Nafikiria sehemu ya kwenda kurelax hakuna

Nafikiria sehemu ya kwenda kurelax hakuna

Aah kwishaa kama ni kwenye lile sanamu… sa pale kama sio mzaliwa na mtembea tembea wa mitaa ile huwezi kunote km ni open space ile. Maana ni padunchuuu khaaaa 😀😀

Mara sometimes unapita migari ya jeshi imepakiwa pale,.. hapavutii utoke kwako uende kupumzika kule wallah bora uende zako Kipong ujue moja 😝😝
Au uwe unatembea ukae kupumzika tu kwa muda ukila mahindi, au uwe ni mfanyakazi wa ofisi za around hiyo mitaa…
Hapana mi nimejiajiri, nilikua naenda zangu kukaa pale pako poa sijaona sehemu yenye hewa safi isio bore kama hapo.

Hivi kimpong bado pana vibe jmosi na IJUMAA au Kuna kiwanja kipya siku hizi
 
Nenda hata kituo cha polisi chochote kilichokaribu na wewe ,utakayemkuta counter mwambie nimekuja kuwasalimia .
Ni hapo unaweza kupiga nao story mbili tatu hata kuwauliza wanapata muda wa kulala na hali ya uchumi wanaionaje kwa miaka hii ,hakika leo siku yako itakuwa amazing kiasi chake mkuu wangu

OVA
 
Sema miji ya Tanzania hovyo sana
Sasa hivi umekaa zako unataka uende sehemu urefresh akili
Option inayokuja ni kwenda bar zama hizi swala la kutembeleana halipo tena kama miaka ya 2000 mwanzoni na kurudi nyuma

Miji yetu haina open space ambazo kwenye nyakati za weekends kunaweza kukawa na band zinapiga na nyingine inafanyika michezo mbalimbali mfano wa theme park

Tanzania hakuna Night-life kabisa ni either uende bar au Lodge ukafanye michezo ya kikubwa in short hakuna sehemu ya mtu kutoa stress mbaya zaidi watanzania wanaishi kwenye chumba kimoja au viwili au vitatu

Hatuna theme park kwenye miji yetu, hatuna arena kubwa na ndogo kwa ajili ya events mbalimbali

Kwa wale watu hawanywi pombe na waislamu wanapataga wakati mgumu sana

Wakati wa sikuku unakuta watoto wako kwenye daraja la buguruni au manzeshe huwaga nawaonea huruma sana hawana pa kwenda

Mfano dar kuna pori la magwepande lingetengenezwa vizuri watu wawe wanaenda kupoteza stress na kuwe na space ya kuchoma

Hatuna arena kubwa na ndogo kwa ajili ya matamasha mbalimbali kuna miji mingine ikifika weekend kuna mambo mengi sana ya kukuondolea stress

Hawa watoto wa sahivi ndo watakuja kuwa na msongo mkubwa sana wa mawazo, depression na kujiua
Mkuu umeandika kitu kikubwa sana hapa.
This might seem small but ni kitu kinacho affect jamii kwa kiasi kikubwa. We live on our phones, workplaces and houses with people who are battling stress and anxiety, so tunaishia kuwa mazombie na tunakufa mapema hasa Kwa wanaume.
 
Ndo maana napendaga sana nipate connection nitoweke huku nchi za walala hoi
 
Maybe huna hela tu mkuu mbona machimbo yapo mengi sana mjini hapa

Jana tu nilikuwa sehemu moja matata sana hapa hapa mjini
Sema budget yako
 
Kama sio mtu wa bars na lodges. Jaribu kutafuta communities zilizopo dar, kuna book clubs kama hekima, kuna sehemu za arts kama Nafasi Arts, huwa wana events za sanaa, sometimes ni kuchora tu.

Naamini ukitafuta community ya kuendana nawe hutopata tabu kupata extra activities. Japo uhalisia ni huo, bongo starehe ni alcohol na sex tu
 
Tanga wanayo.. uwa wanakusanyika wanakula zao popcorn

Arusha ina sehemu kadhaa za kutulia ukiondoa bar

Wawekezaji wapo busy kujenga appartments wameona wabongo masuala ya sex wanapenda sana
Arusha?.. 😂 wapi em nipange mkuu
 
Inategemea na mood, exposure na mfuko..

Binafs napenda kula maisha rooftop hapo mjini kuna baadhi ya sehem ni kali.. unakula upepo mzr chini unaangalia Watanganyika wanavyoteseka na Maisha.. alaf kwa mbaaal unaona viboti..

Nikichoka natafuta liquor store iliyonyooka natulia counter napiga Masanga kiasi...

After.. narud home kulala.. or kama Mkeka umetiki ktk mizunguko yangu nazuia room na mtt mzr tikiview bahari..
 
