Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 16,371
- 52,293
According to wewe ila wengine wako vice versa.Tunatafuta ili tule
According to wewe ila wengine wako vice versa.Tunatafuta ili tule
Yani kuna mtu anakua ana ogopa kula hela ya kula sio?kila mtu analinda kile alichonacho shiling ikishaingia kutoka ni mtiti balaa
Hivi unajua kuna watu watu wako radhi kulala au kushinda njaa ili mradi tu wasitumie hela zao yan wazione tu ndio raha yao😆
kuna raia wanapiga deshi ata siku mbili na sio kwamba hawana ela noMimi hapana kwakweli sasa unashinda na njaa alafu ukija kuumwa madonda ya tumbo unaingia tena gharama kujitibu huo ni uzwazwa..
Mimi kwenye swala la afya ni la lwanza na nachukua kila precautions maana kujitibu ni gharama sana na kunafilisi sio mchezo.
kila mtu analinda kile alichonacho shiling ikishaingia kutoka ni mtiti balaa
Hivi unajua kuna watu wako radhi kulala au kushinda njaa ilimradi tu wasitumie hela zao yan wazione tu ndio raha yao😆
Ofcourse buddyYani kuna mtu anakua ana ogopa kula hela ya kula sio?
Nilichokiandika sio maneno ya kutunga nimewaona baadhi ya watu wakifanya hivyoUnaijua njaa wewe?
Usiwaze mara mbili fanya sasaMko salama?
Toka jumamosi nilikua na shida kama ya laki 5 hivi,kila rafiki niliyejaribu kumpigia aniazime anasema hana.mimi nikiwa nazo huwa ni mwepesi kutoa ila siku nikikwama sina msaada kutoka kwenye cycle yangu.
Nafikiria kubadili aina ya watu wanaonizunguka kabisa.
Mshana nikopeshe 20,000Usiwaze mara mbili fanta sasa
fanta correct hio errorUsiwaze mara mbili fanta sasa
Usiwalaumu.
Kikawaida shida zinakujaga ili kukuonyesha uhalisia wa maisha, kukufundisha, na kukumbusha kuwa maisha ni wewe pekee yako.
Siku ukiwa na shida mara nyingi mifumo yako yako yote ina paralyze mpaka unaowategemea nao pesa wanakuwa hawana. Au hawana msaada.
Kwa kulifahamu hili. Unatakiwa u relax.
Mara nyingi shida ikitokea msaada unakuja kusiko tarajiwa. Hiyo ni kanuni. Ndio maana unatakiwa uwe mwema. Kwa sababu Wema unalipa hasa wakati wa matatizo na shida.
Unaposaidia watu(ikiwemo rafiki zako) ili wakusaidie huo sio wema bali ni msaada wa uwekezaji.
Na wengi hupata malipo ya hasara
Tunza kila shiling unayoipata kwa wivu mkubwa sana..
money speak one language if you save me today I will save u tomorrow ishi nayo hio
Mikopo inauwa mahusiano memaMshana nikopeshe 20,000
Wema usio uwekezaji ni wa kuwafanyia wasiojiweza. Ila hawa wanaojiweza lazma uwe na faida kwa pande zote mbili ili kuepuka kutumika kama ambavyo Tang'ana ametumika.
Mimi ni selfless by nature, sijifichi ndivyo nilivyoumbwa ila maisha yalinifundisha kwa njia ngumu kabisa kuwa binadamu hawana kumbukumbu. Unaweza kujitoa kwa kujiumiza kwa watu wengi ila shida ikikufikia, utasaidiwa na strangers au watu ambao hukuwatarajia.
Naelewa kila mtu kwenye maisha ana nafasi yake ila watu wanaojitoa kwako, sio wa kuwaweka nje ya priorities zako. Sio kwa sababu unategemea malipo ila kwa sababu unastahili kuzungukwa na watu wenye moyo mzuri , sio kwa ajili yako tu ila kwa familia yako pia maana marafiki zako ndio future connection ya watoto wako. Ukijaza selfish bastards, huwezi kujua watafanya nini ukiondoka