Nafikiria kumpiga chini huyu Mwanamke, hajui kuishi kwa bajeti

mwemweremwemwere

JF-Expert Member
Jan 4, 2016
606
663
Tupo town hapa lakini cha ajabu anaishi kama tupo Itilima, hajui kabisa kuishi kwa bajeti na wala haelekezeki.

Tupo wawili tu mimi na yeye lakini cha ajabu ile kilo ya nyama ya ng'ombe inaisha kwa kutwa moja!

Wakuu hii ni kawaida kweli? Tayari nimefikiria kuchukua maamuzi magumu

Ushauri wenu tafadhali.
 
Tupo town hapa lakini cha ajabu demu anaishi kama tupo itilima. Demu hajui kabisa kuishi kwa bajeti na wala haelekezeki. Tupo wawili tu mimi na yeye lakini cha ajabu ile kilo ya nyama ya ng'ombe inaisha kwa kutwa moja! Wakuu hii ni kawaida kweli? Tayari nimefikiria kuchukua maamuzi magum. Ushauri wenu tafadhali.
Una miaka mingapi kwanza mdogo wangu???
 
Huyo dawa yake ni kupika viazi au mihogo kutwa nzima
Tupo town hapa lakini cha ajabu demu anaishi kama tupo itilima. Demu hajui kabisa kuishi kwa bajeti na wala haelekezeki. Tupo wawili tu mimi na yeye lakini cha ajabu ile kilo ya nyama ya ng'ombe inaisha kwa kutwa moja! Wakuu hii ni kawaida kweli? Tayari nimefikiria kuchukua maamuzi magum. Ushauri wenu tafadhali.
 
Hilo tu ndio linakufanya umwache? Nasemaje mrithi wa huyo dada atakua pasua kichwa kiasi kwamba siku ya KWANZA ataunguza chakula ya pili atatoa boko ya tatu atamwaga chote ya nne ataunguza nyumba KWA uzembe then utamkumbua huyo mtumia nyama kilo KWA siku
 
Tupo town hapa lakini cha ajabu demu anaishi kama tupo itilima. Demu hajui kabisa kuishi kwa bajeti na wala haelekezeki. Tupo wawili tu mimi na yeye lakini cha ajabu ile kilo ya nyama ya ng'ombe inaisha kwa kutwa moja! Wakuu hii ni kawaida kweli? Tayari nimefikiria kuchukua maamuzi magum. Ushauri wenu tafadhali.
Acha tabia za kimaskini. As long as mwanamke sio Malaya, anakuheshimu na anawaheshimu wazazi wako, Ni msafi. What more do you want? Unataka kilo ya nyama muile siku mbili? Wakati ukienda bar unaagiza kitimoto kilo moja na beer juu?
Acha tabia za kipare, mpe mkeo hela ya matumizi akae nayo uone Kama atafanya ujinga.
LAST BUT NOT LEAST. DUNIANI HUWEZI KUPATA MWENZA AMBAYE UTAPENDA SURA YAKE, UMBO LAKE, CHURA YAKE, ELIMU YAKE, KABILA LAKE, UMRI WAKE, UTELEZI WAKE N.K.
haya madogo madogo mtakuja kushangaa tu huko mbeleni mnaendana
 
Back
Top Bottom