Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,709
- 23,119
Sio akili tu kukaza kunahitajika akizubaa kaliwa.Ni kweli kule uzuri hakuna ila wazuri wanapata shida ndugu yangu ila lisikupe taabu hilo maana kikubwa ni akili yako tu Angel.
Sio akili tu kukaza kunahitajika akizubaa kaliwa.Ni kweli kule uzuri hakuna ila wazuri wanapata shida ndugu yangu ila lisikupe taabu hilo maana kikubwa ni akili yako tu Angel.
Yaah,na kikubwa ndo hicho maana ukijifanya nyoronyoro na vile ni mtoto wa kike itakuwa hatari.Sio akili tu kukaza kunahitajika akizubaa kaliwa.
Ndio kla mtu na akil yake bhnaNi kweli kule uzuri hakuna ila wazuri wanapata shida ndugu yangu ila lisikupe taabu hilo maana kikubwa ni akili yako tu Angel.
Ntashukury sana usisahau bxWhy jwtz? Kwani polisi,uhamiaji,magereza,usalama wa taifa,fire,tanapa wakija kukuchukua huwezi kwenda? In short huu ni utawala mpya wa rais na General wa jeshi ni mpya so bado hazijatangazwa maana kila mtu anakuja na sylabus za uongozi wake.Zikitoka nitakustua maana kuna watu bado mpaka now wanaendelea na kozi so vigumu kuchukua wengine huku makambini kuna kozi zinaendelea.
Sio kila sehemu akili zitakuokoa kule nguvu ya kukaza kwenye magunzo ndiyo msingiNdio kla mtu na akil yake bhna
Wew inaelekea unaeleweka ndugu yang hebu nipe taratb za kujiungaKozi Ya wale vijana wengine wanamaliza mwezi wa 5
So mwez wa 6 wataitajika wengine
UmetishaaaYaah,na kikubwa ndo hicho maana ukijifanya nyoronyoro na vile ni mtoto wa kike itakuwa hatari.
Sihitaj ushaur nmeulza swal bromamy fanya tu mambo mengine mwaka huu....mgumu...sana hasa kwa wenye malengo ya kutafuta hizo nafasi za kiserikali...jishughurishe ata na kilimo, biashara...ama fani nyingineyo yoyote lakini kungoja hizi nafasi za bahati nasibu ni kujipotezea muda...
Iyo itakua chakla ya wazeeBado. Ila na wewe kwa uzuri wote huo unataka kwenda jkt ?
Tembelea mara kwa mara kwenye website yao utapata updet nzuriJamani naomba kuulza nafasi za jkt 2017 zimetokaaa?
InaitwajeeeTembelea mara kwa mara kwenye website yao utapata updet nzuri
Umri Wang wa ajira badoKweli magufuri kiboko na ww mrembo huna ajira duuuh
Mh!...... tunahitaji wazalendo kama wewe.Ndio ili baadae nijiunge na jwtz uzuri veeepe kule hamna cha uzuri jomba
Nafasi zitatangazwa kupitia Blog yao JktWew inaelekea unaeleweka ndugu yang hebu nipe taratb za kujiunga