Martrix_32
JF-Expert Member
- Dec 1, 2025
- 1,025
- 2,056
hakika 💯Arusha ina sehemu kadhaa za kutulia ukiondoa bar
hakika 💯Arusha ina sehemu kadhaa za kutulia ukiondoa bar
Unaenda vizuri kabisa kaka na hakuna shida yoyoteKaka kwenda kusalimia police 🚓
Ww Una stress Kali Sana, mbona ni vitu vya kawaida Tu hivyo, hayo ni maoni Tu ya wadau, au unafikiri unasemwa ww?, mdomo mrefu Sana punguza.Katengeneze wewe sehemu kubwa zaidi ya hiyo.
Kwani mna nini nyie? Mbona mnaandika mambo yasiyoeleweka?
Upo sahihi, hasa Dsm ni chache sanaaa, kule nyuma ya Ikulu enzi za Jakaya tulikua tunaenda kupumzika tunatandika mikeka kabisa na vyakula tunakula sijui hali ikoje kipindi hiki lakini barabara hiyo hiyo maeneo ya Ocean Road kuna vimbweta vya kupumzikia huku unatizama bahariMinaongela public space mfano dsm na mijini mingi Tanzania hakuna public space ndo hizo nazoziongolea na sio private space
Acha kimbelembele Kama kahaba wa kimboka ,Malaya fala weUmekosea we mzee Dennis Robert Shughuru.
We ndo una matatizo ya akili. Na unazeeka vibaya we babu.
Mkuu ulichoeleza hapa ni sahihi. Hili suala binafsi nimekuwa nikiliona ila sikuwahi kushare. Nikaja kuthibitisha baada ya kubahatika kufika kwenye mataifa kadhaa developed. Aisee..., unaweza kukufuru kwa kuzungumza sema tu ni vile huku ndio home inabidi upape heshima kigumu tu.Sema miji ya Tanzania hovyo sana
Sasa hivi umekaa zako unataka uende sehemu urefresh akili
Option inayokuja ni kwenda bar zama hizi swala la kutembeleana halipo tena kama miaka ya 2000 mwanzoni na kurudi nyuma
Miji yetu haina open space ambazo kwenye nyakati za weekends kunaweza kukawa na band zinapiga na nyingine inafanyika michezo mbalimbali mfano wa theme park
Tanzania hakuna Night-life kabisa ni either uende bar au Lodge ukafanye michezo ya kikubwa in short hakuna sehemu ya mtu kutoa stress mbaya zaidi watanzania wanaishi kwenye chumba kimoja au viwili au vitatu
Hatuna theme park kwenye miji yetu, hatuna arena kubwa na ndogo kwa ajili ya events mbalimbali
Kwa wale watu hawanywi pombe na waislamu wanapataga wakati mgumu sana
Wakati wa sikuku unakuta watoto wako kwenye daraja la buguruni au manzeshe huwaga nawaonea huruma sana hawana pa kwenda
Mfano dar kuna pori la magwepande lingetengenezwa vizuri watu wawe wanaenda kupoteza stress na kuwe na space ya kuchoma
Hatuna arena kubwa na ndogo kwa ajili ya matamasha mbalimbali kuna miji mingine ikifika weekend kuna mambo mengi sana ya kukuondolea stress
Hawa watoto wa sahivi ndo watakuja kuwa na msongo mkubwa sana wa mawazo, depression na kujiua
Kuna comment ngoja niiangalie nilimtajia Bushmamy nazozijua.. ila sio za bure, maana mtoa mada anataka vya bureArusha?.. 😂 wapi em nipange mkuu
Walioweka open space za public sio wajinga alafu mimi naongelea watanzania walio wengi sijifikirii mimiKuna comment ngoja niiangalie nilimtajia Bushmamy nazozijua.. ila sio za bure, maana mtoa mada anataka vya bure
Zingatia na uhalisia wa Nchi. Usilisahau hiloWalioweka open space za public sio wajinga alafu mimi naongelea watanzania walio wengi sijifikirii mimi
Sinaubinafsi kama uliokuwa nao wewe na viongozi wengi wa kiafrika
Ahsante kwa ushauri mkuu. Kinga ni bora kuliko tiba, au sio?Mental health is real. Jitahidi uwahi kwa psychiatrist
Sawasawa, nimekuelewa mkuu.Ww Una stress Kali Sana, mbona ni vitu vya kawaida Tu hivyo, hayo ni maoni Tu ya wadau, au unafikiri unasemwa ww?, mdomo mrefu Sana punguza.
Unazidi sana babu, mambo ya kawaida sana haya.Acha kimbelembele Kama kahaba wa kimboka ,Malaya fala we
THEN and NOW au?
Sehemu mbili tofauti. Juu coco beach(picha ya zamani kabla hata ya barabara mpya), picha ya chini beach ya kule Aga khna Barack Obama avenue.THEN and NOW au?
Inaaangaliana kabisa na ofisi ya Mkuu wa Mkoa,IPO katikati baina ya hotel ya kibo palace,na jengo/ofisi ya halmashauri . Imezungukwa na maua mengi pamoja na mitiPale Impala mchana hapakaliki, jua kali. Utakaaje kwenye vile vimbweta 😀
Hiyo ya kwa mkuu wa mkoa siijui. Ni upande upi? Wa kuelekea Mt. Meru Hosp, BOT au kurudi huku njia inayoshuka TTCL
1. Mtoa mada anazungumzia sehemu za public ambazo hazina gharama kubwa kwa mwananchi wa kawaida.
2. Ingekuwa vizuri ukaitaja hiyo sehemu matata uliyokuwepo kwa watu wenye hela zao nao watembele
Gymkhana ndio pametengenezwa hivyo? Ni pote au kuanzia ikulu kwenda tanganyika swimming club?Sehemu mbili tofauti. Juu coco beach(picha ya zamani kabla hata ya barabara mpya), picha ya chini beach ya kule Aga khna Barack Obama avenue.
Gentlemen_Ngasere, meru camp, duluti, kilimanjaro golf, blue heron, Arusha coffee lodge