Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,270
- 22,184
Huenda hawana Kweli, Mimi Nina jamaa Yangu mmoja TUu,huyu akisema hana,hana Kweli, wengine ni uzushi tuu!Mko salama?
Toka jumamosi nilikua na shida kama ya laki 5 hivi,kila rafiki niliyejaribu kumpigia aniazime anasema hana.mimi nikiwa nazo huwa ni mwepesi kutoa ila siku nikikwama sina msaada kutoka kwenye cycle yangu.
Nafikiria kubadili aina ya watu wanaonizunguka kabisa.