombe na waislamu wanapataga wakati mgumu sana

Wakati wa sikuku unakuta watoto wako kwenye daraja la buguruni au manzeshe huwaga nawaonea huruma sana hawana pa kwenda

Mfano dar kuna pori la magwepande lingetengenezwa vizuri watu wawe wanaenda kupoteza stress na kuwe na space ya kuchoma

Hatuna arena kubwa na ndogo kwa ajili ya matamasha mbalimbali kuna miji mingine ikifika weekend kuna mambo mengi sana ya kukuondolea stress

Hawa watoto wa sahivi ndo watakuja kuwa na msongo mkubwa sana wa mawazo, depression na kujiua
JWTZ wanakusanya buku buku Longoni beach na mradi wa fremu.

Coco beach wanapatamani, subiri ukute mahotel hapo.

Mnazi Mmoja palishakuwa uwanja wa mikutano ya wahuni.

Bustani za wazi ni kwenye nchi zenye watu wenye akili.

Nye mkapumzike BAR.
 
Huwa nakimbia jioni naanzia hapa kwenye geti la OCR hospital hadi coco beach via Tanzanite bridge. Mwanzo mwisho ni pavement tu hukutqni hata na bodaboda moja.
Safi sana, kongole kwa afisa wa serikali aliyetoa hilo wazo na likatekelezwa.
Nikija dar nitapita pande hizo, mitaa yangu enzi za childhood, nimeishi chimara street, kikapu nimecheza spider sijui huo uwanja kama bado upo.
 
Niliwahi kupendekeza manzese ,kinondoni ,mwananyamala ,kigogo ,magomeni,tandale ivunjwe yote zijengwe skyscrapers ,ma Apartments ,ma Shapping malls ,ma amusement parks ,ma Arenas ,kids playing grounds ,hotels ,motels ,logdes ,restaurants etc
NSSF ya Dau walitaka kujaribu hilo naona walifeli, walitaka kuanza na vingunguti hadi buguruni.
 
Safi sana, kongole kwa afisa wa serikali aliyetoa hilo wazo na likatekelezwa.
Nikija dar nitapita pande hizo, mitaa yangu enzi za childhood, nimeishi chimara street, kikapu nimecheza spider sijui huo uwanja kama bado upo.
Spider court bado ipo imeboreshwa zaidi hadi glass backboard za basket.
 
Back
Top Bottom