1779056924001.png

1779056966189.png

1779057121283.png
 
Maybe huna hela tu mkuu mbona machimbo yapo mengi sana mjini hapa

Jana tu nilikuwa sehemu moja matata sana hapa hapa mjini
Sema budget yako
1. Mtoa mada anazungumzia sehemu za public ambazo hazina gharama kubwa kwa mwananchi wa kawaida.
2. Ingekuwa vizuri ukaitaja hiyo sehemu matata uliyokuwepo kwa watu wenye hela zao nao watembelee
 
Sema miji ya Tanzania hovyo sana
Sasa hivi umekaa zako unataka uende sehemu urefresh akili
Option inayokuja ni kwenda bar zama hizi swala la kutembeleana halipo tena kama miaka ya 2000 mwanzoni na kurudi nyuma

Miji yetu haina open space ambazo kwenye nyakati za weekends kunaweza kukawa na band zinapiga na nyingine inafanyika michezo mbalimbali mfano wa theme park

Tanzania hakuna Night-life kabisa ni either uende bar au Lodge ukafanye michezo ya kikubwa in short hakuna sehemu ya mtu kutoa stress mbaya zaidi watanzania wanaishi kwenye chumba kimoja au viwili au vitatu

Hatuna theme park kwenye miji yetu, hatuna arena kubwa na ndogo kwa ajili ya events mbalimbali

Kwa wale watu hawanywi pombe na waislamu wanapataga wakati mgumu sana

Wakati wa sikuku unakuta watoto wako kwenye daraja la buguruni au manzeshe huwaga nawaonea huruma sana hawana pa kwenda

Mfano dar kuna pori la magwepande lingetengenezwa vizuri watu wawe wanaenda kupoteza stress na kuwe na space ya kuchoma

Hatuna arena kubwa na ndogo kwa ajili ya matamasha mbalimbali kuna miji mingine ikifika weekend kuna mambo mengi sana ya kukuondolea stress

Hawa watoto wa sahivi ndo watakuja kuwa na msongo mkubwa sana wa mawazo, depression na kujiua
Unahoja mkuu,

lkn vitu kama hivi ni ngumu kupata kwa sasa. Kama serikali imeshindwa kutupa katiba mpya ikiwa ni jambo la msingi itaweza kutujengea sehemu za mapumziko kweli ?

Ni maoni yangu tu.
 
Kwa sisi tuliowahi kwenda nchi za wenzetu tunamuelewa sana mtoa mada, hapa ni pa ajabu kweli kweli
Watanzania wengi sana wako gizani na huu mtaji mkubwa sana wa wanasiasa na hili utalijua ukisoma reply zao kwenye uzi na miongoni mwa hawa ndo wanakuja kuwa viongozi
 
Naona wengi hata hawaelewi maana ya Public space! mtu anamshauri mleta mada aende Bar wakati yeye anaongelea public space,

Public space inakua wazi kwa community yote and state owned,wakati private space ni individua,family or business owned.
 
1. Mtu hata kusoma kilichoandikwa na mleta mada hawezi.
2. Aliesoma nae haelewi mleta mada anamaanisha nini.
Ndio maana unakutana na comments xa ajabu kama LABDA HUNA HELA,NENDA SEHEMU XX NA HELA YAKO UTA RELAX BLAH BLAH BLAH.
Wengi hawajui PARK kwenye mji ni nini. Na wakuu wa wilaya,mikoa ni kama hawa wananchi wasiojua maana ya park.
Guys just Google CENTRAL PARK NY au HYDE PARK LONDON mtaelewa hii mada inahusu nini.
 
1. Mtu hata kusoma kilichoandikwa na mleta hawezi.
2. Aliesoma nae haelewi mleta mada anamaanisha nini.
Ndio maana unakutana na comments xa ajabu kama LABDA HUNA HELA,NENDA SEHEMU XX NA HELA YAKO UTA RELAX BLAH BLAH BLAH.
Wengi hawajui PARK kwenye mji ni nini. Na wakuu wa wilaya,mikoa ni kama hawa wananchi wasiojua maana ya park.
Guys just Google CENTRAL PARK NY au HYDE PARK LONDON mtaelewa hii mada inahusu nini.
''The biggest communication problem is we do not listen to understand,
We listen to reply''
 
Uhuru park Nairobi. Ya kwetu ni Mnazi Mmoja pale. Kilichofanyika imefungwa sababu haijulikani. Pale Ocean Road Hospital ipo park moja along Samora Avenue. Jioni utaona wanafunzi wa IFM wamekaajuu ya uzio mfupi wa park. Hawawezi kuingia na kukaa garden kwenye viti maalum kwasababu IMEFUNGWA.Kwanini imefungwa hakuna anaejua.
Kuna THE GREEN OYSTERBAY.Hii small green open space tumezaliwa karibu 50yrs ago tumeikuta leo kuna mtu kaamua kujenga uwanja wa npira!
 
Back
Top Bottom