Million dollars
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,508
- 2,070
Wamechangia vizuri wachangiaji ila nadhani hawafahamu Tua ngoma ipo eneo gani. Tua ngoma ipo mara tu baada ya kupita kongowe hivyo kupitia feri ni kuzunguka sana. Kuna mabasi ya moja kwa moja kutoka Tuangoma hadi kariakoo nadhani hiyo ndio itakuwa njia nafuu na fupi, akifika Kariakoo sasa hapo atapanda Mwendo kasi na kufuata maelekezo kama yalivyotolewa hapo juu ya kushuka Ubungo Maji na Kupanda boda boda kushuka Utawala
Mkuu Kariakoo kwa mtu mgeni ipo complicated kidogo mpaka apande mwendokasi atakuwa kapata tabu sana bora ya kigamboni inamshusha kituoni kabisaaa