Nafikiria kutembea na house girl

Nafikiria kutembea na house girl

Ushauri mfukuze mke wako umuoe house girl au mfukuze house girl ubaki na mkeo ukiwachanganya utawakosa wote time will tell
Sasa mmoja akimuacha ataenda wapi? Mwisho wa siku ataishia kuwa kahaba, cha msingi hapa nikuwala wote ili asiwepo wa kujisikia infirio,
 
Ni mwaka wa 10 sasa nipp knye ndoa, nimeshakuwa na house girls huyu ni wa 8, amini nakuambia, huyu binti ni tofauti kabisa, na sijawahi kuwa na hisia kama hizi kwa yeyote yule kabla. Nakumbuka tuu kuwa wakati nasoma, niliwahi kutafuna housegal nyu bani kwetu, those years.
Basi jua huyo ametumwa maalumu kuangamiza ndoa yako.......
 
Na tumekuwa tukipata shida sana na hawa mabinti, wakija wakishapendeza namna hii mijamaa ya hapa mtaani inawagegeda bureee mpaka vibinti vinaacha kufanya kazi, wife anawaondoa. Kimbembe ni kupata binti mwingine baada ya hapo, ni mabinti 4 wameshaondoka kwa style hii. Kwa hiyo nimefikiria pia kuwa nikimgegeda atatuliandani, na hatohangaika hangaika huko mitaani.
Kula baba kula ili mradi kipo we kula tu, kuna watu wanahangaika wanahonga hadi nyumba, usidhani kwamba hawa mabeki tatu hawapendi kuliwa na wenye nyumba huwa wanatamani sana ila wanashindwa waanzie wapi

Kipindi bado nipo mahome hawa ndio walikuwaga wake zangu hawa, nilikua siwaachi, sikushauri na wewe uwaache ila kuwa makini tu usije ukawapa kibendi
 
kamuombe kibali hicho mke wako kua unafikiria kuchepuka usikimbilie huku jf coz jf sio mke wako🙂
 
Nimejaribu kuyapotezea haya mawazo, nashindwa kaka. Yaani kila nikimuona moyo unaenda mbio, hata yeye naona ameanza kuhisi kitu maana huwa hawezi kugonganisha macho na mimi.
Pepo la kuaibika lipo malangoni pako.
 
Mkuu kwa huyu binti, hata ungekuwa wewe hakika usingehimili. Si unajua mabinti wa kirangi?. Hakika huu ni mtihani mgumu sana kupitishwa mbele yangu na maulana.
acha porojo weka picha tufanye visual analysis hapa
 
Acha huo ujinga, au unaona wivu vijana wa kitaa wanavyofaidi?? Kwa jinsi mahousegirl wakivyo watamu utamsahau mkeo na hapo ndipo atakapoanza kukuchunguza na siri itakuwa si siri tena. Pia kumbuka mapenzi ni kikohozi..........
 
Acha huo ujinga, au unaona wivu vijana wa kitaa wanavyofaidi?? Kwa jinsi mahousegirl wakivyo watamu utamsahau mkeo na hapo ndipo atakapoanza kukuchunguza na siri itakuwa si siri tena. Pia kumbuka mapenzi ni kikohozi..........
Alafu vitoto vya siku hizi havina siri... akigegeda kesho anamsimulia beki tatu jirani yake,,,na huyo beki tatu jirani yake anaenda msimulia Mangi muuza genge..... Zikishafika hapo ndoa hana.

Ana hatari huyuu...
 
Mkuu nishawahi leta Uzi kama huu , Mimi pia nipo kwenye majaribu makali sana ..muda mwingine tunabaki wawili ndani uku kavaa kanga moja ..
 
Nadhani unataka kumwagiwa maji ya moto na huyo binti wa watu. Yakija mawazo hayo toka nje ukimbie kuzunguka uwanja wa mpira mara 10.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ushauri wako unaitwa Kata Mzizi na ndimu
 
Anaomba RUKHSA kutoka bodi ya JF ya kutoa RUKHSA kugegeda msaidizi wa nyumbani AKA HG kisa kazidi kupendeza ukilinganisha alivyokuja alikuwa mchafu mchafu sasa kapiga soap soap na msosi wa uhakika binti kanawiri hivyo anaomba RUKHSA ili amvue picchu.
Akamvue tu hiyo pichu maana kichwa chake cha chini kimeshaamua
 
Ukimgonga naomba mrejesho maana na mimi yupo hapa najishangaa anavojigongaa
 
Mkuu kwa huyu binti, hata ungekuwa wewe hakika usingehimili. Si unajua mabinti wa kirangi?. Hakika huu ni mtihani mgumu sana kupitishwa mbele yangu na maulana.
Hahahaaaa umenichekesha mkuu!
 
Ooh my God,I really don't know what the hell is happening with me. I just seem not capable of resisting these fucking feelings.
Mbaya zaidi kuna siku niliipita eneo la chumba chake, hakujua kama nipo arround, alikuwa ametoka kuoga anavaa nguo na mlango wake ulikuwa wazi. Nilichokiona ni Mungu pekee ndo anaejua, bahati mbaya ile taswira inajirudia rudia kila wakati kumkichwa. Hakika huyu binti wa kirangi ataniletea matatizo aisee

Ukimla utakuwa umemdharau sana mkeo
 
mdogo wangu nakushauri uachane na hayo mawazo..sio wewe unayewaza ila ni ibilisi anayaleta ili kuaribu ndoa yako na kuondoa amani hapo home kwako...ipo siku kila kitu kitakuwa wazi ukifanya huo mchezo na kama hujui hao wasichana wanashika mimba haraka kuliko mwanadamu yeyote chini ya mbingu.
hahaa
 
Back
Top Bottom