Nafikiria kutembea na house girl

Nafikiria kutembea na house girl

Hayo mawazo achana nayo yanakwenda kuvunja ndoa yako Ila kama humpendi mkeo basi ww fanya!
 
Hiyo aibu yake? You'll be reduced to a houseboy
MPE ruksa atembee basda ya kazi akichapwa huko hutamtamani. Kinachokuvutia ni hisia ya kukuta kitu hakijatumika miaka kadhaa MPE ruhsa
 
Mkuu Ushauri Wa Bure Huyo Hg Mrudishe Kwao, Ilinitokeaga Mwaka Jana, Wife Aliona Dalili Za Hg Kumpiku, Mara Yakaanza Mashindano, Japo Mie Sikuwa Na Lengo Lolote Na Huyo Binti, Baada Ya Kuona Shida Zazidi Nikaamua Kumrudisha Kwao Ili Kuepusha Shali, Hapo Aman Ikarejea Nyumban, Japo Yule Hg Ananipigiaga Cm Mie Nachukulia Kama Mwanangu.
 
Kumbe ww ni box hivi unadhani kuna kitu cha siri hapa duniani? Acha umbumbumbu ww
 
Wewe umeshamtusua unakuja kutusumbua JF hapa.Endelea kumla mpaka aliye busy ajue ili aache kuwa busy.Si ndio unachotaka?All the best
 
Ukiweza tembea na House Girl wako basi uko mbioni kutembea na Binti yako wa kumzaa. Ni kitendo cha kishenzi ambacho hufanywa na mtu aliechanganyikiwa tu na si vinginevyo!
 
daaahh hakuna namna mkuu..kama mke kasahau majukumu yake ufanyeje sasa....tafuna tu
 
Ni dharau kubwa kwa familia yako endapo utamgonga Hugo hg ndani ya nyumba inayoishi na mkeo, ni mara mia utafute vicheche huko mitaani na unaporudi home uwe mme bora na baba kwa wanao.
Imagine mwanao wa kike atajisikiaje akijua baba yake huwa anatembea na dada wa nyumbani!
 
Anashindwa kukuangalia machoni sbb anashangaa mpaka leo bado hujamgegeda
Mke akijua unamgegeda kama kweli ni mzuri atakachofanya ni kumrudisha kwao tu kuna mahouse girl ni wazuri mpaka mama mwenye nyumba anakushangaa ukiacha kumla
 
Na tumekuwa tukipata shida sana na hawa mabinti, wakija wakishapendeza namna hii mijamaa ya hapa mtaani inawagegeda bureee mpaka vibinti vinaacha kufanya kazi, wife anawaondoa. Kimbembe ni kupata binti mwingine baada ya hapo, ni mabinti 4 wameshaondoka kwa style hii. Kwa hiyo nimefikiria pia kuwa nikimgegeda atatuliandani, na hatohangaika hangaika huko mitaani.
Wewe unajifanya unajua kudindisha eeeh nimejua nia yako ovu nitakukomesha na nitakuwahi mapema kabla hujafanya, siwajiona mjanja mfyuuuuuuuuu. Utaona wewe
 
jaribu kumueleza mkeo hio hali kama kweli unataka tatizo hilo liishe mara moja
 
Mkuu kwa huyu binti, hata ungekuwa wewe hakika usingehimili. Si unajua mabinti wa kirangi?. Hakika huu ni mtihani mgumu sana kupitishwa mbele yangu na maulana.
Wanawake wa kirangi ni malaya naskia nitumie nyumber zake tujue tutafanya je, maanake hili tatizo ni kubwa sana naweza kulitatua bila kuathiri shughuli zingine
 
Back
Top Bottom