Haya mambo ni mazto comrade bujibuji, mimi siyo mtoto, omba yasikukute haya
Nimekuja kuomba ushauri, nifanye nini kuondokana na mawazo haya na hatimaye kuyashinda matamanio ya mwili wangu?Main switch ya kichwani imezima ni giza tu ...imebaki switch ndooogo ya jamaa with "LOH" (Lack of hair) hapo chini...hapo hata washaurije kama main switch kubwa haifanyi kazi hakuna namna
Mi nakushauri umgonge huyo beki3. Na ukishamgonga hutasikia anakwambia naenda kusalimia nyumbani.... atanogewa hatari. Kumbuka hata Ibrahim wa kwenye bible alifumua beki3Salaam wakuu,
Imetokea tuu from no where siku za hivi karibuni nimekuwa na mawazo na hisia za kufanya mapenzi na moja ya msichana wa kazi nyumbani kwangu.
Sijui nifanye nini kuyaepuka haya mawazo?. Huyu binti alikuja wa kawaida sana, lakini hivi sasa amenawiri kila kona ya mwili wake inashawishi. Mke wangu yupo, ila kwakweli yupo busy saana kiasi cha kwamba hata nikianza haka ka mchezo haitokuwa rahisi yeye kugundua.
Sasa mjomba ikawaje ukaoa ukijua kichwa bado kichanga hakiwez kufanya maamuzi kwa vitu vidogo kama hivi....unajua kwa nn unaomba ushauri? Ni kwa sabab unajua haitakiwi kumla basi anzia hapo kuchukua hatua...otherwise ushukuliwe kwa threadNimekuja kuomba ushauri, nifanye nini kuondokana na mawazo haya na hatimaye kuyashinda matamanio ya mwili wangu?
Ooh my God,I really don't know what the hell is happening with me. I just seem not capable of resisting these fucking feelings.We Kama Umeamua Kula, Ww Kula Tu, Ukikamatwa Na My Wife Wako Usijekutulilia Humu.
Salaam wakuu,
Imetokea tuu from no where siku za hivi karibuni nimekuwa na mawazo na hisia za kufanya mapenzi na moja ya msichana wa kazi nyumbani kwangu.
Sijui nifanye nini kuyaepuka haya mawazo?. Huyu binti alikuja wa kawaida sana, lakini hivi sasa amenawiri kila kona ya mwili wake inashawishi. Mke wangu yupo, ila kwakweli yupo busy saana kiasi cha kwamba hata nikianza haka ka mchezo haitokuwa rahisi yeye kugundua.
Honestly nampenda mke wangu na analijua hilo.Umeichoka ndoa yako mkuu ?
Hakuna kiumbe anayepata mimba haraka kama housegirl ,nakukumbusha tu..
Mtafune bhana!!Mkuu kwa huyu binti, hata ungekuwa wewe hakika usingehimili. Si unajua mabinti wa kirangi?. Hakika huu ni mtihani mgumu sana kupitishwa mbele yangu na maulana.