Nafasi za JKT zinatoka lini?

kwa anaye juanafasi za jtk kujitolea mwaka huu zatoka lini atujuze maana mwezi wa tatu ndiyo huu halafu kimya
 
Mnadanganyana tu, Nafasi za JKT zinaanza mwezi wa tatu mwishoni mpaka wa nne, then kati ya mwezi wa tano na wasita mnapelekwa kwata
 
Jamaa yangu tulipiga naye mujibu wa sheria tukamaliza ila yeye alipenda kurudi jkt akaomba nafasi za kujitolea akapata akapangiwa bulombora ile kufika wakakuta alishapita jkt wakamrudisha wakamwambia jkt haipigwi mara mbili
Kwahio unashaur afanyaje ili aingie jeah
 
Ndio ili baadae nijiunge na jwtz uzuri veeepe kule hamna cha uzuri jomba
Why jwtz? Kwani polisi,uhamiaji,magereza,usalama wa taifa,fire,tanapa wakija kukuchukua huwezi kwenda? In short huu ni utawala mpya wa rais na General wa jeshi ni mpya so bado hazijatangazwa maana kila mtu anakuja na sylabus za uongozi wake.Zikitoka nitakustua maana kuna watu bado mpaka now wanaendelea na kozi so vigumu kuchukua wengine huku makambini kuna kozi zinaendelea.
 
Back
Top Bottom