Nafikiria kutembea na house girl

Nafikiria kutembea na house girl

Mkuu usifanye hivyo.Utaharibu ustawi wa familia yako
 
Mkuu kwa huyu binti, hata ungekuwa wewe hakika usingehimili. Si unajua mabinti wa kirangi?. Hakika huu ni mtihani mgumu sana kupitishwa mbele yangu na maulana.
Unasemaje? Binti Wa kirangi? Huwajui hao. Ndo utakuwa mwisho Wa ndoa yako. Chukua neno KONDOA halafu anza kuondoa herufi mojamoja kutoka k uone utakapoishia.
 
Uzoefu wangu msichana yeyote unayeona amebadilika kimuonekano na kupendeza ghafla kwa maana ya ngozi kunawiri na kunenepa kama alikuwa mwembamba, ni dalili kwamba ana uwezo mkubwa wa kushika mimba. Kazi kwako ikiwa unajua hili utakutano nalo na utafute mbinu ya kukabiliana nayo.
 
Nifanye nini instead?
Kama itawezekana mrudishe huyo mfanyakazi wa ndani....au mtafute mtu mubadilishane au hata muachishe kazi kama dini yako inaruhusu muowe nae ....Utakuja juta mkuu kwani wengi yamewatokea hayo.
 
Uzoefu wangu msichana yeyote unayeona amebadilika kimuonekano na kupendeza ghafla kwa maana ya ngozi kunawiri na kunenepa kama alikuwa mwembamba, ni dalili kwamba ana uwezo mkubwa wa kushika mimba. Kazi kwako ikiwa unajua hili utakutano nalo na utafute mbinu ya kukabiliana nayo.
Nilifikiria juu ya hili, nikawaza kuwa itabidi nimtafutie vidonge vya uzazi wa mpango ili niwe huru kabisa.
 
Salaam wakuu,
Imetokea tuu from no where siku za hivi karibuni nimekuwa na mawazo na hisia za kufanya mapenzi na moja ya msichana wa kazi nyumbani kwangu.
Sijui nifanye nini kuyaepuka haya mawazo?. Huyu binti alikuja wa kawaida sana, lakini hivi sasa amenawiri kila kona ya mwili wake inashawishi. Mke wangu yupo, ila kwakweli yupo busy saana kiasi cha kwamba hata nikianza haka ka mchezo haitokuwa rahisi yeye kugundua.
Mkuu hilo sio suala la kuuliza wala kuomba ushauri, usipo mkwangua wewe nani atamkwangua? Walimuwepo akina suleiman walikwangua kweli kweli wajakazi wao, sembuse wewe?
Ukimuacha utakua umefanya dhambi kubwa mnooo
 
Na tumekuwa tukipata shida sana na hawa mabinti, wakija wakishapendeza namna hii mijamaa ya hapa mtaani inawagegeda bureee mpaka vibinti vinaacha kufanya kazi, wife anawaondoa. Kimbembe ni kupata binti mwingine baada ya hapo, ni mabinti 4 wameshaondoka kwa style hii. Kwa hiyo nimefikiria pia kuwa nikimgegeda atatuliandani, na hatohangaika hangaika huko mitaani.
 
Unamtamanije haus gal na mke wako unaamka nae kila asubuhi?? Au mke ni wa safari sana??
 
Salaam wakuu,
Imetokea tuu from no where siku za hivi karibuni nimekuwa na mawazo na hisia za kufanya mapenzi na moja ya msichana wa kazi nyumbani kwangu.
Sijui nifanye nini kuyaepuka haya mawazo?. Huyu binti alikuja wa kawaida sana, lakini hivi sasa amenawiri kila kona ya mwili wake inashawishi. Mke wangu yupo, ila kwakweli yupo busy saana kiasi cha kwamba hata nikianza haka ka mchezo haitokuwa rahisi yeye kugundua.
Ukigonga tu huyo binti anaku-blackmail mpaka ukome! Cha msingi achisha kazi, mdanganyeni kwa roho safi tu atoke hapo! Ukigonga utakoma, ndo mwanzo wa matatizo itakuwa hapo.
 
Mkuu kwa huyu binti, hata ungekuwa wewe hakika usingehimili. Si unajua mabinti wa kirangi?. Hakika huu ni mtihani mgumu sana kupitishwa mbele yangu na maulana.
Ushauri mfukuze mke wako umuoe house girl au mfukuze house girl ubaki na mkeo ukiwachanganya utawakosa wote time will tell
 
Ni ngumu sana kufanya either of the two. Hakika nitaumia saana wife akimuondoa huyu binti
 
Ukigonga tu huyo binti anaku-blackmail mpaka ukome! Cha msingi achisha kazi, mdanganyeni kwa roho safi tu atoke hapo! Ukigonga utakoma, ndo mwanzo wa matatizo itakuwa hapo.
Amuachishe kazi binti wa watu kisa kumtamani, hyo ni sawa na unyanyasaji wa kijinsia, maisha yenyewe magumu alafu umuachishe kazi looool,

Kikubwa hapo ni kumpandisha cheo huyo hausi gelo hata yeye atajisikia ana amani moyoni mwake kuwekwa hadhi moja na mama mwenye nyumba
 
Unamtamanije haus gal na mke wako unaamka nae kila asubuhi?? Au mke ni wa safari sana??
Ni mwaka wa 10 sasa nipp knye ndoa, nimeshakuwa na house girls huyu ni wa 8, amini nakuambia, huyu binti ni tofauti kabisa, na sijawahi kuwa na hisia kama hizi kwa yeyote yule kabla. Nakumbuka tuu kuwa wakati nasoma, niliwahi kutafuna housegal nyu bani kwetu, those years.
 
Back
Top Bottom