Nafikiria kutembea na house girl

Nafikiria kutembea na house girl

Salaam wakuu,
Imetokea tuu from no where siku za hivi karibuni nimekuwa na mawazo na hisia za kufanya mapenzi na moja ya msichana wa kazi nyumbani kwangu.
Sijui nifanye nini kuyaepuka haya mawazo?. Huyu binti alikuja wa kawaida sana, lakini hivi sasa amenawiri kila kona ya mwili wake inashawishi. Mke wangu yupo, ila kwakweli yupo busy saana kiasi cha kwamba hata nikianza haka ka mchezo haitokuwa rahisi yeye kugundua.
Unafikiria! Kufikiri huanzia kwenye ubongo brother si ndio? Ktk mfumo wa kiafya, kuna vitu ambavyo huzuia baadhi ya vitu ambavyo ni harmful to your brain visiingie kwa ajili ya kuulinda kwakuwa endapo ubongo ukiharibika madhara yake ni makubwa, vivyo hivyo kiimani, wewe ndio muamuzi wa kipi/wazo kuingia na kutoingia, kwa lugha nyingine tunasema "you are the gate keeper of your brain". Amua sahihi uishi kwa amani ktk kumpendeza Mungu, mkeo anaweza asikuone wala kujua ila Mungu Anakuona, je utakuwa unatamani kila mdada wa kazi anayenona! Hiyo ni roho; itaendelea kukufuata na kupelekea kuhamia kwa wafanyakazi, wanafunzi, nk kwa kuwa "walionona ni wengi"; siamini kuwa umetiwa upofu kiasi cha kutambua kuwa mkeo pia "amenona". Be proud of what u have.
 
Salaam wakuu,
Imetokea tuu from no where siku za hivi karibuni nimekuwa na mawazo na hisia za kufanya mapenzi na moja ya msichana wa kazi nyumbani kwangu.
Sijui nifanye nini kuyaepuka haya mawazo?. Huyu binti alikuja wa kawaida sana, lakini hivi sasa amenawiri kila kona ya mwili wake inashawishi. Mke wangu yupo, ila kwakweli yupo busy saana kiasi cha kwamba hata nikianza haka ka mchezo haitokuwa rahisi yeye kugundua.
Usijishushie heshima huyo ni mfanya kaziwako,ni sawa na mke wako kufanya mapenzi na House boy wake wewe utajiuliza maswali mengi sana kama vile wewe huwezi kuwajibika kama Mwanamme au nguvu za kiume zimekwisha sasa house boy anakusaidia,usijaribu mkuu............
 
Mi nakushauri umgonge huyo beki3. Na ukishamgonga hutasikia anakwambia naenda kusalimia nyumbani.... atanogewa hatari. Kumbuka hata Ibrahim wa kwenye bible alifumua beki3
Beki tatu halali kufunuliwa ndomaana baba wa imani alifunua,jakobo nae alifunua wa beki3 wa mke mkubwa Na haikuishia hapo alifunua wa mke mdogo,halfu mbaya zaidi huyu mke mdogo na mkubwa nimtu na mdogo wake na niwatoto wamjomba wake....haya mambo mna complicate nyie tu!!!
 
Umeshapata hela yako ya mshaara mkuu!?
 
Stori yako ingenoga kama ungeweka na picha yake.

Ila kwa msaada zaidi nipe namba ya huyo beki3
 
Kweli nimeamini wanaume hawaridhiki, sasa usipomgonga huyo house girl unapungukiwa nn kwa mfano?,na ukimgonga unapata nini za maana,kama sio kunitafutia mibalaa tuu ndani ya ndoa yako, kweli binadamu tumezoea shida ,hapo asaiv unaamani na mkeo naona ushamiss matatizo ndo unawaza kumgonga house girl, haya kila La heri,usiache kuja kuomba ushauri tena hapa.
 
Salaam wakuu,
Imetokea tuu from no where siku za hivi karibuni nimekuwa na mawazo na hisia za kufanya mapenzi na moja ya msichana wa kazi nyumbani kwangu.
Sijui nifanye nini kuyaepuka haya mawazo?. Huyu binti alikuja wa kawaida sana, lakini hivi sasa amenawiri kila kona ya mwili wake inashawishi. Mke wangu yupo, ila kwakweli yupo busy saana kiasi cha kwamba hata nikianza haka ka mchezo haitokuwa rahisi yeye kugundua.
Sawa.
 
..nimekuwa na mawazo na hisia za kufanya mapenzi na moja ya msichana wa kazi nyumbani kwangu.
Sijui nifanye nini kuyaepuka haya mawazo?..

Mara nyingi wazee wetu huwa wana ushauri wa busara sana. Unaonaje ukimshirikisha babu, baba au mama yako? I am sure watakupa ushauri mzuri sana na hutorudi kufuatilia porojo za huku.
 
Acheni kumsingizia shetani na mambo ya kijinga. Hiyo kwa kirangi inaitwa kididimankanga. Amuulize huyo housegirl wa kirangi ina maana gani?
 
Kama vipi njoo upigie geto kwangu kama home pamekaa vibaya
 
Ooh my God,I really don't know what the hell is happening with me. I just seem not capable of resisting these fucking feelings.
Mbaya zaidi kuna siku niliipita eneo la chumba chake, hakujua kama nipo arround, alikuwa ametoka kuoga anavaa nguo na mlango wake ulikuwa wazi. Nilichokiona ni Mungu pekee ndo anaejua, bahati mbaya ile taswira inajirudia rudia kila wakati kumkichwa. Hakika huyu binti wa kirangi ataniletea matatizo aisee

Uliona kipi cha ajabu ambacho mkeo hana?
 
Ndugu unaonesha tayari ushadhamiria kutoka na huyo binti maana kila hoja njema ikija ya namna ya kuachana na mawazo hayo unaipangua tena kwa hoja kabisa,humu ndan tuko watu tofauti na wenye mitazamo tofauti pia kwa hiyo kama nia yako ni kuwa na huyo binti kuwa nae lkn pia uwe tayari kwa matokeo yoyote ya baadae,lkn kama una nia ya kupata njia ya kumkwepa huyo bidada pamoja na mvuto wake hebu fanyia kazi ushauri chanya uliopewa, kama una nia ya kumuheshimu mkeo na kujitunzia heshima yako ktk jamii.
 
Back
Top Bottom