Nafikiria kuhama Catholic

Muda wa magugu kujitenga na ngano umefika
Jitoeni kwenye dhehebu lolote.
Mmefungwa mafungu mafungu kwa ajili ha kuchomwa.
Ila ngano imewekwa ghalani. Nje ya hayo makundi makundi ya madhehebu.
 
Jitoeni kwenye dhehebu lolote.
Mmefungwa mafungu mafungu kwa ajili ha kuchomwa.
Ila ngano imewekwa ghalani. Nje ya hayo makundi makundi ya madhehebu.
Tumekutana tu duniani kila mtu afanye kilicho mleta
 

Tumekutana tu duniani kila mtu afanye kilicho mleta
Ezekieli 33:7-9

[8]Nimwambiapo mtu mbaya, Ewe mtu mbaya, hakika utakufa, nawe husemi neno la kumwonya mtu huyo, aiache njia yake, mtu mbaya huyo atakufa katika uovu wake, lakini damu yake nitaitaka mkononi mwako.

[9]Walakini ukimwonya mtu mbaya kwa sababu ya njia yake, kusudi aiache; wala yeye asiiache; atakufa huyo katika uovu wake, lakini wewe umejiokoa roho yako.
 
1 Petro 4:18
[18]Na kama mwenye haki anaokoka kwa shida, yule asiyemcha Mungu na mwenye dhambi ataonekana wapi?
 
Ni heri uwe mkristo.
Japo mmechagua kuwa madhehebu

Tatizo halijaanza kwenye michango. Michango ni matokeo ya mfumo uliooza
Sasa yeye shida yake sio hiyo unayotaka wewe iwe mkuu, elewa mantiki ya mada.

Tatizo unaambiwa ni michango wewe unasema hamjui Kristo, sasa umehamia kwenye mfumo uliooza sio Kristo tena??

Mimi nimempa ushauri wa kuhama parokia, maana hamna mahali ataenda hamna michango, inazidiana uwezo tu.
 
Niambie maana ya kuabudu sanamu ambayo umefungwa nayo
Katika ulimwengu wa sasa, kuabudu sanamu mara nyingi hurejelea kitendo cha kuweka kitu chochote kuwa kipaumbele cha kwanza katika maisha yako kuliko Muumba. Ni pale ambapo moyo na fikra zako vinatawaliwa na kitu fulani kiasi kwamba kinachukua nafasi ya imani au maadili makuu.
Mali na Fedha: Kutafuta utajiri kwa njia yoyote ile bila kujali utu au uaminifu.
Umaarufu na Madaraka: Kutumia nguvu zako zote kupata sifa au mamlaka.
Watu: Kumfanya mwanadamu mwingine (kama kiongozi, mpenzi, au msanii) kuwa ndiye tegemeo lako kuu maishani.
 
Unamjua vicar fil dei??
 
Amini amini nakuambia!!!

Popote, kokote, chochote, lolote, vyovyote ufanyavyo... kama hauna pesa ni ngumu kutoboa. Ukiacha kusali ukasema uambatane na marafiki wa kazini kwako, kama ni tia maji tia maji utakula ulikopeleka mboga. Baa, michezoni, mtaani na poppte pale utaonekana omba omba. Ni wachache sana wanathamini utu siku hizi
 
Wewe jiondoe tu . Kajiunge na kina Lucy wanaosoma "Wakilintho mstari wa 13 hadi wa 10.
Hulazimishwi kuwa Mkatoliki.
Kumbuka bakwata sio chombo cha waoslamu
 

Katoliki ina miaka 2000 hama kesho
 
Hamna mkathoric hapa, tunasumbuliwa na shekh ubwabwa tu.
Et kwenye IBAADA ya MKESHA. nan kakwambia PADRE anasalisha IBAADA?
wew ni LIONGO.

Na iman huwez kuomba ushauri iman gan uwe.
Ili uwe iman gani fanya moyo wako unavokutuma, ndo utaishi kwa aman kuliko kwenda kanisan badala ya kwenda kusari kwa shida zako bali wew ulitaka viongoz wakuzingatie ili uwe nao karibu ili iweje.?

Na wew ni mchaw kwanin uwaonee wivu walio karibu na viongoz?
 
Toka tu kama jinsi ulivyoingia, kama wazazi ndiyo sababu ya wewe kuwa huko hili swali lako la kichoko lielekeze kwao.
NB: Hongera zenu sana kwa maandamano ya amani kumfikishia Papa ujumbe wa malalamiko.
 
Uondoke tu, Unaweza kuanzisha dhehebu lako la UVCCM au WAROMA. Hustahili hata kujiita Da Vinci wewe ni mmatumbi tu wa kulipwa elfu 10 ili kuandamana, wakati Abdul na mama yake wanakula mabilioni ya Dollar. Siku akili yako ikirudi utaelewa......UNATUMIKA BROTHER.
 
Unadhani kanisa ni mchango wako? Unaweza chagua kuhama au kuacha kabisa kusali, popote Kuna michango hata kwa wanganga Kuna michango mikubwa na mi
 
Nakazia hapa
Kote ni hivihivi me ata simshauri kuhama abaki tu na dhehebu lake
Tuliobahatika kusali madhehebu yote tunamshauri abaki tu Katoliki.

Akitaka mambo ya maombi sana
Katoliki Wana fellowship yao wanajiita charismatic..wanapiga maombi balaa.

Sasa sijui Yeye anataka nini.
Kutangazwa kwamba amesaidia Yatima,wajane
Hakuna kanisa ataenda litamtangaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…